IJUMAA IKO PALE PALE HII HAPA PICHA YA LONGI BLOGUNI , OSCAR MAKOYE MCHORA KATUNI MAARUFU NCHINI TANZANIA (NADHANI WAIFAHAMU KATUNI YA TOLU) KUMBE JAMAA ANAVIPAJI VINGI! HAPA NI STUDIO ZA MONRAW JIJINI MWANZA ZILIZOKUWA ZIKIPATIKANA PALE MTAA WA POSTA SHUGHULI ZA KUREKODI KANDA NA KUHAMISHA MUZIKI KUTOKA KATIKA SANTURI KWENDA KTK KANDA (TAPE) HAPA NDO MWAKE. MMILIKI WAKE ALIKUWA MDOGO WAKE MKUU WA MKOA WA MWANZA ENZI HIZO DANIEL MADAHA MASHIMBA (MIAKA YA THEMANINI). OSCAR NDIYE ALIYEKUWA TEGEMEO STUDIONI HAPA, MADJ KAMA BUSH DOCTOR, RICHIE DIRON, SUMMER DEE, DIO COOL, DON CHICHI(YUKO MTONI) NA WENGINE KIBAO ENEO HILI ILIKUWA MASTI WATIMBE!!!! UNAKUMBUKA MAKALI YAKE NDANI YA GAZETI LA SANIFU? LAKINI KWA SASA MCHORAJI HUYU MPATE KTK GAZETI LA ALASILI COLUM INAYOITWA "TUMETOKA MBALI"
Tetesi za soka Ulaya Jumanne: Wakala wa Christopher Nkuku amtaka
mashambuliaji huyo kujiunga na Barcelona
-
Mshambuliaji wa Chelsea Christopher Nkunku amepewa ofa ya kujiunga na
Barcelona na wakala wake, Ruben Amorim hana shinikizo la kumchagua Marcus
Rashford ka...
29 minutes ago