ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, October 24, 2015

MAGUFULI AFUNGA KAMPENI ZA CCM KITAIFA JIJINI MWANZA KWA KISHINDO.


PICHA ZOTE NA ZEPHANIA MANDIA WA GSENGO BLOG MWANZA.

AMSHA AMSHA YA MWANZA, KUELEKEA MKUTANO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM

 Leo ni Leo Mwanza... maana wakazi wa jiji La Mwanza na vitongoji vyake wamejitokeza kwa wingi kumpokea mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Huku Maelfu ya watu wamejitokeza kwenda CCM Kirumba jijini Mwanza kuhudhuria mkutano wa kufunga kampeni leo Oktoba 24, 2015.
 Kila mmoja akijikaza kujongea CCM Kirumba, Mwanza.
 Akina mama nao wamo.....
 Vijana wamehamasika kweli kweli....
 Leo hapakaliki...PICHA ZOTE NA ZEPHANIA MANDIA WA GSENGO BLOG.