Saturday, December 19, 2009
MWANZA
Saturday, December 19, 2009
MWANZA
ZAMANI ENEO HILI LILIKUWA CHAFU HARUFU MBAYA HALITAMANIKI,WATU WALIKUWA WAKIJISAIDIA HAJA ZOTE HOVYO HOVYO (Msemo wa Gerlard Hando). IMEFIKA WAKATI SASA WATANZANIA ZILE LUGHA ZA KUFICHA UKALI WA MANENO HUSUSANI KTK INSHU ZA ONYO TUZIWEKE KANDO TUZUNGUMZE WAZI WAZI, ILI PINDI MMOJA WETU AKICHAFUA MAZINGIRA KWA KUJISAIDIA HAJA KUBWA, ASHITAKIWE KWA KUNYA" TEHE! AIBU ILIYOJE.
ENEO KWA SASA NI SAFI ULINZI UMEIMARISHWA NA KILA ANAYE KIUKA INAKULA KWAKE.
UTAIPENDA
KIPINDI MARAFIKI WAKISHUKA TOKA SEHEMU NA SEHEMU NA KUJUMUIKA SEHEMU MOJA PATA MENYU YA KUIKARIBISHA X.MASS KATIKA MITIKISIKO YA PWANI RATIBA IKISEMA LEO TRH.18DEC.2009 NI NDANI YA VILLA PARK KIINGILIO SH.7,000/= NA TRH.20DEC JUMAPILI TWAITA FAMILY DAY NDANI YA CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA KIINGILIO WATOTO SH.1,000/= NA WAKUBWA SH.2,000/= MALKIA WA MIPASHO KHADIJA OMARY KOPA,HUSSEIN MACHOZI, BOB HAISA NA AT TOKA ZANZIBAR WOTE NDANI........WA KWANZA KUSHOTO JACKOB USUNGU MRATIBU WA INSHU. pozi hili ni ndani ya studio za 88.1 clouds fm MWANZA.
Sunday, December 13, 2009
MWANZA