ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, February 11, 2010

VALENTINE NDANI YA STONE CLUB 2010.

KATIKA KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA WAPENDANAO DUNIANI FEB 14 "VALENTINE" HIVI NDIVYO CLUB YAKO MAARUFU STONE CLUB MWANZA ILIVYOJIPANGA KUKUBURUDISHA WEWE NA UMPENDAYE PAMOJA NA RAFIKI ZAKO.

# Tatua Utata katika bango hili -mpangilio wa graphics sawa. JE! rangi zilizotumika?

Wednesday, February 10, 2010

ZIMAMOTO.

ASKARI NA MAOFISA WA ZIMAMOTO WANAKAZI KUBWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI JUU YA UTUMIAJI NA UHIFADHI WA VIFAA VYA ZIMA MOTO. "YAFAA KIFAA HIKI KIWE ENEO AMBALO UCHOMOAJI WAKE KWA MATUMIZI NI RAHISI, KAMA UNAOGOPA WEZI, TENGA ENEO KWA DEREVA". JANA ILIKUWA ALMANUSRA KITUO KIMOJA CHA MAFUTA JIRANI NA NYAKAHOJA BARABARA YA MAKONGORO ROCK CITY KITEKETEE NA MOTO.MOTO ULIOSABABABISHWA NA MATUMIZI YA GENERATOR WAKATI WA UPAKUAJI.
TIZAMA KIFAA HIKI (FIRE EXTINGUISHER) KILIVYOKAZWA NA BOLT MAHALA PAKE. MOTO ULITOKEA KTK GARI HILI HILI LA MAFUTA SEHEMU YA NYUMA IKASHINDIKANA KUKICHOMOA NA KUKITUMIA KUZIMA MOTO.
PIA BUMPER ZA MATAIRI YA MAGARI ZIKICHAKAA KUTOKANA NA FRICTION (MSUGUANO) ZAWEZA KUWA CHANZO CHA MOTO.

MALAIKA DURING THE DAY & MALAIKA AT NIGHT

.MAMBO YA SWIMMING POOL. JE!UNAJUA KUOGELEA? MIE MMMMMM!
HUU NDIYO MWONEKANO WA HOTEL MALAIKA USIKU.

Monday, February 8, 2010

ATOMY SIFA APAGAWISHA MWANZA.

IKIWA NI ZIARA YAKE NCHINI TANZANIA MWISHONI MWA WIKI WAKAZI WA JIJI LA MIAMBA NAO WALIOGA BURUDANI YA NGUVU TOKA KWA MWANAMUZIKI MAHIRI WA NCHINI KENYA SUPER STAR ATOMY SIFA. NI NDANI YA UKUMBI WA VILLA PARK MWANZA. SI UIMBAJI PEKEE AMBAO UTAKUVUTIA INGAWA YAWEZA KUWA NI MARA YAKO YA KWANZA KUMSIKIA BALI HATA UCHEZAJI JAMAA NA CRUE YAKE NI BALAA.AKICHOMBEZA KATIKA MIC NA RAP ZA KABILA LA JALUO + SWAHILI, MADENSAZ WAKO SHUGHULINI BAB.AI YA-YA-YA-YA MAMA YANGU. HIZI TOTOZ ZA KEI USIPIME MZAZI! UNAWEZA KUSAHAU MLANGO WA HOME, MITETEMO YAO WANADENSI OVA GAUWO.MWENYEWE ANASEMA WENGI WAMEZOEA KUMWONA KTK TV PEKEE SASA AMEKUJA RASMI KUJITAMBULISHA TZ LAKINI KWA MAPOKEZI HAYA NAUHAKIKA HII NI SAFARI MOJA KUELEKEA SAFARI NYINGINE YA MIALIKO ZAIDI KUTUMBUIZA HAPA NCHINI SIUTANI TEMBEA UONE.MZUKA WA BURUDANI NI NOMA MASHABIKI WALIIPOTEZEA MVUA ILOKUWA IKINYESHA.