ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 7, 2009

MAZISHI YA MICHAEL LIVE Sky NEWS

SKY NEWS NA SKY ART1 HII LEO WATAONESHA LIVE MAZISHI YA MFALME WA POP DUNIANI MICHAEL JACKSON, HILI NI SHAVU JINGINE KWAO MARA BAADA YA KUONESHA KWA UFANISI MKUBWA HATUA ZOTE ZA UAPISHWAJI WA RAIS BARACK OBAMA MWEZI JANUARY MWAKA HUU, INASEMEKANA JAMAA INGAWA NI MAARUFU DUUH! UMAARUFU UNAZIDI KUPANDA ILE MBAYA NA KATIKA KUJIZATITI ZAIDI SAMBAMBA NA KUWAPIGA MSASA WATANGAZAJI WAKE WAMEONGEZA NYENZO ZA HALI YA JUU ZAIDI KTK KUNASA MAWASILIANO. MTANGAZAJI KAY BURLEY ATAUNGANA NA MWAKILISHI MAHIRI WA USA ROBERT NISBET NA GREG MILAN KATIKA CHAMBUZI ZA SIMULIZI YA YOTE YATAKAYOJIRI MAZIKONI, IKUMBUKWE KUWA WATU HAWA NDIYO WENYE RUKSA PEKEE KUDHURU SEHEMU WATAKAZO KAA WATU MASHUHURI DUNIANI KUDHURIA MAZISHI YA MICHAEL.''KWELI MICHAEL NI MFALME WA POP''...... UNASHANGAA ETI UNA HOJI kwanini nisitumie neno ''alikuwa mfalme'' NIKISEMA ALIKUWA SWALI LITAKUWA JE NI NANI AMERISISHWA? (nani baada ya yeye ktk ufalme wa pop?) TEH TEH!!!