• HOME

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, August 6, 2016

NAIBU WAZIRI MAMBO YA NDANI YA NCHI AWATAKA ASKARI WA USALAMA BARABARANI KUKABILIANA NA ONGEZEKO LA AJALI KWA KUFUATA SHERIA

Saturday, August 06, 2016  HABARI  No comments
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,  Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akieleka ukumbi wa mkutano wakati wa kikao alichofanya na askari  wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani.Kushoto ni Naibu Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Abdulrahman Kaniki na kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamanda Mohamed Mpinga. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam. Askari   Polisi hao ni wadau muhimu katika  kufanikisha Mkakati wa Baraza wa kukabiliana na ajali za barabarani nchini uliozinduliwa hivi karibuni na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,  Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akiwa amesimama wakati askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani(hwapo pichani), wakiimba wimbo wa maadili wa Jeshi la Polisi. Kushoto ni Naibu Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi, Abdulrahman Kaniki na kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamanda Mohamed Mpinga. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,  Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na askari  wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani(hawapo pichani) wakati wa mkutano na askari hao wakiwa ni wadau muhimu katika Mkakati wa Baraza wa kukabiliana na ajali za barabarani nchini, uliozinduliwa hivi karibuni na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamanda Mohamed Mpinga, ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,  akizungumza na askari  wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani(hawapo pichani) wakati wa mkutano na askari hao wakiwa ni wadau muhimu katika Mkakati wa Baraza wa kukabiliana na ajali za barabarani nchini, uliozinduliwa hivi karibuni na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Edwin Ngonyani, akizungumza na askari  wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani(hawapo pichani) wakati wa mkutano na askari hao wakiwa ni wadau muhimu katika Mkakati wa Baraza wa kukabiliana na ajali za barabarani nchini, uliozinduliwa hivi karibuni na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, akiuliza swali wakati wa mkutano ambao mgeni Rasmi alikuwa Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,  Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani) .Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, wakimsikiliza Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,  Mhandisi Hamad Masauni(hayupo pichani) wakiwa ni wadau muhimu katika Mkakati wa Baraza wa kukabiliana na ajali za barabarani nchini, uliozinduliwa hivi karibuni na Baraza la Taifa la Usalama Barabarani. Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Polisi Oysterbay, jijini Dar es Salaam. (Picha Zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Albert G.Sengo
Tweet

CHRISTIAN BELLA - NISHIKE.

Saturday, August 06, 2016  BURUDANI  No comments

Mwanamuziki Christian Bella kafyatua mpini wake mpya uliouita Nishike. Gsengo Blog inakupa fursa kuusikiliza na kuifaidi ladha yake. BOFYA PLAY KUSIKILIZA.
Albert G.Sengo
Tweet

MBUNGE WA JIMBO LA SINGIDA MASHARIKI MHE. TUNDU LISSU APANDISHWA KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUTOA KAULI ZA UCHOCHEZI.

Saturday, August 06, 2016  HABARI  No comments
Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki  Mhe. Tundu Lissu apandishwa mahakamani kwa tuhuma za kutoa kauli za uchochezi.
Albert G.Sengo
Tweet

SERIKALI ZANZIBAR YATILIA MKAZO SOKA LA WANAWAKE.

Saturday, August 06, 2016  MICHEZO  No comments
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamanduni na Michezo Zanzibar Hassan Mitawi akikangua timu wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel Rising Stars Zanzibar Ijumaa 5 Agosti 2016.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamanduni na Michezo Zanzibar Hassan Mitawi akikangua timu wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel Rising Stars Zanzibar Ijumaa 5 Agosti 2016.
Mchezaji wa Bungi Sister FC Agatha Peter (nyekundu) akichuana na beki wa Jumbi Woman Fighter Arafa Mbaraka wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel Rising Stars Zanzibar. Bungi FC ilishinda 3-0.
Mchezaji wa Bungi Sister FC Swahiba Khamis (nyekundi) akichuana na Shamira Shaban wa Jumbi Woman wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel Rising Stars Zanzibar. Bungi FC ilishinda 3-0.
Mchezaji wa Bungi FC Suzan Francis (nyekundu) akichuana na Agnes Andrew wa Jumbi Woman Fighter wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel Rising Stars Zanzibar. Bungi FC ilishinda 3-0.
Mchezaji wa Bungi FC Suzan Francis (nyekundu) akichuana na Agnes Andrew wa Jumbi Woman Fighter wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel Rising Stars Zanzibar. Bungi FC ilishinda 3-0.
Mchezaji wa Jumbi FC  (nyeupe) akichuana na Suzan Francis wa Bungi FC  wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel Rising Stars Zanzibar. Bungi FC ilishinda 3-0.
Mchezaji wa Bungi FC Suzan Francis (nyekundu) akichuana na Agnes Andrew wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel Rising Stars Zanzibar. Bungi FC ilishinda 3-0.


Mchezaji wa Bungi Juba Skampunda akichuana na Semeni Hamad wakati wa uzinduzi wa michuano ya Airtel Rising Stars Zanzibar. Bungi FC ilishinda 3-0.

 
Serikali Zanzibar yatilia mkazo soka la wanawake
 Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar pamoja imewahasa wazazi nchini wametakiwa kutoa uhuru kwa watoto wao wa kike kucheza mpira wa miguu ili kuifikisha nchi katika ushindi na kuitangaza Kimataifa.

Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar Hassan Mitawi alipokuwa akifungua mashindano ya Airtel Rising Stars yaliyofanyika uwanja wa Amaan.

Alisema bila ya michezo Zanzibar haiwezi kujulikana hivyo ni vyema kwa wazazi na walezi kuwapa motisha watoto wao wa kike kushiriki katika michezo hasa mpira wa miguu.

Alisema mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wenye kutoa ajira kama ilivyo kwa wanaume lakini tabia ya baadhi ya wazazi kuwakataza watoto wao wa kike kujiingiza katika soka kuwakosesha fursa zinazotokana na mpira ikiwemo afya bora, ajira pamoja na kuchangia katika kukuza soka la wanawake nchini.

Mitawi alisema watu wanazaliwa na vipaji na vipaji hivyo vinapaswa kuendelezwa hasa kwa upande wa Zanzibar wanawake washirikiane kudumisha michezo.

Aidha aliishukuru Airtel kuzidi kukuza na kusaidia michezo nchini na kuwataka kuendelea kuwekeza katika michezo hususani soka la wanawake.

Awali Mwenyekiti wa soka la wanawake Hatima Mwalimu alisema mashindano hayo yatasaidia kuinua vipaji vitakavyoisaidia Zanzibar kushiriki katika mashindano mbalimbali.

Nae Meneja Mauzo wa Airtel Zanzibar Muhidin Mikadadi alisema “Tunajisikia fahari kusaidia mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 hapa nchini na tumejipanga kuibua vipaji vya vijana kupitia program hii. Tunafurahi kuona vijana wengi wanajitokeza kushiriki mashindano hayo na tunawashukuru ZFA na Wizara ya Michezo kuwaunga mkono katika kusaidia na kukuza michezo nchini”.

Huu ni msimu wa sita kwa mashindano ya Airtel Rising Star nchini kwa mwaka humu  Zanzibar  impeta nafasi ya kushiriki, jumla ya timu sita zinashiriki  katika mashindano haya ni pamoja na  Mwenge kutoka Wilaya ya Kusini, Kidimni Kutoka Wilaya ya Kati,New Generation Kutoka Mkoa wa Mjini Magharibi, Jumbi Women kutoka Wilaya ya Kati na Bungi Sisters kutoka Wilaya ya Kati.
Albert G.Sengo
Tweet

Friday, August 5, 2016

PICHAZ MAMBO YA MAONESHO YA NANE NANE MWANZA.

Friday, August 05, 2016  BURUDANI  No comments
Mtangazaji wa Jembe Fm 93.7 Baba Juti (kulia) akisimamia mchakato wa kusaka vipaji vya muziki viwanja vya Nyamhongolo jijini Mwanza. Sambamba na burudani pia Jembe Fm imeweka banda lake la matangazo ya moja kwa moja ambapo licha ya wafanyabiashara na wajasiliamali kujipatia fursa ya kutangaza biashara zao pia wanamchi wanapata fursa ya kujioea shughuli mbalimbali za Jembe Fm ikiwa ni sanjari na matarisho ya vipindi na kadhalika.
Ni Mansour Jumanne toka kipindi cha Kazi na Ngoma akifanya yake jukwaa la wananchi viwanja vya Maonesho vya Nyamhongolo jijini Mwanza.




Kutoka kipindi cha Mchakamchaka wakuitwa Mwaka The Don.
Kipaji hiki kili ishiwa mafuta #Hakunaaaa
Kutoka show ya mchana saa 7 hadi 10 Dj anayesimama time hiyo ni huyu wakuitwa Deejay Jacko
Namba mpya Jembe Fm.
Wananchi 'Majembe'
Wadau Jembe Family.
Burudani za wastaarabu...eneo la tukio.
Jiografia toka juu angani ndani ya eneo la tukio viwanja vya Nyamhongolo jijini Mwanza.
Rap .....vipaji.
Vipaji vingine ni kudance ....funika bovu.
Jamaica ndani ya Rock City toka pande hizi.
Zile chomaZ.
Safi na wafuasi.
Kutoka juu taswira ya usiku.
Albert G.Sengo
Tweet

TRA KUWABANA WENYE NYUMBA ZA KUPANGA.

Friday, August 05, 2016  HABARI  No comments
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi,

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Richard Kayombo .

By Elias Msuya, 
CHANZO:- Mwananchi
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imesema kuwa itaanza kuwabana wenye nyumba za kupanga ili waweze kulipa kodi.

Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, Richard Kayombo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.

Amesema watazunguka nyumba kwa nyumba kuhakikisha wapangaji wanatoa mikataba na inalipiwa kodi.
Albert G.Sengo
Tweet

KAIMU MKURUGENZI ATCL ASIMAMISHWA KAZI.

Friday, August 05, 2016  HABARI  No comments

Waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano Prof Makame Mbarawa, amemsimamisha kazi kaimu mkurugenzi mkuu wa shirika la ndege ATCL kwa kuwachagua marubani wasiokidhi vigezo.
Albert G.Sengo
Tweet

Thursday, August 4, 2016

NAIBU WAZIRI WA ELIMU MH. MHANDISI STELLA MANYANYA AWA MGENI RASMI MAHAFALI YA BROOKHOUSE

Thursday, August 04, 2016  ELIMU  No comments
Mgeni Rasmi katika mahafali ya Shule ya awali ya Brookhouse International  Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mh. Mhandisi Stella Manyanya akitoa Hotuba kwa wanafunzi pamoja na wageni waalikwa
Mwalimu wa Taaluma wa Brookhouse International School Omega Kessy akitoa neno la utangulizi wakati wa mahafali hayo.
Mwalimu Mkuu wa Sunrise Nursery  and Primary School Bw. Onesphor Vitalis akitoa utambulisho kwa wageni waalikwa waliofika katika Mahafali hayo ya shule ya awali.
Mkurugenzi Mkuu wa Sunrise Nursery and Primary School Bi. Marry Shirima akitoa maelezo ya kina juu ya shule hiyo, kumshukuru mgeni rasmi kufika katika mahafali hayo ya watoto wa shule ya awali pamoja kuwapongeza kwa kuhitimu
Mgeni Rasmi katika mahafali ya Shule ya awali ya Brookhouse International School Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Mh. Mhandisi Stella Manyanya akimpa mmoja wa watoto cheti cha kuhitimu Elimu ya awali 
Watoto wahitimu wa Shule ya awali wakiendelea kupokea Vyeti vyao 
Mh. Mbunge wa Jimbo la Kawe Halima Mdee akiwa katika mahafali hayo 
Baadhi ya watoto wahitimu wa shule ya awali  wakipata picha ya pamoja na mgeni rasmi
Mgeni Rasmi katika mahafali ya Shule ya awali ya Brookhouse International School Naibu Waziri wa Elimu Mh. Mhandisi Stella Manyanya  akiadhimisha siku yake ya Kuzaliwa hapa akimlisha keki  Mkurugenzi mkuu wa Shule hiyo Mary Shirima
 Wahitimu wa Shule ya awali wakionesha uwezo wao wa kusoma kwa makini
 Wahitimu wa Shule ya awali wakionesha uwezo wao wakitoa Burudani kwa kucheza moja ya ngoma za asili za hapa Tanzania  
Mshehereshaji katika mahafali hayo Mwalimu Isaria akiendelea kutoa utaratibu wakati wa Sherehe hizo
  Watoto wa  Shule ya awali ya Brookhouse International School ambao wanandoto ya kuja kuwa Marubani wakiwa wanaelezea juu ya ndoto zao
Walimu nao hawakuwa nyuma waliendelea na Burudani 
Baadhi ya wahitimu wa shule ya awali wakiwa katika sherehe yao
Baadhi ya wanafunzi wanaobaki wakiwa katika mahafali hayo
Wazazi wa watoto wanaosoma shule hiyo pamoja na wageni waalikwa wakiwa katika mahafali ya shule ya awali ya Brookhouse.

Picha na Fredy Njeje wa Blogs za Mikoa

Albert G.Sengo
Tweet
Newer Posts Older Posts
Subscribe to: Posts (Atom)

CRDB

CRDB

MATANGAZO

AZAM TV LIVE

AZAM TV LIVE

TANZANIA MISS WORLD

TANZANIA MISS WORLD

SIKILIZA LIVE JEMBE FM

http://tun.in/sfi0U

Become a Fan

Followers

HABARI MPYA

HABARI MPYA

KARIBU MWANZA

KARIBU MWANZA

Popular Posts

  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013-2014 HAYA HAPA.
  • MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2014-2015
  • MAPINDUZI MAKUBWA UCHAGUZI WA MZFA YAFANYIKA MWENYEKITI APETA, KADUTU AUKWAA UWAKILISHI VILABU KWA ASILIMIA 100
  • MAUAJI YA KUTISHA MKOANI MWANZA, BABA, MAMA NA MTOTO WAUAWAWA KINYAMA BILA HURUMA.
  • ILIVYOKUWA HARUSI YA H.BABA NA FLORA MVUNGI
  • WATU ZAIDI YA 35 WAFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI ILIYOTOKEA LEO MKOANI MARA
  • DRINKINGS SUPPLY FOR CEREMONIES AND SPECIAL FUNCTION
  • NGOMA MPYA YA VANESSA MDEE ft BARNABA - SIRI
  • NGOMA MPYA YA NEY LEE ft NEY WA MITEGO - USINIKATAE.
  • VIDEO ZA VURUGU ZILIZOTOKEA LEO BUNGENI DODOMA APRIL 1,2015

Latest Tweets

 

HASHEEM THABEET

HASHEEM THABEET

BABA WA TAIFA JK.

BABA WA TAIFA JK.

VIEWERS

4932726

MITANDAO MINGINE

  • MICHUZI BLOG
    BALOZI DK.NCHIMBI AMWAKILISHA RAIS SAMIA KUMUAGA HAYATI SONGAMBELE MKOANI RUVUMA - Na Mwandishi Wetu,Songea KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais na Mwenyekiti wa CCM Taifa ,D...
    50 minutes ago
  • MTAA KWA MTAA BLOG
    DKT. YONAZI ATEMBELEA UWAKILISHI WA KUDUMU WA TANZANIA KATIKA OFISI ZA UMOJA WA MATAIFA GENEVA, AAZIMIA KUIMARISHA USHIRIKIANO - NA. MWANDISHI WETU – GENEVA USWISI Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ametembelea Ofisi za...
    3 hours ago
  • HABARI NA MATUKIO
    Taasisi ya Vodacom Foundation Kuwekeza TZS Bilioni 3.25 Kwenye Elimu Kupitia Ushirikiano na Taasisi ya Elimu Tanzania na Twaweza Afrika Mashariki - *Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Mafunzo ya Mitaala katika Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), Dkt. Angela Katabaro (kushoto), na Mkurugenzi wa Mahusiano wa Vo...
    4 hours ago
  • BBCSwahili.com | Habari
    Dira Ya Dunia - Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
    4 hours ago
  • JIACHIE
    JAMUHURI WAWASILISHA MAOMBI KUFICHA MASHAHIDI KESI YA LISSU - MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imeahirisha kuanza kusikilizwa kwa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo inayomkabili Mwenyekiti wa CHA...
    4 hours ago
  • LIBENEKE LA KASKAZINI
    Diwani awawashia moto wanaomtukana Rais Samia - Na Woinde Shizza ,moshi Diwani wa kata ya boma mbuzi Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Juma Rahibu, amewajia juu baadhi ya Watanzania wanaomkashifu na kum...
    4 days ago
  • BUKOBAWADAU
    AJALI ILIYOTOKEA MULEBA ;LORI LAPARAMIA FREMU ZA BIASHARA.. - Lori lililokuwa limepakia Mchele liliacha njia na kuparamia Framu za Biashara na kusababisha uharibu wa MALI Tukio limetokea May 23, 2025 Majira ya Saa 1...
    6 days ago
  • MATUKIO UK
    KATUNI YA LEO -
    6 years ago
  • ChingaOne
    Pata taarifa ya sakata la Madawa ya kulevya linavyoendelea - MAKONDA AKAMIWA: MBUNGE CCM ATAKA ACHUNGUZWE MALI ZAKE, WEMA AKWAMA VITA iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ya kupambana na bias...
    8 years ago
  • MSUMBANEWS.COM
    -
  • BUKOBA SPORTS
    -

STARMAX HOTEL & TOUR

STARMAX HOTEL & TOUR

CATEGORIES

  • +HABARI (2)
  • 88.1FM Mwanza. (23)
  • 93.7 JEMBE FM (9)
  • AFY (1)
  • AFYA (534)
  • AFYA. (5)
  • aHABARI (1)
  • AIR TANZANIA (1)
  • AJALI (50)
  • ARDHI (1)
  • ARUSHA (13)
  • BANGO (423)
  • BANGO. (1)
  • BANGU (1)
  • BIASHARA (437)
  • BIASHARA. (2)
  • BUNGENI (2)
  • bur (1)
  • buriani (22)
  • buriani michael (5)
  • BURUDA (1)
  • BURUDANI (1159)
  • BURUDANI. (301)
  • BURUDANI. JEMBE GOSPEL (1)
  • BURUDDANI (2)
  • BWISYA (1)
  • CCM (45)
  • CHAKULA (17)
  • CHANGA LA MACHO (37)
  • CHEREKO (118)
  • chunguza mjomba utabaini (2)
  • chunguza mjomba utabaini 007 (21)
  • chunguza mjomba utabaini. (385)
  • CLOUDS FM (4)
  • DAR ES SALAAM (14)
  • DINI (1)
  • EDUCATION / ELIMU (8)
  • ELIM (1)
  • ELIMU (470)
  • ELIMU. (8)
  • ENZI ZA KALE (5)
  • FIESTA (70)
  • FYA (1)
  • GABARI (1)
  • GABARI. (1)
  • GOSPEL (3)
  • GOSPEL TANZANIA (4)
  • Gospel traxx na G.Sengo (57)
  • HABA (1)
  • HABAFRI (2)
  • habar (3)
  • HABARI (5813)
  • HABARI MWANZA (2)
  • HABARI. (257)
  • HABAROI (1)
  • HABATRI (1)
  • hali ya hewa (18)
  • HBARI (1)
  • HISTORIA (6)
  • HUZU (1)
  • huzuni (221)
  • IBADA (22)
  • IKULU (1)
  • INJILI (3)
  • JEMBE (4)
  • Jembe Gospel (34)
  • Jembe Gospel. (14)
  • JEMBEKA (8)
  • JINSIA (1)
  • KAZI DARASA (1)
  • KENYA (1)
  • KIFUATACHO (9)
  • KILIMO (100)
  • KILIMO. (6)
  • KISIWA CHA SAA NANE (1)
  • KUMBUKUMBU (25)
  • kutoka kushoto (1)
  • limu (1)
  • M (2)
  • MABARI (2)
  • MADINI (1)
  • MAGAZETI (2)
  • MAGUFULI (1)
  • MAHAKAMANI (29)
  • MAHUSIANO (22)
  • MAJI (1)
  • Mapishi (1)
  • MARA (1)
  • mawasi (1)
  • MAWASILANO (1)
  • MAWASILIA (1)
  • MAWASILIANO (247)
  • MAWASILIANO. (4)
  • MAZINGIRA (24)
  • MCHEZO (4)
  • MGOMO (2)
  • MI (1)
  • MICH (1)
  • miche (1)
  • MICHEO (3)
  • MICHEZO (1892)
  • MICHEZO. (32)
  • MICHOEZO (1)
  • MIFUGO (1)
  • MILA NA DESTURI (1)
  • miti (1)
  • MITINDO (94)
  • MKICHEZO (1)
  • MSAADA (18)
  • MSIBA (5)
  • MUSOMA (8)
  • MUSUKUMA (1)
  • MUZIKI (4)
  • MUZIKI WA DANSI (1)
  • MWANZA (158)
  • NANE NANE (1)
  • ndani ya 88.1FM Mwanza. (7)
  • NDOA (1)
  • NYERERE DAY (2)
  • POLISI (1)
  • REKODI (1)
  • SAFARI (16)
  • SANAA (22)
  • SENSA (2)
  • SENSA 2022 (10)
  • SHERIA (2)
  • SHINYANGA (8)
  • SIASA (295)
  • SIsa (1)
  • SOMA (11)
  • TAMISEMI (1)
  • TANZANIA (2)
  • TEKNOLOJIA (8)
  • TIGO F (1)
  • TUTAFIKA (76)
  • tz oyeee (72)
  • U (1)
  • UCHAGUZI (26)
  • UCHAGUZI 2015 (218)
  • UCHAGUZI 2024 (11)
  • UCHAGUZI CCM (11)
  • UCHAGUZI KENYA 2022 (24)
  • UCHAGUZI MKUU 2025 (1)
  • UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA (7)
  • UCHU (1)
  • UCHUMI (584)
  • UCHUMI. (11)
  • UJASILIAMALI (6)
  • UJENZI (5)
  • UKARA (1)
  • UKEREWE (1)
  • USAFIRI NA USAFIRISHAJI (1)
  • utabaini 007 (1)
  • UTALII (167)
  • UTALII. (5)
  • UTAMADUNI (1)
  • UVUVI (1)
  • UWEKEZAJI (8)
  • UZIMA (2)
  • WAISLAMU (1)
  • WIZARA YA UVUVI NA MIFUGO (1)
  • ZAMA (1)
  • ZAMA ZA SIKUKUU (220)
  • ZIMAMOTO (1)

Blog Archive

  • 06/01 - 06/08 (1)
  • 05/25 - 06/01 (7)
  • 05/18 - 05/25 (5)
  • 05/11 - 05/18 (18)
  • 05/04 - 05/11 (6)
  • 04/27 - 05/04 (14)
  • 04/20 - 04/27 (7)
  • 04/13 - 04/20 (13)
  • 04/06 - 04/13 (11)
  • 03/30 - 04/06 (6)
  • 03/23 - 03/30 (15)
  • 03/16 - 03/23 (12)
  • 03/09 - 03/16 (10)
  • 03/02 - 03/09 (14)
  • 02/23 - 03/02 (21)
  • 02/16 - 02/23 (10)
  • 02/09 - 02/16 (14)
  • 02/02 - 02/09 (6)
  • 01/26 - 02/02 (17)
  • 01/19 - 01/26 (10)
  • 01/12 - 01/19 (11)
  • 01/05 - 01/12 (9)
  • 12/29 - 01/05 (1)
  • 12/22 - 12/29 (3)
  • 12/15 - 12/22 (13)
  • 12/08 - 12/15 (8)
  • 12/01 - 12/08 (19)
  • 11/24 - 12/01 (16)
  • 11/17 - 11/24 (21)
  • 11/10 - 11/17 (12)
  • 11/03 - 11/10 (12)
  • 10/27 - 11/03 (11)
  • 10/20 - 10/27 (10)
  • 10/13 - 10/20 (17)
  • 10/06 - 10/13 (8)
  • 09/29 - 10/06 (10)
  • 09/22 - 09/29 (8)
  • 09/15 - 09/22 (11)
  • 09/08 - 09/15 (10)
  • 09/01 - 09/08 (9)
  • 08/25 - 09/01 (22)
  • 08/18 - 08/25 (10)
  • 08/11 - 08/18 (9)
  • 08/04 - 08/11 (8)
  • 07/28 - 08/04 (6)
  • 07/21 - 07/28 (7)
  • 07/14 - 07/21 (11)
  • 07/07 - 07/14 (8)
  • 06/30 - 07/07 (2)
  • 06/23 - 06/30 (13)
  • 06/16 - 06/23 (11)
  • 06/09 - 06/16 (10)
  • 06/02 - 06/09 (8)
  • 05/26 - 06/02 (14)
  • 05/19 - 05/26 (9)
  • 05/12 - 05/19 (12)
  • 05/05 - 05/12 (7)
  • 04/28 - 05/05 (16)
  • 04/21 - 04/28 (2)
  • 04/14 - 04/21 (6)
  • 04/07 - 04/14 (8)
  • 03/31 - 04/07 (8)
  • 03/24 - 03/31 (12)
  • 03/17 - 03/24 (9)
  • 03/10 - 03/17 (16)
  • 03/03 - 03/10 (9)
  • 02/25 - 03/03 (5)
  • 02/18 - 02/25 (12)
  • 02/11 - 02/18 (6)
  • 02/04 - 02/11 (4)
  • 01/28 - 02/04 (9)
  • 01/21 - 01/28 (12)
  • 01/14 - 01/21 (7)
  • 01/07 - 01/14 (7)
  • 12/31 - 01/07 (8)
  • 12/24 - 12/31 (1)
  • 12/17 - 12/24 (6)
  • 12/10 - 12/17 (9)
  • 12/03 - 12/10 (7)
  • 11/26 - 12/03 (14)
  • 11/19 - 11/26 (8)
  • 11/12 - 11/19 (15)
  • 11/05 - 11/12 (7)
  • 10/29 - 11/05 (10)
  • 10/22 - 10/29 (12)
  • 10/15 - 10/22 (3)
  • 10/08 - 10/15 (12)
  • 10/01 - 10/08 (3)
  • 09/24 - 10/01 (7)
  • 09/17 - 09/24 (6)
  • 09/10 - 09/17 (6)
  • 09/03 - 09/10 (6)
  • 08/27 - 09/03 (12)
  • 08/20 - 08/27 (6)
  • 08/13 - 08/20 (5)
  • 08/06 - 08/13 (6)
  • 07/30 - 08/06 (3)
  • 07/23 - 07/30 (11)
  • 07/16 - 07/23 (16)
  • 07/09 - 07/16 (12)
  • 07/02 - 07/09 (8)
  • 06/25 - 07/02 (3)
  • 06/18 - 06/25 (11)
  • 06/11 - 06/18 (16)
  • 06/04 - 06/11 (9)
  • 05/28 - 06/04 (7)
  • 05/21 - 05/28 (13)
  • 05/14 - 05/21 (19)
  • 05/07 - 05/14 (18)
  • 04/30 - 05/07 (20)
  • 04/23 - 04/30 (19)
  • 04/16 - 04/23 (10)
  • 04/09 - 04/16 (24)
  • 04/02 - 04/09 (27)
  • 03/26 - 04/02 (22)
  • 03/19 - 03/26 (27)
  • 03/12 - 03/19 (17)
  • 03/05 - 03/12 (20)
  • 02/26 - 03/05 (20)
  • 02/19 - 02/26 (24)
  • 02/12 - 02/19 (29)
  • 02/05 - 02/12 (21)
  • 01/29 - 02/05 (9)
  • 01/22 - 01/29 (18)
  • 01/15 - 01/22 (26)
  • 01/08 - 01/15 (14)
  • 01/01 - 01/08 (20)
  • 12/25 - 01/01 (7)
  • 12/18 - 12/25 (13)
  • 12/11 - 12/18 (9)
  • 12/04 - 12/11 (10)
  • 11/27 - 12/04 (26)
  • 11/20 - 11/27 (25)
  • 11/13 - 11/20 (8)
  • 11/06 - 11/13 (30)
  • 10/30 - 11/06 (31)
  • 10/23 - 10/30 (21)
  • 10/16 - 10/23 (12)
  • 10/09 - 10/16 (16)
  • 10/02 - 10/09 (18)
  • 09/25 - 10/02 (17)
  • 09/18 - 09/25 (16)
  • 09/11 - 09/18 (16)
  • 09/04 - 09/11 (15)
  • 08/28 - 09/04 (11)
  • 08/21 - 08/28 (12)
  • 08/14 - 08/21 (21)
  • 08/07 - 08/14 (17)
  • 07/31 - 08/07 (9)
  • 07/24 - 07/31 (7)
  • 07/17 - 07/24 (7)
  • 07/10 - 07/17 (13)
  • 07/03 - 07/10 (20)
  • 06/26 - 07/03 (14)
  • 06/19 - 06/26 (12)
  • 06/12 - 06/19 (13)
  • 06/05 - 06/12 (14)
  • 05/29 - 06/05 (15)
  • 05/22 - 05/29 (8)
  • 05/15 - 05/22 (9)
  • 05/08 - 05/15 (4)
  • 05/01 - 05/08 (10)
  • 04/24 - 05/01 (9)
  • 04/17 - 04/24 (7)
  • 04/10 - 04/17 (23)
  • 04/03 - 04/10 (19)
  • 03/27 - 04/03 (8)
  • 03/20 - 03/27 (26)
  • 03/13 - 03/20 (15)
  • 03/06 - 03/13 (22)
  • 02/20 - 02/27 (1)
  • 02/13 - 02/20 (1)
  • 02/06 - 02/13 (1)
  • 01/30 - 02/06 (3)
  • 01/23 - 01/30 (9)
  • 01/16 - 01/23 (9)
  • 01/09 - 01/16 (2)
  • 01/02 - 01/09 (9)
  • 12/26 - 01/02 (2)
  • 12/19 - 12/26 (5)
  • 12/12 - 12/19 (16)
  • 12/05 - 12/12 (22)
  • 11/28 - 12/05 (20)
  • 11/21 - 11/28 (23)
  • 11/14 - 11/21 (14)
  • 11/07 - 11/14 (1)
  • 10/31 - 11/07 (3)
  • 08/22 - 08/29 (1)
  • 08/15 - 08/22 (13)
  • 08/08 - 08/15 (17)
  • 08/01 - 08/08 (11)
  • 07/25 - 08/01 (1)
  • 07/18 - 07/25 (1)
  • 07/11 - 07/18 (1)
  • 11/08 - 11/15 (1)
  • 04/26 - 05/03 (1)
  • 03/29 - 04/05 (5)
  • 03/22 - 03/29 (9)
  • 03/15 - 03/22 (16)
  • 03/08 - 03/15 (10)
  • 03/01 - 03/08 (13)
  • 02/23 - 03/01 (12)
  • 02/16 - 02/23 (10)
  • 02/09 - 02/16 (12)
  • 02/02 - 02/09 (15)
  • 01/26 - 02/02 (8)
  • 01/19 - 01/26 (6)
  • 01/12 - 01/19 (9)
  • 01/05 - 01/12 (18)
  • 12/29 - 01/05 (20)
  • 12/22 - 12/29 (8)
  • 12/15 - 12/22 (5)
  • 12/08 - 12/15 (18)
  • 12/01 - 12/08 (21)
  • 11/24 - 12/01 (15)
  • 11/17 - 11/24 (20)
  • 11/10 - 11/17 (21)
  • 11/03 - 11/10 (32)
  • 10/27 - 11/03 (16)
  • 10/20 - 10/27 (31)
  • 10/13 - 10/20 (28)
  • 10/06 - 10/13 (16)
  • 09/29 - 10/06 (9)
  • 09/22 - 09/29 (12)
  • 09/15 - 09/22 (17)
  • 09/08 - 09/15 (17)
  • 09/01 - 09/08 (14)
  • 08/25 - 09/01 (6)
  • 08/18 - 08/25 (13)
  • 08/11 - 08/18 (18)
  • 08/04 - 08/11 (12)
  • 07/28 - 08/04 (17)
  • 07/21 - 07/28 (27)
  • 07/14 - 07/21 (18)
  • 07/07 - 07/14 (24)
  • 06/30 - 07/07 (19)
  • 06/23 - 06/30 (20)
  • 06/16 - 06/23 (20)
  • 06/09 - 06/16 (23)
  • 06/02 - 06/09 (12)
  • 05/26 - 06/02 (21)
  • 05/19 - 05/26 (16)
  • 05/12 - 05/19 (20)
  • 05/05 - 05/12 (20)
  • 04/28 - 05/05 (15)
  • 04/21 - 04/28 (11)
  • 04/14 - 04/21 (17)
  • 04/07 - 04/14 (20)
  • 03/31 - 04/07 (23)
  • 03/24 - 03/31 (22)
  • 03/17 - 03/24 (20)
  • 03/10 - 03/17 (19)
  • 03/03 - 03/10 (7)
  • 02/24 - 03/03 (10)
  • 02/17 - 02/24 (1)
  • 02/10 - 02/17 (3)
  • 12/16 - 12/23 (1)
  • 12/09 - 12/16 (5)
  • 12/02 - 12/09 (36)
  • 11/25 - 12/02 (36)
  • 11/18 - 11/25 (37)
  • 11/11 - 11/18 (26)
  • 11/04 - 11/11 (26)
  • 10/28 - 11/04 (29)
  • 10/21 - 10/28 (26)
  • 10/14 - 10/21 (26)
  • 10/07 - 10/14 (40)
  • 09/30 - 10/07 (37)
  • 09/23 - 09/30 (19)
  • 09/16 - 09/23 (27)
  • 09/09 - 09/16 (33)
  • 09/02 - 09/09 (31)
  • 08/26 - 09/02 (42)
  • 08/19 - 08/26 (33)
  • 08/12 - 08/19 (34)
  • 08/05 - 08/12 (34)
  • 07/29 - 08/05 (35)
  • 07/22 - 07/29 (29)
  • 07/15 - 07/22 (35)
  • 07/08 - 07/15 (47)
  • 07/01 - 07/08 (42)
  • 06/24 - 07/01 (43)
  • 06/17 - 06/24 (39)
  • 06/10 - 06/17 (42)
  • 06/03 - 06/10 (39)
  • 05/27 - 06/03 (34)
  • 05/20 - 05/27 (34)
  • 05/13 - 05/20 (40)
  • 05/06 - 05/13 (24)
  • 04/29 - 05/06 (33)
  • 04/22 - 04/29 (34)
  • 04/15 - 04/22 (32)
  • 04/08 - 04/15 (24)
  • 04/01 - 04/08 (29)
  • 03/25 - 04/01 (21)
  • 03/18 - 03/25 (39)
  • 03/11 - 03/18 (40)
  • 03/04 - 03/11 (29)
  • 02/25 - 03/04 (40)
  • 02/18 - 02/25 (35)
  • 02/11 - 02/18 (34)
  • 02/04 - 02/11 (33)
  • 01/28 - 02/04 (45)
  • 01/21 - 01/28 (39)
  • 01/14 - 01/21 (25)
  • 01/07 - 01/14 (26)
  • 12/31 - 01/07 (34)
  • 12/24 - 12/31 (16)
  • 12/17 - 12/24 (28)
  • 12/10 - 12/17 (32)
  • 12/03 - 12/10 (37)
  • 11/26 - 12/03 (31)
  • 11/19 - 11/26 (28)
  • 11/12 - 11/19 (32)
  • 11/05 - 11/12 (30)
  • 10/29 - 11/05 (36)
  • 10/22 - 10/29 (24)
  • 10/15 - 10/22 (47)
  • 10/08 - 10/15 (42)
  • 10/01 - 10/08 (32)
  • 09/24 - 10/01 (36)
  • 09/17 - 09/24 (32)
  • 09/10 - 09/17 (40)
  • 09/03 - 09/10 (26)
  • 08/27 - 09/03 (39)
  • 08/20 - 08/27 (35)
  • 08/13 - 08/20 (39)
  • 08/06 - 08/13 (24)
  • 07/30 - 08/06 (24)
  • 07/23 - 07/30 (45)
  • 07/16 - 07/23 (60)
  • 07/09 - 07/16 (50)
  • 07/02 - 07/09 (32)
  • 06/25 - 07/02 (39)
  • 06/18 - 06/25 (49)
  • 06/11 - 06/18 (47)
  • 06/04 - 06/11 (48)
  • 05/28 - 06/04 (34)
  • 05/21 - 05/28 (37)
  • 05/14 - 05/21 (36)
  • 05/07 - 05/14 (30)
  • 04/30 - 05/07 (43)
  • 04/23 - 04/30 (39)
  • 04/16 - 04/23 (30)
  • 04/09 - 04/16 (38)
  • 04/02 - 04/09 (41)
  • 03/26 - 04/02 (42)
  • 03/19 - 03/26 (37)
  • 03/12 - 03/19 (40)
  • 03/05 - 03/12 (48)
  • 02/26 - 03/05 (50)
  • 02/19 - 02/26 (43)
  • 02/12 - 02/19 (33)
  • 02/05 - 02/12 (30)
  • 01/29 - 02/05 (38)
  • 01/22 - 01/29 (41)
  • 01/15 - 01/22 (46)
  • 01/08 - 01/15 (47)
  • 01/01 - 01/08 (37)
  • 12/25 - 01/01 (40)
  • 12/18 - 12/25 (42)
  • 12/11 - 12/18 (38)
  • 12/04 - 12/11 (39)
  • 11/27 - 12/04 (36)
  • 11/20 - 11/27 (44)
  • 11/13 - 11/20 (42)
  • 11/06 - 11/13 (46)
  • 10/30 - 11/06 (34)
  • 10/23 - 10/30 (40)
  • 10/16 - 10/23 (51)
  • 10/09 - 10/16 (39)
  • 10/02 - 10/09 (55)
  • 09/25 - 10/02 (52)
  • 09/18 - 09/25 (36)
  • 09/11 - 09/18 (42)
  • 09/04 - 09/11 (54)
  • 08/28 - 09/04 (35)
  • 08/21 - 08/28 (34)
  • 08/14 - 08/21 (33)
  • 08/07 - 08/14 (32)
  • 07/31 - 08/07 (47)
  • 07/24 - 07/31 (46)
  • 07/17 - 07/24 (41)
  • 07/10 - 07/17 (37)
  • 07/03 - 07/10 (46)
  • 06/26 - 07/03 (37)
  • 06/19 - 06/26 (35)
  • 06/12 - 06/19 (27)
  • 06/05 - 06/12 (24)
  • 05/29 - 06/05 (30)
  • 05/22 - 05/29 (21)
  • 05/15 - 05/22 (39)
  • 05/08 - 05/15 (45)
  • 05/01 - 05/08 (33)
  • 04/24 - 05/01 (44)
  • 04/17 - 04/24 (51)
  • 04/10 - 04/17 (46)
  • 04/03 - 04/10 (32)
  • 03/27 - 04/03 (39)
  • 03/20 - 03/27 (51)
  • 03/13 - 03/20 (48)
  • 03/06 - 03/13 (39)
  • 02/28 - 03/06 (50)
  • 02/21 - 02/28 (29)
  • 02/14 - 02/21 (46)
  • 02/07 - 02/14 (47)
  • 01/31 - 02/07 (41)
  • 01/24 - 01/31 (43)
  • 01/17 - 01/24 (38)
  • 01/10 - 01/17 (40)
  • 01/03 - 01/10 (35)
  • 12/27 - 01/03 (38)
  • 12/20 - 12/27 (41)
  • 12/13 - 12/20 (30)
  • 12/06 - 12/13 (39)
  • 11/29 - 12/06 (28)
  • 11/22 - 11/29 (35)
  • 11/15 - 11/22 (33)
  • 11/08 - 11/15 (39)
  • 11/01 - 11/08 (34)
  • 10/25 - 11/01 (40)
  • 10/18 - 10/25 (32)
  • 10/11 - 10/18 (45)
  • 10/04 - 10/11 (48)
  • 09/27 - 10/04 (45)
  • 09/20 - 09/27 (49)
  • 09/13 - 09/20 (39)
  • 09/06 - 09/13 (37)
  • 08/30 - 09/06 (24)
  • 08/23 - 08/30 (43)
  • 08/16 - 08/23 (47)
  • 08/09 - 08/16 (28)
  • 08/02 - 08/09 (37)
  • 07/26 - 08/02 (45)
  • 07/19 - 07/26 (18)
  • 07/12 - 07/19 (48)
  • 07/05 - 07/12 (39)
  • 06/28 - 07/05 (19)
  • 06/21 - 06/28 (34)
  • 06/14 - 06/21 (37)
  • 06/07 - 06/14 (37)
  • 05/31 - 06/07 (38)
  • 05/24 - 05/31 (30)
  • 05/17 - 05/24 (26)
  • 05/10 - 05/17 (23)
  • 05/03 - 05/10 (27)
  • 04/26 - 05/03 (29)
  • 04/19 - 04/26 (21)
  • 04/12 - 04/19 (23)
  • 04/05 - 04/12 (25)
  • 03/29 - 04/05 (23)
  • 03/22 - 03/29 (39)
  • 03/15 - 03/22 (22)
  • 03/08 - 03/15 (34)
  • 03/01 - 03/08 (28)
  • 02/22 - 03/01 (26)
  • 02/15 - 02/22 (24)
  • 02/08 - 02/15 (26)
  • 02/01 - 02/08 (20)
  • 01/25 - 02/01 (23)
  • 01/18 - 01/25 (25)
  • 01/11 - 01/18 (25)
  • 01/04 - 01/11 (21)
  • 12/28 - 01/04 (24)
  • 12/21 - 12/28 (19)
  • 12/14 - 12/21 (31)
  • 12/07 - 12/14 (26)
  • 11/30 - 12/07 (21)
  • 11/23 - 11/30 (23)
  • 11/16 - 11/23 (20)
  • 11/09 - 11/16 (23)
  • 11/02 - 11/09 (27)
  • 10/26 - 11/02 (22)
  • 10/19 - 10/26 (24)
  • 10/12 - 10/19 (20)
  • 10/05 - 10/12 (32)
  • 09/28 - 10/05 (22)
  • 09/21 - 09/28 (26)
  • 09/14 - 09/21 (24)
  • 09/07 - 09/14 (31)
  • 08/31 - 09/07 (22)
  • 08/24 - 08/31 (21)
  • 08/17 - 08/24 (27)
  • 08/10 - 08/17 (22)
  • 08/03 - 08/10 (27)
  • 07/27 - 08/03 (21)
  • 07/20 - 07/27 (24)
  • 07/13 - 07/20 (25)
  • 07/06 - 07/13 (30)
  • 06/29 - 07/06 (27)
  • 06/22 - 06/29 (27)
  • 06/15 - 06/22 (22)
  • 06/08 - 06/15 (16)
  • 06/01 - 06/08 (28)
  • 05/25 - 06/01 (25)
  • 05/18 - 05/25 (26)
  • 05/11 - 05/18 (28)
  • 05/04 - 05/11 (24)
  • 04/27 - 05/04 (23)
  • 04/20 - 04/27 (18)
  • 04/13 - 04/20 (21)
  • 04/06 - 04/13 (22)
  • 03/30 - 04/06 (31)
  • 03/23 - 03/30 (25)
  • 03/16 - 03/23 (30)
  • 03/09 - 03/16 (19)
  • 03/02 - 03/09 (24)
  • 02/23 - 03/02 (15)
  • 02/16 - 02/23 (20)
  • 02/09 - 02/16 (26)
  • 02/02 - 02/09 (23)
  • 01/26 - 02/02 (35)
  • 01/19 - 01/26 (20)
  • 01/12 - 01/19 (28)
  • 01/05 - 01/12 (25)
  • 12/29 - 01/05 (26)
  • 12/22 - 12/29 (23)
  • 12/15 - 12/22 (29)
  • 12/08 - 12/15 (21)
  • 12/01 - 12/08 (20)
  • 11/24 - 12/01 (25)
  • 11/17 - 11/24 (27)
  • 11/10 - 11/17 (21)
  • 11/03 - 11/10 (32)
  • 10/27 - 11/03 (30)
  • 10/20 - 10/27 (22)
  • 10/13 - 10/20 (24)
  • 10/06 - 10/13 (19)
  • 09/29 - 10/06 (21)
  • 09/22 - 09/29 (23)
  • 09/15 - 09/22 (20)
  • 09/08 - 09/15 (26)
  • 09/01 - 09/08 (27)
  • 08/25 - 09/01 (24)
  • 08/18 - 08/25 (24)
  • 08/11 - 08/18 (19)
  • 08/04 - 08/11 (21)
  • 07/28 - 08/04 (23)
  • 07/21 - 07/28 (23)
  • 07/14 - 07/21 (22)
  • 07/07 - 07/14 (24)
  • 06/30 - 07/07 (28)
  • 06/23 - 06/30 (29)
  • 06/16 - 06/23 (28)
  • 06/09 - 06/16 (30)
  • 06/02 - 06/09 (27)
  • 05/26 - 06/02 (26)
  • 05/19 - 05/26 (14)
  • 05/12 - 05/19 (25)
  • 05/05 - 05/12 (26)
  • 04/28 - 05/05 (27)
  • 04/21 - 04/28 (17)
  • 04/14 - 04/21 (16)
  • 04/07 - 04/14 (22)
  • 03/31 - 04/07 (12)
  • 03/24 - 03/31 (23)
  • 03/17 - 03/24 (24)
  • 03/10 - 03/17 (21)
  • 03/03 - 03/10 (19)
  • 02/24 - 03/03 (24)
  • 02/17 - 02/24 (22)
  • 02/10 - 02/17 (20)
  • 02/03 - 02/10 (21)
  • 01/27 - 02/03 (26)
  • 01/20 - 01/27 (24)
  • 01/13 - 01/20 (27)
  • 01/06 - 01/13 (24)
  • 12/30 - 01/06 (22)
  • 12/23 - 12/30 (31)
  • 12/16 - 12/23 (9)
  • 12/09 - 12/16 (29)
  • 12/02 - 12/09 (24)
  • 11/25 - 12/02 (28)
  • 11/18 - 11/25 (19)
  • 11/11 - 11/18 (26)
  • 11/04 - 11/11 (32)
  • 10/28 - 11/04 (22)
  • 10/21 - 10/28 (25)
  • 10/14 - 10/21 (22)
  • 10/07 - 10/14 (28)
  • 09/30 - 10/07 (31)
  • 09/23 - 09/30 (22)
  • 09/16 - 09/23 (20)
  • 09/09 - 09/16 (27)
  • 09/02 - 09/09 (18)
  • 08/26 - 09/02 (19)
  • 08/19 - 08/26 (31)
  • 08/12 - 08/19 (27)
  • 08/05 - 08/12 (28)
  • 07/29 - 08/05 (28)
  • 07/22 - 07/29 (29)
  • 07/15 - 07/22 (35)
  • 07/08 - 07/15 (30)
  • 07/01 - 07/08 (42)
  • 06/24 - 07/01 (29)
  • 06/17 - 06/24 (35)
  • 06/10 - 06/17 (30)
  • 06/03 - 06/10 (21)
  • 05/27 - 06/03 (25)
  • 05/20 - 05/27 (21)
  • 05/13 - 05/20 (19)
  • 05/06 - 05/13 (22)
  • 04/29 - 05/06 (23)
  • 04/22 - 04/29 (24)
  • 04/15 - 04/22 (26)
  • 04/08 - 04/15 (22)
  • 04/01 - 04/08 (20)
  • 03/25 - 04/01 (25)
  • 03/18 - 03/25 (16)
  • 03/11 - 03/18 (19)
  • 03/04 - 03/11 (17)
  • 02/26 - 03/04 (13)
  • 02/19 - 02/26 (18)
  • 02/12 - 02/19 (17)
  • 02/05 - 02/12 (11)
  • 01/29 - 02/05 (18)
  • 01/22 - 01/29 (11)
  • 01/15 - 01/22 (17)
  • 01/08 - 01/15 (20)
  • 01/01 - 01/08 (17)
  • 12/25 - 01/01 (14)
  • 12/18 - 12/25 (15)
  • 12/11 - 12/18 (12)
  • 12/04 - 12/11 (14)
  • 11/27 - 12/04 (21)
  • 11/20 - 11/27 (25)
  • 11/13 - 11/20 (21)
  • 11/06 - 11/13 (14)
  • 10/30 - 11/06 (17)
  • 10/23 - 10/30 (18)
  • 10/16 - 10/23 (17)
  • 10/09 - 10/16 (18)
  • 10/02 - 10/09 (8)
  • 09/25 - 10/02 (13)
  • 09/18 - 09/25 (10)
  • 09/11 - 09/18 (13)
  • 09/04 - 09/11 (14)
  • 08/28 - 09/04 (11)
  • 08/21 - 08/28 (17)
  • 08/14 - 08/21 (9)
  • 08/07 - 08/14 (19)
  • 07/31 - 08/07 (14)
  • 07/24 - 07/31 (17)
  • 07/17 - 07/24 (12)
  • 07/10 - 07/17 (23)
  • 07/03 - 07/10 (14)
  • 06/26 - 07/03 (16)
  • 06/19 - 06/26 (15)
  • 06/12 - 06/19 (19)
  • 06/05 - 06/12 (16)
  • 05/29 - 06/05 (20)
  • 05/22 - 05/29 (20)
  • 05/15 - 05/22 (20)
  • 05/08 - 05/15 (17)
  • 05/01 - 05/08 (25)
  • 04/24 - 05/01 (15)
  • 04/17 - 04/24 (13)
  • 04/10 - 04/17 (17)
  • 04/03 - 04/10 (15)
  • 03/27 - 04/03 (14)
  • 03/20 - 03/27 (17)
  • 03/13 - 03/20 (23)
  • 03/06 - 03/13 (14)
  • 02/27 - 03/06 (15)
  • 02/20 - 02/27 (17)
  • 02/13 - 02/20 (14)
  • 02/06 - 02/13 (19)
  • 01/30 - 02/06 (17)
  • 01/23 - 01/30 (17)
  • 01/16 - 01/23 (14)
  • 01/09 - 01/16 (12)
  • 01/02 - 01/09 (13)
  • 12/26 - 01/02 (13)
  • 12/19 - 12/26 (12)
  • 12/12 - 12/19 (16)
  • 12/05 - 12/12 (15)
  • 11/28 - 12/05 (17)
  • 11/21 - 11/28 (13)
  • 11/14 - 11/21 (15)
  • 11/07 - 11/14 (13)
  • 10/31 - 11/07 (7)
  • 10/24 - 10/31 (12)
  • 10/17 - 10/24 (4)
  • 10/10 - 10/17 (6)
  • 10/03 - 10/10 (14)
  • 09/26 - 10/03 (10)
  • 09/19 - 09/26 (6)
  • 09/12 - 09/19 (8)
  • 09/05 - 09/12 (13)
  • 08/29 - 09/05 (14)
  • 08/22 - 08/29 (13)
  • 08/15 - 08/22 (12)
  • 08/08 - 08/15 (7)
  • 08/01 - 08/08 (13)
  • 07/25 - 08/01 (5)
  • 07/18 - 07/25 (8)
  • 07/11 - 07/18 (10)
  • 07/04 - 07/11 (10)
  • 06/27 - 07/04 (16)
  • 06/20 - 06/27 (12)
  • 06/13 - 06/20 (10)
  • 06/06 - 06/13 (7)
  • 05/30 - 06/06 (12)
  • 05/23 - 05/30 (11)
  • 05/16 - 05/23 (17)
  • 05/09 - 05/16 (15)
  • 05/02 - 05/09 (13)
  • 04/25 - 05/02 (11)
  • 04/18 - 04/25 (11)
  • 04/11 - 04/18 (6)
  • 04/04 - 04/11 (5)
  • 03/28 - 04/04 (9)
  • 03/21 - 03/28 (6)
  • 03/14 - 03/21 (4)
  • 03/07 - 03/14 (5)
  • 02/28 - 03/07 (5)
  • 02/21 - 02/28 (4)
  • 02/14 - 02/21 (3)
  • 02/07 - 02/14 (4)
  • 01/31 - 02/07 (1)
  • 01/24 - 01/31 (4)
  • 01/17 - 01/24 (4)
  • 01/10 - 01/17 (3)
  • 01/03 - 01/10 (5)
  • 12/27 - 01/03 (5)
  • 12/20 - 12/27 (7)
  • 12/13 - 12/20 (4)
  • 12/06 - 12/13 (5)
  • 11/29 - 12/06 (3)
  • 11/22 - 11/29 (6)
  • 11/15 - 11/22 (3)
  • 11/08 - 11/15 (2)
  • 11/01 - 11/08 (1)
  • 10/25 - 11/01 (5)
  • 10/18 - 10/25 (11)
  • 10/11 - 10/18 (1)
  • 10/04 - 10/11 (3)
  • 09/27 - 10/04 (7)
  • 09/20 - 09/27 (10)
  • 09/13 - 09/20 (11)
  • 09/06 - 09/13 (15)
  • 08/30 - 09/06 (17)
  • 08/23 - 08/30 (5)
  • 08/09 - 08/16 (10)
  • 08/02 - 08/09 (7)
  • 07/26 - 08/02 (25)
  • 07/19 - 07/26 (6)
  • 07/12 - 07/19 (1)
  • 07/05 - 07/12 (1)
  • 06/28 - 07/05 (2)
  • 06/21 - 06/28 (5)
  • 06/07 - 06/14 (4)

DIRECTORY AD

 
Copyright © 2025 g sengo