ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, August 3, 2009

NI WIKI SASA LAKINI PAMOJA CONSERT BADO TWAUHISI MOTO WAKE

HAPA FLORA MBASHA ALIKUWA KESHA TAMBULISHWA KATIKA MSHANGAO AKILITIZAMA KUNDI LAKE LILILOKUWA TAYARI KWENYE STAGE LIKIFANYA INTRO..

YA KWANZA KATIKA STAGE...!

UNA FURAHA YAKO, KUNA USHINDI WAKO, UPONYAJI WAKO, MITO YA BARAKA AND OF COUSE MATUMAINI NYUMBANI MWA BWANA. (ni maneno yanayopatikana katika wimbo ulio beba jina la album FURAHA YAKO).

HAPA NI JICHO NA SIKIO...!

FLORA MBASHA KATIKA UIMBAJI KUNDI LAKE KATIKA UBURUDISHAJI.

NI MTAFUTANO NDANI YA MKUTANO.

SHANGWE HAZIKUISHA KUMIMINIKA KATIKA STAGE KWANI KILA KILICHOKUWA KIKIFANYIKA KILIKUWA KIMEJAA UTOFAUTI, KWELI WASANII WALIJIFUA VYA KUTOSHA.
SAFI TENA SANAANA!!

SIJUI NISEME SHINGAPI?

NI TIME YA WAGENI RASMI KUJIHUKUMU KTK UNUNUZI WA COPY YA KWANZA YA DVD ALBUM USINIFICHE

Sunday, August 2, 2009

KAA MKAO WA KULA..


NCHI YA KENYA IMEBARIKIWA KUWA NA WANAMUZIKI WENGI WA KIKE WENYE STYLE, WANAOJUA KUVAA NA WALIOBARIKIWA SAUTI ZA UKWELI WANAOVUMA NA KUTAMBA NDANI NA NJE YA MIPAKA YA NCHI HIYO. WAHU MAMAA WA SWEET LOVE, DADA YETU NAAZIZI, ASALI, NYOTA NDOGO NA AMANI NI MOJA YA WASANII WAKALI KUTOKA "KEI I"(KE). WAZALENDO WENZANGU JE MWAMFAHAMU HUYU PICHANI?
well NI MOJA KATI YA WAKALI TOKA NCHINI KENYA SIFA YAKE KUU ANAPIGA MUZIKI WA LADHA ZOTE ANAITWA STELA NYAMBUI MWANGI MARA BAADA YA KIMYA KIREFU KANITONYA KUWA ANAREJEA KIKAMILIFU.