NA ALBERT GSENGO/MWANZA
MWALIMU SULEIMAN SOSPETER BUSELEKE AKISHIRIKIANA NA HUDUMA YA THE HOUSE OF WORSHIP WANAKULETEA KONGAMANO LA UCHUMI LIKIAMBATANA NA UZINDUZI WA KITABU KINACHOITWA NGUVU ILIYOMO KATIKA NDOTO WATUMISHI WENGINE WATAKAO HUDUMU SIKU HIYO NI PAMOJA NA ASKOFU JOSHUA LUSATO KUTOKA TABORA, MCHUNGAJI LILIAN MUSHI, MCHUNGAJI JAPHET KAFUGO, PASTOR IMAN BOAZ DANKEN NA WENGINE WENGI. WAIMBAJI NI:- MASS PRAISE THE HOUSE OF WORSHIP, SECRET OF WORSHIP, USCF SAUT, AIC MLIMA WA MIZEITUNI CHOIR, PAG MAKONGORO PRAISE TEAM, NA WENGINE WENGI. KONGAMANO HILI LITAFANYIKA ĴUMAPILI YA TAREHE 07/07/2024 UKUMBI WA NYANZA, KUANZIA SAA 8 MCHANA HADI SAA 1 USIKU. IMEDHAMINIWA NA JEMBE DEVELOPMENT GROUP NA JEMBE FM HAKUNA KIINGILIO. NYOTE MNAKARIBISHWA
WAZIRI KIKWETE: MFUMO MPYA KUWEZESHA WATANZANIA KUPATA FURSA ZA AJIRA NJE
YA NCHI
-
Na Mwandishi Wetu; Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye
Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete, amesema katika mwaka wa...
7 hours ago