ILI KWENDA NA WAKATI NA KURAHISISHA UTENDAJI WA KAZI, JESHI LA POLISI MWANZA MBALI NA KUWA NA VITENDEA KAZI BORA VYA KISASA, JESHI HILO LIMEBORESHA MAZINGIRA YAKE.
MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA SEHEMU MBALIMBALI HAPA NCHINI MBALI NA KUHARIBU MAKAZI YA WATU NA UHARIBIFU MASHAMBANI MVUA HIZO PIA ZIMEHARIBU MIUNDOMBINU YA DARAJA LA MILONGO BARABARA YA UHURU MZ.
SEHEMU YA MTO MILONGO INAYOKATISHA KATIKATI YA JIJI LA MWANZA KUTIRIRISHA MAJI YAKE ZIWA VICTORIA.
HATA DARAJA HILI KUNAKIPINDI MAJI HUVUKA KIMO CHAKE NA KUSABABISHA KUTOPITIKA, MTO UNAPITA CHINI YA DARAJA HILI (maeneo ya klinic)HATUA CHACHE ZIWANI.
SIYO MASHINDANO YA BAISKELI KAMA UNAVYOWEZA FIKIRI, SIUNAJUA TENA JADI YETU WASUKUMA UTAJIRI NI NG'OMBE NA BAISKELI HAPA NI KATIKATI YA JIJI WAZALENDO KUTOKA VIJIJI VYA KARIBU WAMEZAMA TOWN KUFANYA SHOPPING ZA SIKUKUU YA PASAKA.
Katibu Mkuu Uchukuzi atembelea Banda la TCAA
-
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) inashiriki katika Maonesho ya 73
ya Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege (ACI Africa) na imepata fursa
ya ...
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.