SKY NEWS NA SKY ART1 HII LEO WATAONESHA LIVE MAZISHI YA MFALME WA POP DUNIANI MICHAEL JACKSON, HILI NI SHAVU JINGINE KWAO MARA BAADA YA KUONESHA KWA UFANISI MKUBWA HATUA ZOTE ZA UAPISHWAJI WA RAIS BARACK OBAMA MWEZI JANUARY MWAKA HUU, INASEMEKANA JAMAA INGAWA NI MAARUFU DUUH! UMAARUFU UNAZIDI KUPANDA ILE MBAYA NA KATIKA KUJIZATITI ZAIDI SAMBAMBA NA KUWAPIGA MSASA WATANGAZAJI WAKE WAMEONGEZA NYENZO ZA HALI YA JUU ZAIDI KTK KUNASA MAWASILIANO. MTANGAZAJI KAY BURLEY ATAUNGANA NA MWAKILISHI MAHIRI WA USA ROBERT NISBET NA GREG MILAN KATIKA CHAMBUZI ZA SIMULIZI YA YOTE YATAKAYOJIRI MAZIKONI, IKUMBUKWE KUWA WATU HAWA NDIYO WENYE RUKSA PEKEE KUDHURU SEHEMU WATAKAZO KAA WATU MASHUHURI DUNIANI KUDHURIA MAZISHI YA MICHAEL.''KWELI MICHAEL NI MFALME WA POP''...... UNASHANGAA ETI UNA HOJI kwanini nisitumie neno ''alikuwa mfalme'' NIKISEMA ALIKUWA SWALI LITAKUWA JE NI NANI AMERISISHWA? (nani baada ya yeye ktk ufalme wa pop?) TEH TEH!!!
WATU WOTE WAMEOKOLEWA - MGODI WA DHAHABU MWAKITOLYO
-
Na. Julius Mtatiro
Tukio la Ajali ya Mgodi Mwakitolyo unaomilikiwa na Kikundi cha Wachimbaji
cha "HAPA KAZI TU!", limetokea Jumamosi, 17 Mei 2025, na mimi ...
Je, Chadema inajijenga au inajimega?
-
Kuna vita vya aina mbili ambavyo kwa sasa Chadema inapigana kwa wakati
mmoja. Wao kwa wao na wao dhidi ya utawala.
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.