MWIMBAJI MAARUFU AFRIKA MASHARIKI FLORA MBASHA NA KUNDI LAKE KUFANYA UZINDUZI WA ZIARA YAKE JIJINI MWANZA NCHINI TZ ZIARA HIYO ILIYOPEWA JINA LA ''PAMOJA CONCERT'' INATEGEMEWA KUFANYIKA NCHI NZIMA IKIENDA SAMBAMBA NA UTAMBULISHO WA VIDEO YA ALBUM ''FURAHA YAKO''. NI SIKU YA JUMAPILI YA TRH 26JULLY2009 CCM KIRUMBA. TAMASHA LA PAMOJA aka pamoja concert LITAJUMUISHA WAIMBAJI TOKA NCHI NNE ZA AFRIKA. KENYA ITAWAKILISHWA NA PEACE MULU, MERCY KENY, UGANDA NI JUDITH, MALAWI NI THE MASENGER GOSPEL NA KUTOKA TANZANIA AIC VIJANA CHANG'OMBE(GUSA), CHRISTINA SHUSHO, IMANI KKT, MZ SINGERS, AIC SHINYANGA(NG'ANG'ANIA), ESTER T.KUSEKWA, NURU BUTIMBA, KEKUNDU AIC, MTAKATIFU NICOLAUS, BDS, BUGANDO INJILI na nyingine nyingi.....
"NI MARA YA KWANZA TAMBASHA KUBWA LA NCHI NNE KUFANYIKA MWANZA" @@@@@SWALI NI KWAMBA UTAKOSA??