ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 17, 2011

JE UNAWAFAHAMU HAWA UNAJUA WALIPO SASA?

Msaada kwenye tuta kwa aliye na nyuzi za hawa majamaaa...

CONGRATULATION DEBORA KERENGE ON YOUR SEND OFF PARTY

Bi Harusi mtarajiwa Debora Kerenge akikata utepe kuashiria ufunguzi wa sherehe katika himaya ya ukumbi wa Matero Inn Musoma.

Flowers wa bi harusi mtarajiwa na shine zao.

Rasmi Debora katika red kapeti mara baada ya kutoa baraka kuwa na sherehe ianze.

Keki time.....

Swagga za kwaitoz ziliposwichiwa kuruhusu wajuzi wa mambo shughulini kumjoin bi Debora.

Haina majotrooo na huku basiiiii.....

Bwana Gabriel Ryotam na Familia yake wakiwasilisha zawadi kwa bi harusi mtarajiwa, pembeni mwenye suti black ni Mc Job wa Mwanza Sherehe Club aliyesimamia show hiyo kikamilifu.

Sekta ya misonsomolo' chumvi kwa rula na kujisevia: Hapa Bi Debora akishea na mumewe mtarajiwa yaliyomo mezani.

Kitu cha Twisti ....

Aliye kati ni dada wa biharusi mtarajiwa Mama Patra ambaye pia dizaina wa shughuli nzima.

Aliyesimama ni Baba wa bi harusi Mtarajiwa Bw.Seleman Kerenge.

Bi harusi mtarajiwa hakusita kupita meza baada ya meza kutoa shukurani kwa waliohudhuria hafla hiyo, hapa ndipo alipoifikia meza yetu na katika pozi akiwa na Oliva Sengo.

Kila la kheri na baraka tele ziwashukie katika ndoa yenu Bi Debora Kengere na Bw. Marwa Sylvanus Zembwela mnayotaraji kufunga siku ya jumamosi ya tarehe 18 juni 2011 Musoma mjini.

Thursday, June 16, 2011

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA NA MAADHIMISHO YAKE MWANZA

Kikundi cha sanaa Upendo daima toka Nyegezi Malimbe mkoani Mwanza kikionyesha sanaa zake.

Mkusanyiko wa vikundi mbalimbali vya wanafunzi toka shule mbalimbali mkoa wa Mwanza wakiimba wimbo tunalia.

Mkusanyiko wa vikundi mbalimbali vilivyojumuika katika uwanja wa Furahisha kirumba Mwanza kuadhimisha Siku ya mtoto wa Afrika.

Katibu tawala msaidizi, mkoa wa Mwanza akionyesha tuzo alizo tunukiwa mkuu wa mkoa kwenye sherehe hizo zikiwa ni Zawadi maalum kwa mkuu wa mkoa wa Mwanza Abass Kandoro, kwa mchango wake kwa watoto.

Katibu wa baraza la watoto la Mwanza na Kitaifa Sekela Richard akipokea zawadi yake toka kwa Mh. mgeni rasmi.

Mchezo wa kuigiza toka kwa watoto ulio sisimua wengi juu ya manyanyaso kwa watoto.

Wadau meza kuu wakitafakari hili na lile.

Tuzo ya uwakilishi bora Kombe la Dunia 2010 Durban South Africa hawa ndiyo wawakilishi wetu Tanzania street stars ambao makazi yao ni jijini Mwanza wakiwa na kiongozi wao.

Ziwani shule ya msingi na zawadi yao.

Shule ya Sekondari ya Kabuholo na Zawadi zao walizotunukiwa mara baada ya kufanya vizuri kwenye kwa maendeleo ya shule kikanda na michezo.

UDOM HAKUKALIKI WANAFUNZI 9,000 WATIMULIWA

ZAIDI ya wanafunzi 9,000 wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) wamefukuzwa kwa muda usiojulikana kuanzia jana kwa madai ya kuhamasisha mgomo usio halali.Habari zilizopatikana mjini hapa zimeeleza kuwa wanafunzi hao ni wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii na Sayansi Asilia. Walitakiwa kuondoka chuoni hapo kabla ya saa 8:00 mchana.Kufukuzwa huko kumekuja siku mbili baada ya kuanzisha maandamano yaliyoshinikiza kujiuzulu kwa viongozi waandamizi wa Serikali, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa kwa madai kwamba wamewadanganya kuhusu malipo yao ya masomo kwa vitendo.

Msimamo wa wanafunzi
Wakizungumza mara baada ya agizo hilo jana baadhi ya wanafunzi hao walisema kuwa hawaoni tabu kufukuzwa wakisema wao ni waathirika wanaotumika kwa maslahi ya wengine.

Walisema kuwa kufukuzwa kwao ni kwa ajili ya kudai maslahi ambayo wamekuwa wakiyatafuta wakati wote bila ya mafanikio na kwamba kama itabidi itakuwa bora waondoke.

“Sisi tunaondoka na wenzetu wengine walishaondoka katika Kitivo cha Sayansi ya Kompyuta kwa hiyo kwa hali hii lazima chuo chote kitafungwa maana hali inakokwenda chuoni hapa ni siasa tupu,” alisema mmoja wa wanafunzi hao na kuongeza: “Ni bora turudi nyumbani kwa kuwa huwezi kusoma bila ya kufanya mafunzo kwa vitendo. Ni bora tukae nyumbani tu,” alisema mmoja wa wanafunzi hao huku akiungwa mkono na wenzake.

Wanafunzi wa Kitivo cha Teknolojia ya Habari na Elimu Angavu walifukuzwa baada ya kugoma wakitaka walipwe fedha kwa ajili ya vifaa vya kujivunzia kwa vitendo.


habari zaidi tembelea www.mwananchi.co.tz

USALAMA BARABARANI

Ni barabara ya makongoro eneo la mission jijini Mwanza, ambapo kila kukicha kuna ukaguzi mbalimbali unaendelea kwa vyombo vya usafiri-kwa vile vyombo vya usafiri au magari yasiyokuwa na sifa stahiki yanatengwa pembeni kwa hatua zaidi.

Wednesday, June 15, 2011

MFUMANIZI RHODRI GIGGS PANYA ALIYEJINASA NA MTEGO WAKE KUMBE NAE ANA SKENDO NZITO

Panya..Rhodri Giggs na Danielle Healy

Rhodri Giggs anatajwa kumchit mke wake kwa kudunda na vimwana kama alivyofanya kaka yake Ryan kwa kujamiiana na mwanamama Natasha (mkewe Rhodri) ile hali akiwa kwenye ndoa. Msichana aliyelala na Rhodri, Danielle Healy, amesema: "Rhodri ni mnafiki na yeye ni kama Ryan.." ikumbukwe kuwa Rhodri, 34, wakati akihojiwa alisema kuwa anamachungu na amevunjwa moyo sana juu ya usaliti wa Ryan na Natasha, ambao wameweza kudunguana kwa takribani miaka nane sasa lakini nae alikuwa kwenye mkumbo huo huo.

Lakini baba huyo wa mtoto mmoja alikuwa akifanya uchafu wake kwa Natasha na Danielle miezi minne iliyopita – wakati mkewe nae bado akiwa na mahusiano ya kimapenzi na Ryan Giggs, 37.

Mshauri wa kibiashara wa Danielle, 24, asema: "I think Rhodri has got a lot of balls trying to play the victim in all this. "I might not have had an eight-year affair with him but what we did was still wrong. He was a married man with children when he had sex with me. He wasn't exactly being the family man the night we got it together. "Rhodri knew exactly what he wanted that night and I got caught up in the moment. Rightly or wrongly, we did what we did."

Danielle's revelations throw up another clue about why van driver Rhodri has stayed silent throughout the scandal which has demolished the squeaky-clean image of United's most decorated player. Last week The Sun told how Ryan offered his brother £250,000 to keep quiet.

And pals believe Rhodri was also worried about the spotlight turning on him if he spoke out. Danielle met Rhodri in February at a pub in Worsley, Greater Manchester.
She said: "I was out with friends and Rhodri was sitting on the next table with Will Mellor and another lad. We started chatting when they called last orders and they asked where the party was going to be.


"We went back to someone's house and started doing karaoke. Rhodri was up there singing away. "I noticed he had rings on both hands. He was banging his right hand on a table and one mate asked, 'Is that your wedding ring?' "Rhodri held up his left hand and said, 'No, that's my wedding ring.' Then he pointed to his right hand and said, 'That's my divorce ring.'

"I just thought it was a throwaway comment. But now it makes you wonder if he already knew what Natasha had been up to." University-educated Danielle told how Rhodri "tried it on" after they bumped into each other in a hallway later.

She said: "His hands were all over. We were laughing and joking and we'd had a fair bit to drink. A few minutes later we went upstairs to a spare bedroom and one thing led to another. "We spent half an hour in the bedroom and then just went back downstairs and carried on the night. "Then these two random women turned up. I think Rhodri's friends had called them. And everybody vanished into the night at about 3.30am.


Hanger on ... Rhodri Giggs behind Michelle Bates, left, and one of her hen pals

"I didn't think much about it after that as I knew he was married. It was a one-night stand but I had his number and decided to text him just to make sure he was all right."

Rhodri replied with a nervous text, telling Danielle: "I'm fine thanks. Just didn't want you emailing me on the off-chance, Natasha checks my emails. Hope you're well and maybe see you soon." Danielle said: "I knew he was trying to watch his back so I decided to leave it alone." She only decided to speak out after she became sick of Rhodri's double standards as the lurid sex scandal unfolded.

She said: "He is coming across all hurt and wounded but I don't feel sorry for Ryan, Rhodri or Natasha. They're all at it and as bad as each other."


Peace, girls ... Rhodri Giggs clowning around with the hen party clubbers
Last night Ryan, who also had a six-month fling with Big Brother babe Imogen Thomas, was still trying to save his marriage to wife Stacey, 32, after taking her and their two children away for a holiday. Yesterday The Sun told how Rhodri began hunting for a new woman 24 hours after splitting with Natasha, 28.

NI TRH 15 JUNE YA SUPA STAR LADY JAY DEE

Its My Birthday today 15 June
Ni siku yangu ya kuzaliwa, najivunia na kumshukuru Mungu kwa kumpa nguvu mama yangu Martha Mbibo kunihifadhi tumboni, kunileta duniani kunilea na kunifunza ujasiri na ustahamilivu mpaka leo nipo hapa nilipo kwaajili ya busara zake.

Nampendaga sana Mama

@lady jay dee

MRADI WA DARAJA LA MTO MALAGALASI KIGOMA ULIOKWAMA TANGU UHURU TAYARI UMEANZA.

Meneja mradi wa ujenzi wa daraja la Malagarasi mkoani Kigoma Jung Sik You (katikati) kutoka kampuni ya Hanil Engineering & Construction Ltd ya Korea akitoa maelezo kwa Mkuu wa Mkoa Kigoma, Joseph Simbakalia (wa kwanza kulia) kuhusu mahali ambapo daraja litapita na hatua iliyofikiwa sasa ya ujenzi wakati kiongozi huyo wa Serikali alipotembelea kukagua maendeleo ya utekelezaji wa mradi huo.(Picha na Fadhili Abdallah).

Daraja hilo la Mto Malagarasi linalounganisha mikoa ya Kigoma na Tabora lililokwama tangu uhuru, ujenzi wake utakagharimu dola za Marekani milioni 56. Mradi huo pia unajumuisha ujenzi wa kilometa 48 za barabara ya kiwango cha lami.

Meneja huyo amesema tayari kampuni yake imeoneshwa eneo la mradi na ameanza kufanya kazi hiyo ya ujenzi inayojumuisha madaraja matatu yenye urefu wa meta 200, meta 50 na meta 25.

Mradi huo uliosainiwa Oktoba 22, 2010 utachukua miezi 36 kukamilika na mkandarasi amekabidhiwa eneo la kazi Desemba 10, 2010 na kwa sasa anajipanga kujenga kambi ili kuanza ujenzi.

Wakati ujenzi wa daraja hilo ukianza, mawasiliano kati ya Kigoma na Tabora kupitia bonde la mto huo yamekatika baada ya kujaa maji na kusababisha magari kuishia upande mmoja wa barabara na abiria kulazimika kupita kwa miguu juu ya daraja la treni na kupanda gari linguine upande wa pili.

Sambamba na ujenzi wa daraja hilo, Menea huyo alisema ujenzi wa barabara ya Kidahwe – Uvinza kwa kiwango cha lami kwa urefu wa kilometa 76.6, unaogharimu Sh bilioni 78.2 tayari nao umekwishaanza chini ya utekelezaji wa kampuni ya CHICCO kutoka China na Mhandisi Mshauri, Kampuni ya International Consultants and Technocrats Pvt Ltd. ya India.

CHELSEA STAR DIDIER DROGBA'S WEDDING IN PICTURES

Mwishoni mwa wiki mkali wa soka toka Ivory Coast anayekiputa klabu ya Chelsea ya London nchini Uingereza, Didier Drogba amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi waliozaa nae watoto watatu aitwae Lalla Diakite huko Marie De monaco nchini Ufaransa.

Sherehe hiyo ilisimamiwa na mnene wa Chelsea Roman Abramovich, huku wachezaji mwenzake Salomon Kalou na Florent Malouda wakisimama katika nafasi ya upambe.

Wageni walioalikwa ni pamoja na mkali wa Rnb Akon star wa tumbuizo za NBA pia alimuita msanii anayemzimia kinomanoma Fally Ipupa toka Congo-DRC na J.Martins toka Nigeria.


Long-term love: Drogba na mke wake aliyefunga nae ndoa mwishoni mwa wiki hapa ilikuwa ni katika moja ya pati iliyofanyika jiji la London nchini Uingereza mwezi September mwaka jana.

Wapenyezaji habari wamenena kuwa: ‘Drogba anaupenda sana wimbo Jupa Remix na alikuwa akidhani ni wa Fally Ipupa’ ‘hivyo alipomkaribia Fally kumtaka awepo iliapate kuperform kwa harusi hiyo kama wimbo maalum, alimjibu kuwa hilo songi si lake. Na iliapate kuliperform kwenye sherehe ya ndoa hiyo kwa ufanisi zaidi haina budi kuwasiliana na mchizi aliyempa kolabo J.Martins (the owner of the song) awepo shughulini na wimbo upate imbwa’. Drogba alifanya hivyo na songi likagengeshwa kunako shughulini.


Kwahisani ya indepthafrica.com

MISS KAGERA 2011 YAJA JUU NI 24 JUNE


Warembo wnaowania taji la Miss Kagera 2011 wakiwa baadhi katika picha kama wanavyoonekana hapo juu ambapo june 24 watapanda jukwaani katika ukumbi wa Linuz club usiku huo.

Mnanionaje wadau... kARIBUNI 24 JUNE KATIKA UKUMBI WA LINUZ CLUB...Burudani toka kwa 20% itakuwepo na wasanii wengi pamoja na bendi mbalimbali.

Tuesday, June 14, 2011

HATIMAYE MOYO WANGU YA PHILBERT KABAGO YATINGA SOKONI!!!

Kabago.
Mkali wa michano kutoka The Rock City Mwanza, ambaye vilevile ni prizenta wa Passion Fm, Philbert Kabago ameshusha rasmi mtaani kitu cha album. Blogu hii imefanikiwa kuchonga na mshtaa' na hiki ndicho alichosema- "Album imetoka rasmi, so na hii ni baada ya kuwa katika maandalizi makubwa, nimeamua kuiachia album hii yenye jina 'Moyo wangu' ikiwa na ngoma kibao za ukweli kama vile 'Dear', 'Moyo wangu' ambayo imebeba jina la album, 'mama' alioimba kumuenzi marehemu mama yake, wivu, 'Umeme wa mgao' ambayo ndio inayotamba kwa sasa kwenye baadhi ya vituo vya radio n.k"

Dj Ali D akishusha mibaraka kwa album.
Kuhusu wasanii aliowashirikisha katika album hiyo jamaa amefunguka kwa kusema kuwa ni pamoja na Farida, MB Dog, Mr hill, Hussein machozi, G.Sengo na wengine wengi. Album imefanyika katika studio mbalimbali zikiwemo Tetemesha Records, Mo Record za mwanza na Family studio Arusha! Wasambazaji ni GMC.

SPRITE STREEET BASKETBALL BONANZA MWANZA

Juzi J2 watu walifunga mtaa wa Bantu Mwanza na kukusanyika eneo la mbele la kiunga cha vinywaji, vichomwa na vitafunwa 'Salma Cone' kisha michezo ya Sprite Street Basketball Bonanza ikafanyika.

Mashindano hayo yaliyokuwa na mvuto wa kipekee yalivuta hisia za wengi kwani yalihusisha vijana wenye ujuzi wa kutupia kikapu toka pande na pande za Rock city kama vile vyuo, mashule na kitaani.

Hupiti mzazi...!!

Most valuable Player (MVP) Hemedi akipokea zawadi zake toka kwa msimamizi wa mashindano hayo Mwanza, Mr. Rutta wa Nyanza Bottling Co. Ltd.

Washindi wa kwanza timu za basket wachezaji wa4-wa4 walijishindia mipira mitatu, t-shirt na kofia.

Washindi wa tatu timu za wachezaji wa4-wa4 na zawadi zao T-shirt na Kofia toka Spite.

Pia kulikuwa na mashindano ya mitupo kwa washiriki wa kawaida ambao hawajawahi kuucheza mchezo wa Basket kama pichani inavyoonekana wakiwa kwenye mstari zamu kwa zamu.

Washindi walipatikana na kuzawadiwa, dekshia mjunki smile lake.

Mashabiki na wacheza katika engo moko.