NA ALBERT GSENGO/MWANZA
MWALIMU SULEIMAN SOSPETER BUSELEKE AKISHIRIKIANA NA HUDUMA YA THE HOUSE OF WORSHIP WANAKULETEA KONGAMANO LA UCHUMI LIKIAMBATANA NA UZINDUZI WA KITABU KINACHOITWA NGUVU ILIYOMO KATIKA NDOTO WATUMISHI WENGINE WATAKAO HUDUMU SIKU HIYO NI PAMOJA NA ASKOFU JOSHUA LUSATO KUTOKA TABORA, MCHUNGAJI LILIAN MUSHI, MCHUNGAJI JAPHET KAFUGO, PASTOR IMAN BOAZ DANKEN NA WENGINE WENGI. WAIMBAJI NI:- MASS PRAISE THE HOUSE OF WORSHIP, SECRET OF WORSHIP, USCF SAUT, AIC MLIMA WA MIZEITUNI CHOIR, PAG MAKONGORO PRAISE TEAM, NA WENGINE WENGI. KONGAMANO HILI LITAFANYIKA ĴUMAPILI YA TAREHE 07/07/2024 UKUMBI WA NYANZA, KUANZIA SAA 8 MCHANA HADI SAA 1 USIKU. IMEDHAMINIWA NA JEMBE DEVELOPMENT GROUP NA JEMBE FM HAKUNA KIINGILIO. NYOTE MNAKARIBISHWATupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.