ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, September 27, 2014

UZINDUZI WA ALBUM YA 'NANI KAMA MAMA' WATIA FORA JIJINI MWANZA

Mwanamuziki Christian Bella usiku wa kuamkia leo amepiga bonge la show jijini Mwanza ikiwa ni uzinduzi wa Album yake mpya 'Nani kama mama',  shughuli ikifanyika katika ukumbi wa Buzuruga Plaza.
Akisema na mashabiki wake wa Mwanza.
Stage ilikamilika kwa nakshi za wakali hawa.
Hatari
Sauti za nguvu.
Ni mmoja kati ya wapenzi wakubwa wa burudani mkoani Mwanza 'Afande Abou' akimtunza mmoja kati ya wanamuziki wa Malaika Band.
ShigiDi''''
Live toka kwenye stage hadi kwa mashabiki.
Pamependeza mahala hapa.
Mashabiki wa Gsengo blog.
Mkurugenzi wa Myway Entertainmaent Paul Maganga (kushoto) akishow love na rapa namba moja wa Malaika Band Totoo ze Bingwa.
The nyomi.
Nice.
Imbaaaa...
Watu wanapenda kumbukumbu...!!
Nani kama mama?
Mpiga kinanda namba moja wa Malaika Band Andrew Sekedia akituzwa na wanamuziki wenzake.
Bella na shabiki wake.
Kila kazi ya Christian Bella kwa jukwaa hili ilikuwa na mvuto wake.
Mashabiki wakiwatunza wanamuziki wa Malaika Band.
Rappa Totoo ze Bingwa ni Balla mkali ile mbaya.
Sikiliza mziki mwingine...Ha...ha...ha
Za kichina china...!!
Milipuko ya Rapa BombeX
Kutoka kushoto ni Afande Jose aka Mzee wa Boma ya Ng'ombe,Bella na Gsengo
Peace.
Kabago na meza ya wadau wake.
Brothers na Cheza kidansi.
Hisani kubwa ya Pepsi yote haya yamefanyika.

WANAHARAKATI NGAZI YA JAMII WAIKOSOA KATIBA INAYOPENDEKEZWA

Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Badi Darusi na Hamadi Masudi Mjumbe (kushoto)
Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Badi Darusi na Hamadi Masudi Mjumbe
Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Nyuma ni wajumbe wa kamati hiyo.
Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William (katikati) akisoma tamko la Wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao kwa waandishi wa habari leo. Nyuma ni wajumbe wa kamati hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, TGNP Mtandao Lilian Liundi akifuatilia tamko la wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao walipokuwa wakizungumza na vyombo vya habari leo.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, TGNP Mtandao Lilian Liundi akifuatilia tamko la wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao walipokuwa wakizungumza na vyombo vya habari leo
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, TGNP Mtandao Lilian Liundi akifafanua jambo katika mkutano huo kwa wanahabari.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, TGNP Mtandao Lilian Liundi akifafanua jambo katika mkutano huo kwa wanahabari.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia tamko la wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao walipokuwa wakizungumza na vyombo vya habari leo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia tamko la wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao walipokuwa wakizungumza na vyombo vya habari leo
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia tamko la wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao walipokuwa wakizungumza na vyombo vya habari leo.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia tamko la wanaharakati wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao walipokuwa wakizungumza na vyombo vya habari leo.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakishirikishaja jambo kwenye mkutano na wanahabari.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakishirikishaja jambo kwenye mkutano na wanahabari.
WANAHARAKATI wa ngazi ya jamii na washiriki wa Jukwaa la wazi la Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) linaloratibiwa na TGNP Mtandao wametoa tamko huku wakiainisha dosari walizozibaini katika Rasimu ya Katiba inayopendekezwa iliyowasilishwa bungeni hivi karibuni.

Akisoma tamko hilo leo jijini Dar es Salaam kwa vyombo vya habari, Katibu wa Kamati ya uchambuzi wa rasimu hiyo, Esther William ameshauri rasimu ibadilishe sifa ya kiwango cha elimu ya mbunge kuwa kidato cha nne na kupinga mawaziri wasiwe wabunge ili kuimarisha utendaji na uwajibikaji wa mihimili yote.

Akifafanua zaidi alisema Ibara ya 135 (b) ya Katiba inayopendekezwa imetamka sifa ya mbunge kuchaguliwa awe anajua kusoma na kuandika Kiswahili au kingereza suala ambalo likipitishwa linaweza kudidimiza maendeleo ya taifa kwani bunge linatakiwa kupitia na kuchambua kwa kina mikataba mbalimbali ambayo kwa sehemu kubwa ipo kwenye lugha ya kingereza.

Alisema ndani ya Katiba inayopendekezwa Ibara ya 111 kifungu cha (1) (d) imetaja sifa ya kuwa waziri au Naibu Waziri kuwa ni lazima awe ni mbunge, jambo ambalo alidai kifungu hicho kinaendeleza mgongano wa madaraka kati mihili mikuu miwili ya dola yaani Bunge na Serikali.

 "...Tunadai mawaziri wasiwe miongoni mwa wabunge ili kuimarisha utendaji na uwajibikaji wa mihimili yote mitatu kwa kila mhimili kujitegemea," alisema Bi. William.

Aidha tamko hilo ambalo pia limesainiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji, TGNP Mtandao Lilian Liundi limetaka suala la uwiano wa 50/50 katika nafasi na ngazi zote za maamuzi kati ya wanawake na wanaume kuanzia ngazi za chini kabisa hadi taifa, litamkwe wazi ili kuondoa utata, ikiwa ni pamoja na rasimu kuweka ukomo wa vipindi vya kugombea kwa wabunge na mfumo mzuri wa kuwawajibisha viongozi wasiotimiza majukumu yao kwa wananchi.

Alisema haki ya kupata maji safi na salama iwe ni haki ya kikatiba ili kuweza kuwapunguzia wanawake mzigo wa kutembea umbali mrefu wa kutafuta maji na kushauri kuwekwa mfumo mzuri wa kuwasaidia makundi ya walio pembezoni kuweza kupata huduma bora za afya bila ya kikwazo.

"...Tunadai kipengele cha ukomo kwa wawekezaji kutumia ardhi ili kuweza kuepusha migongano na migogoro ya ardhi kati ya wananchi na wawekezaji katika suala zima la umiliki wa ardhi....katiba iunde chombo maaalum kitakachosimamia haki za wanawake katika maeneo yote ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi," alisema.

Kamati hiyo ya uchambuzi pia ilipendekeza rasimu ya katiba kutambua haki ya kupata elimu kutoka elimu ya awali hadi kidato cha nne ili kuweza kuondoa matabaka katika jamii na sio kuweka utaratibu tu wa upatikanaji wa elimu, ikiwa ni pamoja na kufuta kipengele cha Benki kuu ya Tanzania (BOT) kutowajibishwa na kudhibitiwa na mtu au mamlaka yoyote ya kiutendaji ili kuimarisha mfumo wa uwajibikaji.

"...Ibara ya 257 kifungu cha (3) kimetoa uhuru kwa Benki kuu ya Tanzania (BOT) kutekeleza majukumu yake bila ya kuingiliwa, kudhibitiwa au kupewa maelekezo na mtu au mamlaka yoyote. Kifungu hiki kinakinzana na dhana bora ya uwajibikaji na utawala bora na kinatoa mwanya wa ubadhirifu na matumizi ya mabaya ya fedha za umma kwa kigezo cha watendaji wa benki kuu kutowajibishwa..." alisema Bi. William. *Imeandaliwa na www.thehabari.com

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA KIVUKO CHA MV TEGEMEO KUFANYA SAFARI ZA MAISOME-SENGEREMA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rsmi Kivuko cha Tegemeo tayari kuanza kufanya safari zake kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kivuko hicho iliyofanyika Kijiji cha Kahunda Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza jana, Septemba 26, 2014. Kulia kwake ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na baadhi ya viongozi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akibonyeza Kitufye kuashiria uzinduzi  rasmi wa Kivuko cha Tegemeo tayari kuanza kufanya safari zake kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kivuko hicho iliyofanyika Kijiji cha Kahunda Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza jana, Septemba 26, 2014. Kuhoto  kwake ni Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli na baadhi ya viongozi. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala Ufundi wa Umeme-TEMESA, Eng. Mseline Magesa, wakati alipokuwa akikagua Kivuko cha Tegemeo baada ya kukizindua rasmi jana Septemba 26, 2014 kwa ajili ya kuanza kazi ya kusafirisha abiria na mizigo kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kivuko hicho iliyofanyika Kijiji cha Kahunda Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala Ufundi wa Umeme-TEMESA, Eng. Mseline Magesa, wakati alipokuwa akikagua Kivuko cha Tegemeo baada ya kukizindua rasmi jana Septemba 26, 2014 kwa ajili ya kuanza kazi ya kusafirisha abiria na mizigo kati ya Kisiwa cha Maisome- Sengerema, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kivuko hicho iliyofanyika Kijiji cha Kahunda Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wakati akikagua Kivuko hicho.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wananchi wa Kahunda Wilaya ya Sengerema, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kivuko hicho iliyofanyika leo, Septemba 26, 2014. 
Picha ya pamoja. Picha na OMR

Friday, September 26, 2014

CRISTIAN BELA NA MALAIKA BAND ANA KWA ANA NA WAKAZI WA MWANZA AT BUZURUGA PLAZA LEO IJUMAA.

Prizenta wa Passion Fm Radio Mwanza Philbert Kabago (kushoto) akikisanukisha mtamboni 91.0 mida hii.
Baadhi ya wanamuziki waimbaji wa Malaika Band wakiwa ndani ya studio za Passion Fm Mwanza kufanya mahojiano kwaajili ya maandalizi ya show itakayofanyika hii leo pale Buzuruga Plaza, kiingilio ni shilingi 10,000/= unazama ndani.
Shiiiii kimya ila mwambie na mwenzio.
Kutoka kushoto ni Pique Dyzow, Petie Mauzo, Babu Bomba na Chesco Vuvuzela.
Kutoka kushoto ni Pique Dyzow, Petie Mauzo, Babu Bomba G. Sengo na Chesco Vuvuzela.
Hapo vije...
Wanamuziki wa Malaika Band wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa My Way Enterteinment.