ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, October 9, 2009

FLASH BACK PHOTO MPOKI & JOTI ENZI ZA MKAPA

KAMA ILIVYO ADA KWA SIKU YA IJUMAA KUKULETEA PICHA YA ZAMANI: ILIKUWA NI KATIKA KIPINDI CHA NANE NANE ARUSHA NDANI YA BANDA LA RADIO 5 105.7 MIE NIKISIMULIA UMMA UJIO WA PROFESOR MPOKI NA JOTI NDANI YA BANDA HILO. WAPENZI WA ZE KOMEDI ORIJINO MPO?

Wednesday, October 7, 2009

PPF KUENDELEA KUNAKSH MAANDHALI YA MZ


UPO MPANGO SAFI WA KIMAENDELEO TOKA KWA SHIRIKA LA PPF KUJENGA ZAIDI NYUMBA ZENYE HADHI JIJINI MWANZA, HAKIKA NI JAMBO ZURI LA KUJIVUNIA KWANI UJENZI WAO UMEKUWA CHANGAMOTO TOSHA KWA WATU NA MASHIRIKA MBALIMBALI KUJENGA MIJENGO YA MAANA.

Monday, October 5, 2009

MVUA YA DAKIKA CHACHE TU LAKINI......


MKOANI MWANZA MVUA ZIMEANZA KUNYESHA NA JIJI LILISAFISHA MIFEREJI YA MAJI SAMBAMBA NA KUKARABATI MIFEREJI HIYO LAKINI CHA KUSHANGAZA MVUA YA NUSU SAA HALI IMEKUWA HIVI. NA SEHEMU HIZI ZILIZOKO KATIKATI YA JIJI ZILI ZIBULIWA. NI KWAMBA MITARO NI MIDOGO KUDHIBITI MAJI YATIRIRIKAYO AU HAITOSHI AMA AU?? CHUNGUZAGA.......