Bondia Rashidi Matumla (kulia) akioneshana ufundi wa kutupa masubwi na Mohamedi Matumla wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano na bondia Maneno Osward Desemba 25 katika ukumbi wa Henlken Kijichi Dar es salaam.
Ngumi ndonga masubwi mwanzo mwisho.
Rashidi Matumla akiruka Kamba katika Kambi yake ya Mazoezi iliyopo Keko Dar es salaam leo.
Rashidi Matumla 'Mtoa Sumu' akipiga panch Bang wakati wa mazoezi yake kabla ya kumkabili bondia maneno Osward Desemba 25.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
VIONGOZI MASHABIKI WA TIMU ZA SIMBA NA YANGA WATOA BURUDANI ARUSHA
-
Na Eleuteri Mangi, Arusha
TIMU ya Viongozi wa vilabu vinavyoshiriki michuano ya Mei Mosi Taifa 2024
ambao ni mashabiki wa vilabu vya Simba na Yanga wa...
2 hours ago