WAKATI MACHO YA ULIMWENGU YAKIWA YAMEELEKEZWA AFRIKA YA KUSINI TIMU YA TAIFA YA BRAZILI ITATUA NCHINI JUNI 5 KUCHEZA MECHI YA KIMATAIFA YA KIRAFIKI DHIDI YA TIMU YA TANZANIA (TAIFA STARS).
BRAZILI MOJA KATI YA TIMU AMBAZO ZINAPEWA NAFASI KUBWA KUTWAA UBINGWA KOMBE LA DUNIA, ITATUMIA MECHI DHIDI YA STARS KUWA SEHEMU YA MAANDALIZI YAO YA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA ZITAKAZOFANYIKA KUANZIA JUNI 11 HADI JULY 11 NCHINI AFRIKA KUSINI.
BALOZI WA BRAZILI NCHINI TANZANIA BW. FRANSISCO LUZ AMESEMA TIMU HIYO ITAWASILI NA NYOTA WAKE WOTE WATAKAOSHIRIKI FAINALI HIZO.
TAJUMBE WAWILI WA TIMU HIYO WAPO NCHINI KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA SHIRIKISHO LA SOKA TANZANIA (TFF) PAMOJA NA KUFANYA MAANDALIZI KABLA YA TIMU HIYO KUTUA KWA TIMU HIYO.
Wednesday, May 26, 2010
SOMA
habari,
nilikuwa nikipita katika mtandao nikiperuzi peruzi,
daah nimekutana na habari za kunistua saana
kuhusu freemason, kama nilivyosoma ngoja nicopy na kupaste
hii habari iliyoandikwa na kithuku
Freemason mwingine maarufu ambaye anataka kukamilisha kazi ya kuwawekea binadamu wote alama ili iwe rahisi zaidi kuwakontrolu (kwamba asiyekuwa na alama hii hataweza kushiriki manufaa ya ulimwengu huu ambayo yatakuwa ni makubwa sana) ni Rockfeller, tajiri mwenye Foundation/Institute inayo-sponsor mambo mengi ya maendeleo duniani. Rockfeller na freemasons wenzie wana vision yao ya wanachokiita "New World Order" (pata details hapa: http://www.nexusmagazine.com/articles/rockefeller.1.html). Katika vision hiyo, Rockfeller anapendekeza mradi wa kuwawekea binadamu wote "microchip" mwilini, ili rekodi za kila binadamu ziweze kufuatiliwa katika computer moja ulimwenguni kote, na ziwe accessible kupitia connection ya satellite. Kwa hiyo hicho ki-microchip kinakuwa na unique identification number kwa kila mwanadamu ( kama zile identification codes za bidhaa kwenye supermarkets), ukipita popote hakuna haja ya kuulizwa kitambulisho, hiyo microchip ndiyo access code. Asiye na microchip akitaka kupita kama ni kwenye huduma (airport, hospitali, maktaba etc) milango inakataa kufunguka! Kwenye hospitali huhitaji kutaja jina lako, ukiingia tu chumbani kwa daktari, kuna chombo kinasoma microchip iliyoko mwilini mwako, mara moja rekodi zako zote zinatokea kwenye screen ya computer ya daktari! Hakuna kuulizana majina, sijui umri nk. Mengi kuhusu mradi wa microchipped population yanapatikana hapa: http://www.illuminati-news.com/2007/0130a.htm. Wasioelewa athari za hiyo microchipped population wanaweza kudhani ni maendeleo makubwa haya! Sivyo ndugu zanguni, ni mbinu ya kuwaingiza watu wote kwenye freemasonry kwa lazima (maana kila asiye na alama hiyo atakosa huduma muhimu). Kwa taarifa yenu huu mradi umeshajaribiwa kwenye wanyama kama mbwa na umeonekana kuwa unafanya kazi kama inayokusudiwa (rejea: http://petcaretips.net/microchipping-dog.html). Ukiwa na hiyo microchip implant mwilini mwako, wanaweza kukufuatilia popote ulipo na chochote unachofanya kwa wakati huo kupitia satellite (hata ujifiche wapi!). Huku UK kuna campaign za kupinga kitu hicho ambacho watu wanahisia kinakusudiwa kuanzishwa katika miaka 10 ijayo. Lakini kutokana na mradi wenyewe kuwa hi-tech, ni wachache wanaoujua, na hata kampeni za kuupinga ziko kwenye mtandao wa internet zaidi ambako watu wanaombwa ku-sign petition kuupinga. Details hapa: http://web.ukonline.co.uk/mandrob/html/id_cards_microchipped_populati.html.
umeona eeehh kazi ipo
Wednesday, May 26, 2010
SOMA
Wednesday, May 26, 2010
ARUSHA
Tuesday, May 25, 2010
BANGO
WAPENZI WA HABARI NA TAARIFA MBALIMBALI ZA MICHEZO NA BURUDANI WANAFURSA YA KUJIONEA YOTE HAYO KWA URAHISI KUPITIA STARTIMES.
KWA SASA KUNA CHANEL ZIPATAZO 30 ZA KIMATAIFA NA KITAIFA VIDEO ANGAVU BILA KUJALI HALI YA HEWA DAKIKA MOJA TU KUJIUNGA BILA DISH BEI ITAKAYOMWEZESHA KILA MTU KUNUNUA.
KING'AMUZI (Dikoda)
Tsh:70,000
kwa matumizi yako.
Maduka ya startimes Dar es salaam:
Maduka yamefunguliwa Kariakoo na Tegeta
Maduka yatakayofunguliwa mwezi wa nne: Buguruni, Ukonga, Mikocheni.
Maduka ya startimes Mwanza:
Tembelea barabara ya Nyerere tukitizamana na kituo cha mafuta MOIL.
Kwa mawasiliano zaidi tafadhali piga namba: 0767000705/6/7
STAR MEDIA (TANZANIA) LTD.
Makao Makuu: TBC Mikocheni, New Bagamoyo Rd. DSM
orodha ya chaneli zitabadilika bila taarifa.
Monday, May 24, 2010
SOMA
Kids Are Quick
______________________________ ______
TEACHER: Maria, go to the map and find North America ..
MARIA: Here it is.
TEACHER: Correct. Now class, who discovered America ?
CLASS: Maria.
______________________________ ______
TEACHER: John, why are you doing your math multiplication on the floor?
JOHN: You told me to do it without using tables.
______________________________ ____________
TEACHER: Glenn, how do you spell 'crocodile?'
GLENN: K-R-O-K-O-D-I-A-L'
TEACHER: No, that's wrong
GLENN: Maybe it is wrong, but you asked me how I spell it.
(I Love this kid)
______________________________ ______________
TEACHER: Donald, what is the chemical formula for water?
DONALD: H I J K L M N O.
TEACHER: What are you talking about?
DONALD: Yesterday you said it's H to O.
_____________________________ _____
TEACHER: Winnie, name one important thing we have today that we didn't have ten years ago.
WINNIE: Me!
______________________________ ____________
TEACHER: Glen, why do you always get so dirty?
GLEN: Well, I'm a lot closer to the ground than you are.
_____________________________ __________
TEACHER: Millie, give me a sentence starting with ' I. '
MILLIE: I is..
TEACHER: No, Millie..... Always say, 'I am.'
MILLIE: All right... 'I am the ninth letter of the alphabet.'
______________________________ __
TEACHER: George Washington not only chopped down his father's cherry tree, but also admitted it. Now, Louie, do you know why his father didn't punish him?
LOUIS: Because George still had the axe in his hand.
_____________________________ _________
TEACHER: Now, Simon, tell me frankly, do you say prayers before eating?
SIMON: No sir, I don't have to, my Mom is a good cook.
_____________________________ _
TEACHER: Clyde , your composition on 'My Dog' is exactly the same as your brother's. Did you copy his?
CLYDE : No, sir. It's the same dog...
_____________________________ ______
TEACHER: Harold, what do you call a person who keeps on talking when people are no longer interested?
HAROLD: A teacher
TSEHE TSEHEZ!
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Benki Kuu Amatus Liyumba akiwa kizimbani dakika chache baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kutumua vibaya madaraka wakati wa ujenzi wa maghorofa pacha ya benki hiyo jijini Dar. Mahakimu wawili kati ya watatu walimwona Liyumba ana hatia wakati mmoja alimwona hana hatia. Hata hivyo kwa mujibu wa sheria ya wengi wape, hukumu ya miaka 2 inasimama.
Liyumba akishauriana na mawakili wake baada ya hukumu.
PICHA ZOTE NA HABARI BY. ISSA MICHUZI