ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, January 2, 2010

TAMASHA LA KARIBU 2010 LILIVYOFANA.

MKURUGENZI WA MSAMA PROMOTIOM BW. ALEX MSAMA SAMBAMBA NA KUWASHUKURU WAKAZI WA MWANZA KWA WITIKIO WAO ALIPATA FURSA YA KUTOA MAELEZO JUU YA KAZI ZIFANYWAZO NA KAMPUNI YAKE.

AIISEE! HUKU KILA MMOJA AKIONESHA DHAHIRI KUVUTIWA NA YALIYOKUWA YAKIJIRI JUKWAANI, HEBU TIZAMA NYUSO ZA FURAHA NA MATUMAINI ZA WATU WA MUNGU..

JOSHUA MLELWA AKIONGOZA MOJA YA NYIMBO ZA UPENDO GROUP AMBAO WALITUMBUIZA LIVE, HAWA MABWANA SIFA ZAO WASIKIE TU!

MAVOCALIST WA UPENDO GROUP LA JIJINI DAR ES SALAAM WAKISABABISHA NDANI YA UWANJA WA CCM KIRUMBA.

EH BANAEEEH! NIKUSISIMKA TUU MWANZO MWISHO KTK TAMASHA LA KUUKARIBISHA MWAKA 2010 LILILOANDALIWA NA MSAMA PROMOTION.
MPAKWA MAFUTA WA BWANA MWIMBAJI MAHIRI MSHINDI WA TUZO YA MWIMBAJI BORA WA INJIRI YA TBC1. ROSE MUHANDO NA VIJANA WA KUNDI LAKE HAPA NI KATIKA WIMBO JIPANGE SAWASAWA 'SIMAMA KWA HE-HE-HESHIMA' HAKIKA ALITIKISA KWELI KATIKA TAMASHA HILI.

DJ MAARUFU JIJINI MWANZA DJ CURTER AKA THE PRESIDENT AKIFUATILIA KWA UMAKIIIIIIINI YALOKUWA YAKIJIRI

Friday, January 1, 2010

EPI BAZDEI

HAPPY BIRTHDAY JUNIOR LAMECK AIRO (LEFT)

Thursday, December 31, 2009

COUPLE OF THE YEAR 2009-2010


MWAWAONA JINSI WANAVYO SHINE NI MR&MRS JAGRA WA MBEZI DAR ES SALAAM

FUNGA mwaka 2009&FUNGUA mwaka 2010 na TAMASHA LA INJILI MWANZA.

KAMA SAUTI KABARIKIWA UPENDO NKONE MPATE ZAIDI KTK ALBUM YAKE MPYA KUNA WIMBO UNAITWA 'HALELUYAH' NI MOTO WA KUOTEA MBALI.

KUTOKA KUSHOTO JOSHUA MLELWA, ALBERT J.M(TOKA UPENDO GROUP), JERNIFER MGENDI NA UPENDO NKONE KABLA YA KUSHUKA TAREHE 1JAN 2010 UWANJA WA CCM KIRUMBA KUMSIFU MUNGU KWA MWAKA MPYA 2010. KIINGILIO 2,000/= KAWAIDA NA SH 5,000/= VIP.

MEMBAZ WA CHAMA KUU KTK PICHA YA PAMOJA NA MKURUGENZI WA MSAMA PROMOTION ALEX MSAMA MWENYE T.SHIRT YA DARK BLUE MISTARI

WAZEE SUGU KUUKARIBISHA MWAKA 2010 MWANZA


KUNDI ZIMA LA MAQUIZ DU ZAIRE KUUWASHA MOTO MOTO USIO ZIMIKA LEO KATIKA MKESHA WA MWAKA MPYA NDANI YA YATCH CLUB KIINGILIO SH 5,000/= KWA KICHWA. TROOP YOTE IKO MWANZA SO JISOGEZE PALE KWANI WAZEE SUGU WANASEMA LEO AHADI NZITO NZITO KUTIMILIKA.