AJALI HII IMETOKEA JANA MCHANA NYERERE ROAD JIJINI MWANZA KWENYE TAA ZA KUONGOZA MAGARI, SIWAJUA TENA MISHEMISHE ZA MADREVA WA DALADALA JAMAA ANA WAHI NUKTA YA MWISHO YA TAA AKALIGONGA KWA NYUMA GARI LILILOKUWA MBELE YAKE. KIBAYA ZAIDI DEREVA ALIKUWA KONDA HANA LESENI, KWAHIYO NDANI YA GARI NI KONDA NA KONDA WAKE. SHERIA IKACHUKUA MKONDO, CHAAJABU SIKU YA LEO ASUBUHI NIMEMWONA KONDA HUYO HUYO AKIDRIVE DALADALA NAMBA NAZISITIRI. "NDOMANA AJALI HAZIISHI"
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.