'USINIKATAE' Ni mkwaju mpya wa Mwanadada Ney Lee hapa akimshirikisha yule mtata anayedatisha wengi kunako flevani Ney Wa Mitego SIKILIZA KWA KUBOFYA PLAY.
JAS yafanya kikao cha kufunga Mwaka 2025
-
Na Mwandishi Wetu Morogoro 27 Disemba, 2025.
Jumuiya ya Wanafunzi ya Jiba Active Students (JAS) imefanya kikao maalum
cha kufunga shughuli za Mwaka 2025...
0 comments:
Post a Comment