"Nilikuwa na ndoto siku moja nyimbo zangu zipigwe makanisani katika kumtukuza Mungu, Taifa letu linamalezi na makuzi ya kipekee tangu mwasisi wetu Baba wa Taifa hadi Rais wa awamu ya 6, Samia Suluhu Hassan, nashukuru hilo limetimia" Harmonize akijibu swali la mtangazaji wa Jembe Fm Mwanza, Natty E Brandy baada ya kuulizwa alijisikiaje Mtumishi wa Mungu Geor Devie kuucheza wimbo wake madhabahuni kwenye kanisa lake huku akimtabiria makuu na waumini wakishangilia
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
2 hours ago