ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, June 22, 2013

SMILE COMMUNICATIONS WAPIGA PART NA FAMILA

Akionesha smile za Kichinachina HunHaaa...!! Ndani ya party la Smile Communication anaitwa George Adam Sengo first born wa kakaangu.

Denzel...

Care.com

Cant c Me..

Ndani ya Smile ni Doris na wanae.

Choma zilichomeka...

Round table.

Zaidi ya mamtoni kwani hapa kila kitu natural.

Colour your self...

Familia stejini.

Smile la ukweli..

Aaaang....!!

Mie

4 G.

LUCY TOMEKA ANYAKUA TAJI LA REDDS MISS KINONDONI 2013

 Mshindi wa Redds Miss Kinondoni 2013, Lucy Tomeka akivalishwa taji lake na mrembo aliyekuwa akilishikilia taji hilo Redds Miss Tanzania 2012/2013, Bright Alfred. Lucy Tomeka aliweza kuchukua taji hilo kwa kuweza kuwagalagaza wenzake wapatao 12 katika kinyang'anyiro hicho kilifanyika jana ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip jijini Dar.    
 Akivalishwa utambulisho wake.
 Showlove...
 Warembo waliofanikiwa kuingia katika tano bora wakifurahia kwa pamoja, katikati ni Redds Miss Kinondoni 2013 Lucy Tomeka, (shoto kwake) ni Prisca Clement, (kulia kwake) ni Phillios Lemi. Wengone ni Sarah Paul (kwanza kulia) na Linda Joseph (kwanza kushoto).

  Tatu bora ni katikati ni Redds Miss Kinondoni 2013 Lucy Tomeka, (shoto kwake) ni Prisca Clement, (kulia kwake) ni Phillios Lemi. 

NAELEKEA KWENYE MINUSO YA MAPRIZENTA WA CLOUDS FM AMBAO WOTE WANAOA LEO

Jamani eeh naelekea kwenye mnuso aka minuso kwani iko miwili, wa kwanza ni wa harusi ya Paul James anayefunga ndoa na bi. Beatrice Wilbard Uiso na mnuso wa pili ni wa Harusi ya Bw. Wasiwasi Mwabulambo ambaye naye anachukuwa jiko hii leo...kitakachojiri nitawajuza.

Pipani nikiwa na brother Sunday Mkumbukwa.
 Kideo Angani 
Airport Mwanza.
Clouds......

Dar es salaam at Nyerere Air port.


Mipipa mingineyo...


Huduma...


Wengine mlango wa nyuma.


Ruti ya kwanza kugonga visa kwa brother yangu Adam Sengo at Mwenge.


Kisha mjengoni namkuta 'Your girl frend favorite prizenta' aka Baba Joniiii.....akikamua kipindi na Dj Steve B hayupo pichani (mcheki chini)
Mie na Dj. Steve B.
Ze interview ya Adam Mchomvu na Stoper Rhymes.

Ibra De Hustler (kulia) akizungumza kwa hewa ndani ya Clouds Fm pembeni ni Stoper Rhymes wakisanukisha Bongo Flevani.

Jiografia ya Bongo fleva toka kona hii.

Friday, June 21, 2013

MEYA WA KAMPALA APIGWA NA POLISI

Meya wa mji mkuu wa Uganda, Kampala anasema amepigwa na polisi waliofyatua risasi za mipira kuutawanya umati wa wafuasi wake.
Polisi walitumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya wafuasi wa Lukwago huku wakimjeruhi
Akizungumza na BBC akiwa kitandani hospitalini, meya huyo Erias Lukwago, anasema alizirai baada ya gesi ya kutoa machozi ilipotupwa ndani ya gari lake.

Anaeleza kwamba maafisa wa polisi walimpiga kifuani na kuzirarua nguo zake wakimshutumu kwa kuchochea ghasia.
Meya huyo ni mpinzani wa rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni.
Mtu mmoja anaripotiwa kufariki na wengine kadhaa kukamatwa wakati wa ghasia hizo.
Hata hivyo polisi wamekanusha madai ya kumpiga meya huyo , ambaye pia ni mkoasji mkubwa wa rais Museveni.
Upinzani unasema kuwa serikali inajaribu kukandamiza kilio cha mageuzi nchini humo.
Katika tukio lengine, kiongozi wa upinzani Kizza Besigye alikamatwa kwa kuandaa mkutano ambao polisi hawakuuidhinisha.
Bwana Lukwago, jana alikuwa anaelekea kwenye jopo maalum kwa mara ya kwanza ambayo huenda ikamwondolea wadhifa wake kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi.
Mwandishi wa BBC Catherine Byaruhanga mjini Kampala anasema kuwa polisi walizingira nyumba yake na kisha kumpeleka ambako jopo lilikuwa linaendesha vikao vyake.
Lakini akiwa anapelekwa polisi walirusha vikebe vya gesi ya kutoa machozi, ndani ya gari lake.
Alisema kuwa polisi walimgonga kifuani na kumrarulia nguo zake.
"walinipiga kifuani na kudai kuwa nachochea ghasia , walinirarulia nguzo zangu na kunitesa kwa kila njia. Nilijaribu kuwaambia waniache lakini sikufanikiwa,'' alisema Lukwago.
Kizza Besigye amedaiwa na polisi kuchochea umati wa watu mjini Kampala ili kumuunga mkono bwana Lukwago, kosa ambalo ofisi yake imanusha .
CHANZO/bbc swahili.

MKAREEEEeeeee SANA ANAITWA MIKANDA 6

Mikanda 6 (kulia) akiwa na mtangazaji alwatan Jackob Usungu, anayefanya kazi hivi sasa na Metro Fm Mwanza  katika pozi namba moko'

Pozi namba bee' mapigo kama haya nakumbuka tulikuwa tukiyaona miaka ya 90 enzi za akina Luciana Bokilo, Bileku Mpasi, Aurlus Mabele, Jean Baron ambapo wengi hapa bongo tulikopi lakini nyingi suruali zilikuwa zikiishia mikanda mitatu, chekshia hii imepigwa dabo' yaani times two. 

SOPHIA, PHILLIOUS NA LINDA WANG'AA REDDS MISS KINONDONI TALENT, FAINALI ZA REDDS MISS KINONDONI 2013 NI LEO GOLDEN TULIP HOTELI JIJINI DAR

Washindi wa Redds Miss Kinondoni Talent 2013 wakiwa katika sura za furaha mara baada ya kuwagalagaza wenzao na kujikuta wanapatikana wao Kutoka Kulia ni Sophia Yusuf, Phillious Lemi na Linda Joseph.
Jaji mkuu wa shindano hilo mtayarishaji wa Muziki, Man Walter akiwa na msaidizi wake wakati wa shindano hilo.

 Na Cathbert Angelo, Kajunason Blog.
Jumla ya washiriki watatu wamepatikana katika shindano Redd’s Miss Kinondoni Talent 2013 lililofanyika katika ukumbi wa Shekinah Garden, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.

Akitangaza washindi hao, jaji mkuu wa shindano hilo mtayarishaji wa Muziki, Man Walter aliwataja Sophia Yusuf, Phillious Lemi na Linda Joseph kuwa ndiyo waliowagalagaza wenzao wapatao 10 waliokuwa katika kinyang'anyiro hicho.

Nae Muandaaji wa shindano hilo, Dennis Ssebo alisema kuwa fainali za mashindano hayo zinafanyika leo Juni 21 mwaka huu katika uwanja wa hoteli ya Golden Tulip.
Alisema kwamba shindano la mwaka huu litaandika historia mpya ya urembo kwa wilaya ya Kinondoni maana wamejipanga na kupata sapoti ya kutosha, hivyo mashabiki wa mashindano ya urembo wakae mkao wa kupata raha.

Mashindano ya Redd's Miss Kinondoni yamedhaminiwa na Redd's Original, Chilly Willy Energy Drink, Oriflame Natural Beauty Products, Kiota cha Maraha WANTASH, Virago, Times Fm, JB Belmonte Hotel, Michuzi Media Group, Michuzijr Blog, Mtaa Kwa Mtaa Blog, Fullshangwe Blog, HandeniKwetu Blog, Mrokim Blog, TheHabari.com, JestinaGeorge Blog, SufianMafoto Blog, Global Publisher, Mdimuz Blog, Lukaza Blog, MO Blog na Kajunason Blog.
Mambo ya maunooooo....

Aha! kila mmoja alionyesha umahili wake wa kuonyesha vituko, hapa ni nani kamwaga pombe yangu???

Bongiliiii bingiliiii mpaka chiniiiiiiiii....

...Mrithi wa Wanne sTAR akionyesha namna ya kula moto...

Segereeeee limenoga.

Muandaaji wa shindano la Redds Miss Kinondoni 2013, Dennis Ssebo akitoa machachee.

... huyu anafuata nyayo za Mrisho Mpoto

... kwenye Moja na Mbili ni Mwanadada Jenifa Kakolaki akimsaidiana na Dj

Wageni waalikwa...

...Kiuni bila mfupa

Matroni wa warembo wa Redds Miss Kinondoni 2013 akishangiliwa mara baada ya kuonyesha umahili wak e wa kucheza.