DR WILBROAD SLAA
MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) LEO MCHANA AMEPATA MAPOKEZI YA NGUVU SAMBAMBA NA MAANDAMANO TOKA UWANJA WA NDEGE MUSOMA HADI HADI HOTEL ALIPO FIKIA.
MKUTANO WA CHAMA HICHO UNATARAJI KUFANYIKA LEO SAA 10:00 KATIKA VIWANJA VYA MUKENDO MSOMA MJINI.
PICHANI WADAU WA CHAMA HICHO WAKIISUBIRI NDEGE INAYO MLETA IPATE KUTUA KIWANJA CHA NDEGE MUSOMA HUKU WAKIWA WAMEJIPANGA MSTARI KUMPOKEA MGOMBEA HUYO ALIYETANGAZA NIA.
REFA ANAYETAJWA KUWA ETI ANAONGOZA KUCHEZEA VICHAPO NCHINI TANZANIA, REFA ALIYETAJWA KUSHUSHWA DARAJA NA HATIMAYE KUTEMWA KABISA HIVI KARIBUNI, REFA ALIYEKUWA NA BEJI YA SHIRIKISHO LA SOKA ULIMWENGUNI FIFA, REFA ALIYEPATA KUCHEZESHA MECHI NYINGI ZA SIMBA NA YANGA NA KUTUPIWA LAWAMA KUCHEZESHA MECHI KIUNAZI, REFA ALIYEBAHATIKA KUSIMAMA PALE KATI KUCHAZESHA MECHI YA KWANZA YA UFUNGUZI WA DIMBA JIPYA (UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM), REFA ANAYEKWENDA KWA JINA LA PASCHAL CHIGANGA HATIMAYE SASA AUGEUKIA U'DJ.
KAMERA YA BLOG YAKO ILIMFUMA LEO PALE BWALO LA MAGEREZA MUSOMA AKISHUSHA SOUND NA HATIMAYE AKIFUNGA SOUND.
Friday, July 30, 2010
BANGO
Thursday, July 29, 2010
FIESTA