ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, April 3, 2010

PASAKA NJEMA.


SIKUKUU TUTEMBELEANE BWANA! MAMBO YOTE TTTT (TULE, TUNYWE, TUCHEZE, TUFURAHI). ENYI WADAU KILA LA KHERI KATIKA KUISHEREHEKEA SIKUKUU YA PASAKA, TUISHEREKEE KWA AMANI NA UTULIVU KARIBUNI HOME KWANI KUNA MAKILA KINGA MPANGO MZIMA NA KWA WALE MADEREVA KUMBUKENI "DONT DRINK AND DRIVE".

MASUBO BADO TUNAKUKUMBUKA.


KUMBUKUMBU YA MAREHEMU FIDELIS MICHAEL MASUMBO
UMETIMIZA MWAKA SASA TANGU MPENDWA WETU FIDELIS MICHAEL MASUBO UTUTOKE

MKE WAKO, WATOTO WAKO, NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI ZAKO WANAKUKUMBUKA SANA
‘TULIKUPENDA, LAKINI MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI. UPUMZIKE KWA AMANI’

FAMILIA IMEANDAA MISA YA KUMBUKUMBU ITAKAYOFANYIKA NYUMBANI KWAKE TARIME MJINI,
SIKU YA JUMATANO (KARUME DAY), TAREHE 7 APRILI 2010, SAA 5:00 ASUBUHI

FAMILIA IMEANDAA USAFIRI,
SIMU (KWA MAWASILIANO ZAIDI):
Mwenyekiti: 0787 616 666 (Six Gisiruli)
Katibu: 0655 661 789 (Mlinzi Kimenyi)
Mwekahazina: 0783 777 777 (Edo Mgaya)

NYOTE MNAKARIBISHWA!

Thursday, April 1, 2010

TASWIRA

ILI KWENDA NA WAKATI NA KURAHISISHA UTENDAJI WA KAZI, JESHI LA POLISI MWANZA MBALI NA KUWA NA VITENDEA KAZI BORA VYA KISASA, JESHI HILO LIMEBORESHA MAZINGIRA YAKE.

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA SEHEMU MBALIMBALI HAPA NCHINI MBALI NA KUHARIBU MAKAZI YA WATU NA UHARIBIFU MASHAMBANI MVUA HIZO PIA ZIMEHARIBU MIUNDOMBINU YA DARAJA LA MILONGO BARABARA YA UHURU MZ.

SEHEMU YA MTO MILONGO INAYOKATISHA KATIKATI YA JIJI LA MWANZA KUTIRIRISHA MAJI YAKE ZIWA VICTORIA.

HATA DARAJA HILI KUNAKIPINDI MAJI HUVUKA KIMO CHAKE NA KUSABABISHA KUTOPITIKA, MTO UNAPITA CHINI YA DARAJA HILI (maeneo ya klinic)HATUA CHACHE ZIWANI.

SIYO MASHINDANO YA BAISKELI KAMA UNAVYOWEZA FIKIRI, SIUNAJUA TENA JADI YETU WASUKUMA UTAJIRI NI NG'OMBE NA BAISKELI HAPA NI KATIKATI YA JIJI WAZALENDO KUTOKA VIJIJI VYA KARIBU WAMEZAMA TOWN KUFANYA SHOPPING ZA SIKUKUU YA PASAKA.

Tuesday, March 30, 2010

KWEA PIPA NA COCA COLA SHINDA TIKETI YAZINDULIWA LEO.

NYANZA BOTTLING LEO IMEZINDUA RASMI PROMOSHENI YA KWEA PIPA NA COCA COLA MWANZA.KUANZIA LEO MACHI 30 2010 PROMOSHENI HII IMEANZA IKIWA NA LENGO LA KUPATA WASHINDI 200 WATAKAOBAHATIKA KWENDA DURBAN AFRIKA KUSINI KUTAZAMA MECHI YA KOMBE LA DUNIA KATI YA BRAZIL NA PORTUGAL SIKU YA IJUMAA JUNI 25,2010. SAY'S M.NEC GACHUMA.

WATU 200 TOKA NCHI YETU KUNUFAIKA NA HILI, NA KAMA TUJUAVYO WATANZANIA TULIO WENGI TUNAPENDA SOKA, SASA NAFASI HII HAPA COCA COLA WAMETUPATIA TUSHINDWE WENYEWE. MGENI RASMI.

MC ANAWEKA MPIRA KTK ENEO LA HATARI PALE KISHA.........
MPIRA WAVUNI WATU EEEH! MBUNGE WA ILEMELA.

>"KWELI ITAKUWA NI BAHATI YA KIPEKEE MAISHANI KWAWALE WATAKAOFANIKIWA KUJISHINDIA TIKETI ZA KWENDA KUANGALIA MECHI YA KOMBE LA DUNIA. HAKUNA AMBAYE ANGEPENDA KUIKOSA" SAYS GACHUMA.

MKUU WA MKOA WA MOROGORO MH.MASHISHANGA NAE IN THA HOUSE.

GOOO! NA WADAU WA COCA COLA

MEZA YA MAPOKOPOKO.

KAKA MBONA KIDUCHU? AU UNA MUIGA MC BONKE?

BROTHER BUTUNGA WA TBC1 KWAPANI KALISHIKILIA BARABARA JEMBE LAKE HUKU AKITUPIA LISHE.

PIA WADAU TULIPATA FURSA KUTEMBELEA KIWANDA KUJIONEA YALIYOMO, PICHANI TEKNOLOJIA YA HALI YA JUU KTK USAFISHAJI WA CHUPA.

KARIBU MWANA KWENYE KUBLOGISHA.



Mimi ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kituo cha redio cha 87.8 Ebony fm cha Iringa lakini mimi niko Dar-Mini Studio, naitwa Renatus Kiluvia,ni mmoja wa wafuatiliaji wazuri wa blog yako,naomba msaada wako wa kunitangazia blog yangu mpya www.muzikinamaisha.blogspot.com,blog yangu inahusu muziki na maisha katika nyanja tofauti-tofauti,pia itahusika kuzungumzia burudani zingine kama filamu n.k.
Akhsante!!!!!!!!!!!

NDOMANAKE.

MZALENDO KAMILI ANAYEIPENDA NCHI YAKE SI KWA MAZUNGUMZO TU BALI KWA VITENDO NA MWONEKANO. NINAISHI NA KUPIGA MZIGO HAPA NCHINI AND OFCOZ SEHEMU MBALIMBALI DUNIANI.

"THAT IS MY NAME"

USAFIRI WA EXPRESS HAPA ROCK CITY SIKU HIZI UMEKUWA SHIDA, MSONGAMANO SIYO BARABARANI TU, BALI HATA VITUONI ABIRIA WANAOSUBIRI USAFIRI NI WENGI ILE MBAYA. HAPA NI KITUO CHA NELA

Monday, March 29, 2010

WEEKEND FULL KUJIACHIA KIDIFERENTI.

MWANADADA KEMY MUTAHABA AKIJIACHIA NDANI YA HOTEL MALAIKA ROCK CITY.

"MURAA! KARIBU KARIBU KWETU TATA"

NI RAHA TU NDANI YA MUSOMA MKOANI MARA NA HUYU NDIYE BROTHER VUTA RAHA ALONG SIDE' KEMMY YAAANI NI FULL RAHA HAKUNA UTATA.

SUKA WA TOUR HIYO MWANZA TO MUSOMA BARNABA YULE VOCALIST HATARI TOKA JUMBA LA VIPAJI TOKA TANZANIA HOUSE OF TALENT (THT)

EEEEH MAPOZI HADI WAKATI WA KUSONSOMOLA!... AMINI NA LINA FROM THT.

ALAH! NGOJA NIWAONYESHENI JINSI YA KULA' FANTA 3, LAGA 1, COCA 1, VINYWAJI VIKAE MBALIMBALI KAMA VILE NIKO MAABARA OFCOZ NIPATE SEHEMU YA KUWEKA MIFUPA. HAPO VIPI? PEMBENI NATUPIA KITU CHA UGALI NA NYAMA CHOMA... MY NAME IS BARNABA.

HARUSI YA ZAKARIA NA AMINA.

MAHARUSI HAOOOO...

WADAU WA LAKAIRO HOTEL WAKIJUMUIKA NA WAGENI WAALIKWA KATIKA MAMBO YA KUSEREBUKA KTK HARUSI YA BWANA ZAKARIA NDONGO ALIYEFUNGA PINGU ZA MAISHA NA BIBI AMINA ALLY, SHEREHE KWELI KWELI..

HAPA NI MIE + UNCLEEE

BW. ZAKARIA NDONGO NA BI. AMINA ALLY WAKIFUNGUA MUZIKI KATIKA SHEREHE YA HARUSI YAO ILIYOFANYIKA JANA UKUMBI WA NEW MWANZA HOTEL NAKUFANA SANA.

MAMBO YETU YALEEE DANCE KUJIACHIA.

WAU BI HARUSI AMINA ALLY NA SHOSTITO WAKE NDANI YA
HUG.


EH BANAEE! ENGO HII ILIKUWA BIZE ILE MBAYA KWANI KILA MMOJA ALIINGIA KATI KUONESHA MARINGO YAKE... UTAIPENDA.

WHITNEY FASHION SHOP MWANZA.

VIATU KWA AKINA DADA FASHONI ZOTE.

MR. BONNY MDAU NDANI YA WHITNEY FASHION SHOP ATAKAYE KUONGOZA KUCHAGUA KITU KIZURI KINACHOENDANA NAWE.

TUNAPATIKANA BARABARA YA UHURU VILEVILE SALMACONE SISI NDIYO JIBU KWA MALI MPYA. FIKA KWETU UJIVIKE KISAWASAWA HASA KIPINDI HIKI CHA PASAKA.

"HONEY ULISEMA UNA PREFER RANGI GANI?" WADAU WAKIJICHAGULIA PAMBA.

KADET NA JEANS KALIKALI ZA WABUNIFU MBALIMBALI ULIMWENGUNI ZIKO HAPA.