ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, June 26, 2009

NYOTA ILIYOJITABIRIA KUNG'ARA

KUMAANISHA KUWA NYOTA YAKE ILIKUWA YA HATARI TENA FULL KIWANGO; EH BANA THE WACKO JACKO ALIKUWA AKISHINE TANGU AKIWA NA KAKA ZAKE KATIKA KUNDI LA NDUGU WATANO THE JACKSON 5. TAFAKARI DOGO ALIKUWA NA MIAKA 11 LAKINI ENZI HIZO UKITAJA THE JACKSON 5 BILA YEYE(MICHAEL JACKSON) SIYO KUNDI TENA.....MICHAEL ALIKUWA KICHWA KINGINE!!! KUNAWANAOTHUBUTU KUSEMA 'MICHAEL JACKSON SIYO MFALME WA POP BALI ALIKUWA MUNGU WA POP'.

"AAAAAUUUU!!!! KAMA PAKA VILE

ENZI ZA UHAI WAKE MICHAEL ILIKUWA FREE KATIKA MAMBO YA KUDANCE, NI NADRA SANA KWAKE KUIMBA NA MIC YA KUSHIKA MKONONI ALWAYS ALIKUWA AKITUMIA MIC YA STYLE HII(tizama mdomoni) AU STAND MIC. KAMA UNAVYOJUA MAMBO YA BREAK DANCE.

BURIANI MICHAEL JACKSON


ILIKUWA NI SAA 11:25 ALFAJIRI YA TAREHE 26 JUNE 2009 NAAMKA KUJITAYARISHA KUWAHI HOSPITAL YA BUGANDO KUMJULIA HALI MOJA YA RAFIKI ZANGU AMBAYE KALAZWA KUFUATIA AJALI MBAYA YA PIKIPIKI ALOKUWA AKIENDESHA, ILE WAKATI NASUBIRI MAJI YAPATE MOTO KTK JUG LA UMEME NAWASHA TV- SKY NEW KUTIZAMA MAHABARI (NIA YANGU NIPATE MATOKEO KATI YA BRAZIL NA SOUTH AFRICA KWA MAANA NILIZIMA TV MARA BAADA YA BAO KUFUNGWA), NAONA NENO BREAKING NEWS MBELE YAKE* MICHAEL JACKSON IS DEAD* NAPATA MSHTUKO NARUDIA TENA NA TENA:;; KIFO CHA MFALME WA POP DUNIANI MICHAEL JACSON HAKIKA HUU NI MSHITUKO.
MFALME HUYU ALIYE ZALIWA MIAKA 50 ILIYOPITA INASEMEKANA AMEFARIKI KUTOKANA NA SHINIKIZO LA DAMU INGAWA SI KAULI RASMI TOKA KWA MADAKTARI.
NA INATAJWA KUWA WAKATI AMBULANCE IKIWASILI NYUMBANI KWAKE HUKO LOS ANGELOS NCHINI MAREKANI TAYARI MICHAEL JACKSON ALIKUWA HAPUMUI KABISAA NA ILIGUNDULIKA KUWA AMEAGA DUNIA PALE ALIPO FIKISHWA HOSPITALI YA CEDARS-SINAI.
MSIBA HUU UNAKUJA IKIWA NI MIEZI KADHAA TANGU THE WACO ALIPOTOKA KUSHEHEREKEA MIAKA 25 YA ALBUM YAKE THRILLER ILIYOPATA MAUZO YA JUU ULIMWENGUNI. MOJA YA SONGI ZAKE ZILIZO TIKISA DUNIA YA MAMA NI PAMOJA NA BLACK OR WHITE, YOU ARE NOT ALONE ,THE WAY YOU MAKE ME FEEL, SHE IS OUT OF MY LIFE, BAD, DANGEROUS NA NYINGINE KIBAO.

REST IN PEASE MICHAEL.

Wednesday, June 24, 2009

NASMA HATUKO NAYE TENA

NASMA HAMISI KIDOGO NDIVYO ALIVYOKUWA AKITAMBULIKA, NI MMOJA WA WASANII WALIO ITENGENEZA HISTORIA YA MAPINDUZI YA MUZIKI WA TAARABU HAPA NCHINI. AKIZALIWA MIAKA 57 ILIYOPITA KILWA KIVINJE AMEFARIKI DUNIA KWA HOMA YA MARALIA USIKU WA KUAMKIA JUMAPILI YA WIKI HII. ALIWAHI KUFANYA KAZI NA TANZANIA ONE THEATRE (SASA TOT PLUS) MWAKA 1993. KISHA AKJIUNGA NA MAHASIMU WAKUBWA WA TOT ENZI HIZO MUUNGANO CALTURAL TROUPE AMBAKO ALISHIRIKI KUIMBA NYIMBO MBALIMBAKI LAKINI ZILIZO MPA UMAARUFU ZAIDI NI KAONA MAMBO IKO HUKU NA SANAMU LA MICHELIN. ALISHASHIRIKI PIA KUUNAKSHI MUZIKI WA KIZAZI KIPYA KWA KUSHIRIKIANA NA INSPEKTA HAROON KWENYE SINGLE YAKE WAPE VIDONGE VYAO. HALI ILIYOWASTAAJABISHA WENGI "KHAA KUMBE INAWEZEKANA?" HAKIKA HILI NI PENGO MUNGU ILAZE PEMA ROHO YA MAMA YETU AMEN.

Monday, June 22, 2009

SOKO NA UBUNIFU

MARA ZOTE TUNAPENDA KUMILIKI AU KUVAA VITU AMBAVYO SI WENGI WANAVYO BALI WACHACHE NA PIIIAAAAN" VIWE VYA MATAWI YA JUU. CHEKISHIA UBUNIFU HUU WA VIATU VYA KULALIA.