ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, September 18, 2009

FLASH BACK PICTURE WIKI HII

ENZI ZA DJ KUOGOPEKA KAMA RAIS OF COZ WALIJENGA HESHIMA KWAKUPIGA KAZI ZA UKWELI ALIYENYANYUA MGUU NI DJ SUMMER DEE, BONGE LA DJ MPAKA LEO INGAWA KWA HIVI SASA NI MWAJIRIWA WA KAMPUNI MOJA INAYOSHUGHULIKA NA UCHIMBAJI WA MADINI YA DHAHABU GEITA, ALISHAPIGA KAZI CLOUDS FM WATU WA A TOWN WANAMWULIZIA HADI LEO. ALIYE KATIKATI SIJAPATA JINA LAKE, ALIYEVAA HEADPHONE MWITA WA VSS ENTERTAINMENT.
ILIKUWA NI IJUMAA KAMA YA LEO DECEMBER 1987 MR OJIJO (kushoto) NA MR. MWITA (wa vss entertainment) NDANI YA KABIBI HOTEL. SIJUI ILIKUWA MKOA GANI? NIMESOMA TU NYUMA YA PICHA. CHEKI MAZINGIRA CHEKI MAPOZI.

Thursday, September 17, 2009

ANAYETUZIDI WOTE UREFU HUYU HAPA


SULTAN KOSEN TOKA NCHINI UTURUKI NDIYE MTU MREFU KULIKO WOTE DUNIANI. KWA KIPINDI KIREFU JAMAA HUYU ALIKUWA AKILIKACHA SUALA LA KUPIMWA. BAADA VIPIMO VYAKE KUPATIKANA KITABU CHA KUMBUKUMBU ZA MAAJABU YA DUNIA CHA GUINNESS KIMEMTAJA JAMAA HUYU MWENYE UREFU WA FUTI 8 NA NCHI 1 KAMA MWANADAMU MREFU KULIKO WOTE KATIKA SAYARI YA DUNIA ANAYEISHI. LICHA YA KUWEPO ALIYEKUWA AKISHIKILIA REKODI HIYO BWANA LEONID STADNYK WA UKRAIN ALIYEKUWA NA UREFU WA FUTI 8 NA NCHI 5.5 (picha kwa msaada wa AP) Guinness said he was stripped of his title when he decline to let anyone confirm his height.

HUDUMA MWISHO SAA 12 JIONI.

MAKONGONGO ROAD JIJINI MWANZA KUNA KITUO HIKI CHA MAFUTA AMBACHO NI MIAKA SASA KINATARATIBU HIZI:- KINAFUNGULIWA ASUBUHI NA KUFUNGWA SAA KUMI NA MBILI SHARP'' KISA MIAKA ILIYOPITA KILIVAMIWA NA MAHARAMIA WAKAPORA MAFUTA NA FEDHA NYINGI KISHA WAKAPOTELEA ZIWA VICTORIA LILILOPO UPANDE WA PILI WA BARABARA. NAULIZA HIVI ENEO HILI (tena liko mjini ukisikia pembezoni mwa ziwa usifikiri mbali la hasha eneo kubwa la mz town limezungukwa na ziwa) PALISHINDIKANA VIPI KUWEKA ULINZI WATU WAKAENDELEA KUPIGA MZIGO? napita kila siku jioni pamezungushiwa utepe.

NDIYO MAANA AJALI HAZIISHI.AJALI HII IMETOKEA JANA MCHANA NYERERE ROAD JIJINI MWANZA KWENYE TAA ZA KUONGOZA MAGARI, SIWAJUA TENA MISHEMISHE ZA MADREVA WA DALADALA JAMAA ANA WAHI NUKTA YA MWISHO YA TAA AKALIGONGA KWA NYUMA GARI LILILOKUWA MBELE YAKE. KIBAYA ZAIDI DEREVA ALIKUWA KONDA HANA LESENI, KWAHIYO NDANI YA GARI NI KONDA NA KONDA WAKE. SHERIA IKACHUKUA MKONDO, CHAAJABU SIKU YA LEO ASUBUHI NIMEMWONA KONDA HUYO HUYO AKIDRIVE DALADALA NAMBA NAZISITIRI. "NDOMANA AJALI HAZIISHI"

Wednesday, September 16, 2009

ARUSHA UTALII USPIME....
NCHINI TANZANIA UKIZUNGUMZIA UTALII BASI A TOWN IPE ALAMA NYINGI KWANI LONG TIME MKOA HUU UMEKUWA UKIJIHUSISHA NA UTALII, NA IMEKUWA SEKTA TEGEMEO LA UCHUMI NA KIPATO KWA WATU WAKE .
KUWEPO KIPINDI KIREFU KTK UTALII NA HALI YA USHINDANI BAINA YA WAFANYA BIASHARA NA WADAU HUSIKA WA SEKTA HIYO IMEKUWA CHACHU KWA MAENDELEO YA UTALII MKOANI ARUSHA KWANI UBUNIFU UMEONGEZEKA KWA WAWEKEZAJI SEKTA HIYO HALI INAYOSABABISHA TARATIBU MJI WA ARUSHA KUUTEKA ULIMWENGU. Happen 2know this place -panaitwa via via eneo la kitalii karibu na kwa mkuu wa mkoa.

Tuesday, September 15, 2009

KULA GOOD TIME 1BABAKE! NDANI YA ROCK CITY TUNZA LODGE NI MOJA YA PLACE ZA KULA GOOD TIME "ASKWAMBIE MTU"MICHEZO MBALIMBALI MCHANGANI, SWIMMING NDANI YA ZIWA VICTORIA, MBIO ZA MITUMBWI ZIWANI, MAKAMPUNI MBALIMBALI HUFANYA BONANZA ZAO MAHALA HAPA. HUYO JAMAA ALIYEKULA POZ NI LESHONTE EDGAR MAPANDE WA KAMPUNI YA MAWASILIANO YA SIMU ZA MIKONONI TIGO AKILA GOOD TIME MWISHONI MWA WIKI.

Monday, September 14, 2009

KAHAMA, MWANZA NA MUSOMA ARE YOU REDEEEEEEEE!SHANGWE ZA SIKUKUU YA EID NI BURUDANI MWANZO MWISHO NYINGINE UTAZIBEBA KAMA TAKE AWAY NI MB DOG, JAFARAH, MKALI KTK KIPINDI CHA TBC BONGO DAR ES SALAAM DUDE NDANI.
EIDD MOSI KAHAMASOCIAL CLUB.
EIDD 2 CCM KIRUMBA MZ KIINGILIO 2000/= & 1000/= WATOTO
TAREHE 25 UKUMBI WA MAGEREZA MUSOMA KIINGILIO 5000/=
TAREHE 26 KARUME STADIUM KIINGILIO 2000/=& 1000/= WATOTO.

MWANZA NORTH PORT

ENEO KUBWA LA JIJI LA MWANZA LIMEZUNGUKWA NA ZIWA VICTORIA HII NDIYO BANDARI YA MWANZA NA OFISI ZAKE.

PURE GREEN

LICHA YA MWANZA KUWA BUSTANI KALI ZA KUVUTIA ZILIZOKO KTK MAENEO YA HOTEL KANA TILAPIA, YUNG LONG ZAMANI IKIJULIKANA KAMA ROCK BEACH NA TUNZA LODGE. ENEO HILI NDILO LINAONGOZA KULAKI WAGENI KWANI KILA MWISHO WA WIKI HUSHEHENI MAHARUSI MBALIMBALI, LITIZAME KWA MAKINI LINATOFAUTI KUBWA NA LILE ULOZOEA LA KEEP LEFT.