Friday, October 02, 2009
MWANZA
NI MPAMBANO UNAO SUBIRIWA KWA HAMU NA WAPENZI WENGI WA BURUDANI YA MUZIKI WA NYUMBANI. MATAYARISHO YAMEKAMILIKA KINACHONGOJWA NI MUDA UTIMIE WATU WATIETIMU CCM KIRUMBA MWANZA JUMAMOSI HII YA TAREHE 3/OCTOBER2009 KUANZIA SAA 2 USIKU.
KAMA ILIVYO ADA KWA KILA IJUMAA,
LEO WADAU NIPENI JINA LA MTU WA KWANZA KUSHOTO.....?, ANAYEFUATA NI DJ MASOUD MASOUD (katikati) NA MAREHEMU DJ KALI KALI.
Friday, October 02, 2009
MWANZA
SIO SUALA LA MJADALA KWA WAKAZI WA MWANZA KUWA ACTIVE MBELE YA MSANII MKALI NA SIO SWALI KWA WAKAZI WA MWANZA KUMIMINIKA KWA WINGI KATIKA SHOW ZA UKWELI HUSUSANI ZA PRIME TIMES PROMOTION.
SIKU HIYO RATIBA YA MAANA, STAGE YA UHAKIKA, SOUND LA MTIKISIKO...
CHEKI WAKALI WATAKAO WATAKAO KAMUA
PROF. JAY
FID Q
QUICK RACKA
MARLOW
CHIDY BENZ
MAUNDA ZORO
BELE 9
ALLY KIBA
HUSEIN MACHOZI
MADEE
SUMALEE
JUMA NATURE
GOD ZILLAH
JOS MTAMBO
SYRILL
EZO B.
LIST KUENDELEAAAAAAAAA.............
FIESTA MWANZA NI JUMAPILI YA TAREHE 11OCTOBER2009.
MAHALI PATUKIO NICCM KIBUMBA.
KIINGILIO Tsh. 3,000/= TU.
"KAMA WEWE BARUTI BASI LIPUKA NAMI" USKOSE!!!!!!
Thursday, October 01, 2009
MWANZA
SHINDANO LA KUMSAKA THE STRONGEST MAN KTK FIESTA ONE LOVE LINA KILA HALI KUPATA WASHINDANI WA UKWELI KWANI NDANI YA ROCK CITY MASTRONGEST MAN WAMEANZA KUULIZIA SIKU YA USAILI PICHANI MOJA YA WADAU ANAITWA DRAGON. WAKO WENGI AKINA HASANI KIDUME, SIMBA, JOHNSON MNYAMWEZI. NA MAPACHA WAWILI TOKA PASIANSI HAPA NI KWAMBA BADO HAWAJAJA WALE WILAYA ZA MISUNGWI, GEITA, SENGEREMA USIIPIMIE.....
MAMBO YOTE TAREHE 11OCTOBER2009
NDANI YA CCM KIRUMBA
KUANZIA SAA 5 ASUBUHI.
KIINGILIO SH 3000/=
HAKUNA ASIYE JUA KWAMBA SHIRIKA LA UMEME TANESCO NDILO TEGEMEO KTK UTOAJI NA UZALISHAJI UMEME. HALI IKO HIVI KWASABABU MILANGO HAIJAFUNGULIWA KWA WENGINE KUWEKEZA KTK HUDUMA HII MUHIMU. ACHANA NA MIGAO ISIYO KUWA NA MIGUU WALA KICHWA "tushazoea". JIJI LA MWANZA TATIZO LA LUKU SI SANA KWANI LIMERAHISISHWA KUPITIA BENKI NA MITANDAO YA SIMU. TATIZO NI KTK KULIPIA KWA MFUMO WA KAWAIDA. TANESCO MZ INA OFISI NDOGO, MJENGO WA KIZAMANI AMBAO HAUENDI SAMBAMBA NA UKUAJI WA JIJI. UKITHUBUTU KWENDA TANESCO KULIPIA BILL BASI TENGA SAA MOJA NA ZAIDI FOLENI CHUMBA KIZIMA KINAJAA WATU,HARUFU ZA KILA AINA NZURI KWA MBAYA-: za MAPERFUME, KUJAMB.., VIKWAPA, SHOMBO ZA SAMAKI AC FEKI MPAKA ZINAJAM... PIGA PICHA WILAYA ZA NYAMAGANA NA ILEMELA ZINATEGEMEA OFISI MOJA YENYE KAUNTA TATU TU MBILI KAWAIDA MOJA LUKU. NAKUMBUKA KULIKUWA NA TATIZO KAMA HILI UPANDE WA HUDUMA YA ATM, LAKINI SASA LIMETATULIWA TENA KIUSHINDANI, KUNA BENKI MOJA IMETHUBUTU KUWEKA ATM 4 KATIKA JENGO MOJA JIPYA.WHY NOT TANESCO? PICHANI WAZALENDO WAKIWA KTK FOLENI ''NILIFIKA KULIPIA BILL ILE NAFIKA TU KAUNTA, UMEME UKAKATIKA!'' MUHUDUMU AKAPATA LIKIZO....
Thursday, October 01, 2009
MWANZA