ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 12, 2009

USKONDE'' PICHA ZINAKUJA.....


CLOUDS FM INAPENDA KUTOA SHUKURANI ZA DHATI KWA WAKAZI WOTE WA MWANZA NA WILAYA ZAKE KWA SAPOTI KUBWA ILIYOONEKANA KUITIKIA WITO NA KUUDHURIA KWA WINGI FIESTA 2009 ONE LOVE. VILEVILE SHUKURANI ZA KIPEKEE ZIENDE KWA KAMANDA WA JESHI LA POLISI JIJINI MWANZA RWAMBOW NA VIJANA WAKE WACHAPAKAZI.
JAWITA HOTEL,
SPAROW HOTEL,
NYUMBANI HOTEL,
G.J. HOTEL,
KITWIMA HOTEL,
NA AQUA ROCK DRINKING WATER.
FIESTA MUSOMA NI IJUMAA YA TAREHE 16/OCT
FIESTA SHINYANGA NI TAREHE 18/OCT
picha kwa hisani ya michuzi jr.