Leo kutwa nzima Wasira alikuwa akikutana na pande
mbili baina ya Waislamu na Wakristu kuhusu nani mwenye haki ya Kuchinja.
Wasira alianza kwa kuzungumza na viongozi wote
kicha kuzungumza na Waislamu pekee na baadaye Wakristo, lakini katika
majumuisho alipowakutanisha wote alieleza kwamba msimano wa serikali
waendelee kuchinja Waislamu lakini na Wakristu wachinje majumbani kwao.
Uamuzi huo umepingwa na Wakristu na kusema suala
la kuchinja Waislamu nyama ya Bucha lilikuwa ni ustarabu na siyo sheria
hivyo kugomea maamuzi waziri Wasira wakieleza hata wakristu wanayo haki ya
kuchinza.
Sijui tunaelekea wapi, serikali imefumbia macho
mgogoro huu na sasa umefikia kubaya.
MAONI YANGU NI:-