BRAZILI MOJA KATI YA TIMU AMBAZO ZINAPEWA NAFASI KUBWA KUTWAA UBINGWA KOMBE LA DUNIA, ITATUMIA MECHI DHIDI YA STARS KUWA SEHEMU YA MAANDALIZI YAO YA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA ZITAKAZOFANYIKA KUANZIA JUNI 11 HADI JULY 11 NCHINI AFRIKA KUSINI.
BALOZI WA BRAZILI NCHINI TANZANIA BW. FRANSISCO LUZ AMESEMA TIMU HIYO ITAWASILI NA NYOTA WAKE WOTE WATAKAOSHIRIKI FAINALI HIZO.
TAJUMBE WAWILI WA TIMU HIYO WAPO NCHINI KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA SHIRIKISHO LA SOKA TANZANIA (TFF) PAMOJA NA KUFANYA MAANDALIZI KABLA YA TIMU HIYO KUTUA KWA TIMU HIYO.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.