![]() |
| Obama akiapishwa aliwaambia wamarekani kuwa huu ndio wakati wa kijiimarisha kama nchi hasa baada ya kukabiliana na changamoto kama za kiuchumi na afya |
![]() |
| Obama na makamu wake wa rais Joe Biden |
![]() |
| Sasha na Malia Obama nao hawakuachwa nyuma wakati wa sherehe hizo. |
![]() |
| Wakati wa densi. |
![]() |
| Baada ya sherehe wageni walitumbuizwa lakini hapa Obama na mkewe walipata fursa ya kucheza densi na wanajeshi. |
![]() |
| Beyonce alikuwepo pia kuwatumbuiza watu waliofika kumpongeza Obama. |
![]() |
| Mamia walijitokeza ili wasikose fursa ya kushuhudia jambo la kihistoria la kuapishwa kwa rais mweusi mara ya pili. |
![]() |
| Obama na mkewe Michelle wakiwaamkua wananchi waliofika kumpongeza. |
![]() |
| Obama na mkewe waliandaliwa dhifa ya jioni baada ya shereh hizo. |
![]() |
| Gwaride la jeshi. |
Tupe maoni yako










0 comments:
Post a Comment