ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, August 5, 2016

PICHAZ MAMBO YA MAONESHO YA NANE NANE MWANZA.

Mtangazaji wa Jembe Fm 93.7 Baba Juti (kulia) akisimamia mchakato wa kusaka vipaji vya muziki viwanja vya Nyamhongolo jijini Mwanza. Sambamba na burudani pia Jembe Fm imeweka banda lake la matangazo ya moja kwa moja ambapo licha ya wafanyabiashara na wajasiliamali kujipatia fursa ya kutangaza biashara zao pia wanamchi wanapata fursa ya kujioea shughuli mbalimbali za Jembe Fm ikiwa ni sanjari na matarisho ya vipindi na kadhalika.
Ni Mansour Jumanne toka kipindi cha Kazi na Ngoma akifanya yake jukwaa la wananchi viwanja vya Maonesho vya Nyamhongolo jijini Mwanza.




Kutoka kipindi cha Mchakamchaka wakuitwa Mwaka The Don.
Kipaji hiki kili ishiwa mafuta #Hakunaaaa
Kutoka show ya mchana saa 7 hadi 10 Dj anayesimama time hiyo ni huyu wakuitwa Deejay Jacko
Namba mpya Jembe Fm.
Wananchi 'Majembe'
Wadau Jembe Family.
Burudani za wastaarabu...eneo la tukio.
Jiografia toka juu angani ndani ya eneo la tukio viwanja vya Nyamhongolo jijini Mwanza.
Rap .....vipaji.
Vipaji vingine ni kudance ....funika bovu.
Jamaica ndani ya Rock City toka pande hizi.
Zile chomaZ.
Safi na wafuasi.
Kutoka juu taswira ya usiku.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.