NI AJALI AMBAYO HAKUNA HATA MMOJA AMBAYE ALIDHANI KUWA ANGEPONA MTU, ILITOKEA KATIKA KIJIJI CHA MALAMPAKA WILAYANI MASWA MKOANI SHINYANGA. PICHANI NI MWALIMU MATABA MOJA KATI YA ABILIA AMBAYE ALIKUWA AMEKAA UPANDE WA MBELE WA GARI ULIO BONYEA KIASI CHA KUTISHA INGAWAWALIPATA MAJERAHA MAKUBWA LAKINI MUNGU ALIWANUSURU. MARA NYINGI UKAGUZI WA VYOMBO VYA USAFIRI UMEKUWA UKIISHIA MIJINI TU. NENDA VIJIJINI UJIONEE MIKANGAFU IKITESA BARABARANI. TENA INABEBA HATA MAHARUSI. TUTAFANYAJE SASA?
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.