Saturday, January 30, 2010
BANGO
KTK USIKU WA VALENTINE NYUMBANI HOTEL IMEANDAA JAMBO ZURI AMBAPO WAPENZI WATAKUTANISHWA NA KUFURAHI KWA PAMOJA. MISOSI, DISCO LA NGUVU,MAONENESHO YA MAVAZI KUTOKA FLORA SALOON NA BURUDANI SPECIAL TOKA KWA MKALI WA RNB BONGO MARLOW KUTAWALA. KUPITIA MICHEZO MBALI MBALI WAPENZI KUONDOKA NA ZAWADI ZA KUMWAGA USIKU HUO. TIKETI YA KWENDA NA KURUDI DAR-MWANZA(ATC), ZAWADI KULALA BURE NYUMBANI HOTEL..... BEN MWANGI MARKETING MANAGER NYUMBANI HOTEL.
SEHEMU YA WANAHABARI WAKIMEGEWA INSHU NZIMA KUHUSU TUKIO LA NYUMBANI HOTELS VALENTINE'S GALA NIGHT, SPONSOURS ARE BAVARIA, AIR TANZANIA, COCA COLA, PSI TANZANIA, FLORA SALOON, VODACOM TANZANIA
SAVE AND PREPARE FOR THIS EVENT AS IT IS ONE OF 2010 NOT TO MISS EVENTS KWANI USIKU HUO SAMBAMBA NA ZAWADI MBALIMBALI, VODACOM ITAMWAGA ZAWADI NA WATEJA WOTE WA VODACOM WATAUNGANISHWA KTK HUDUMA YA M PESA BURE. KATIKATI MANAGER WA M PESA MWANZA BI.MWANABURE MBEREA.
Tuesday, January 26, 2010
MWANZA
"OPERESHENI INAYOENDELEA NI NZURI, TATIZO MAJIBU YA UCHUNGUZI YANAWEZWA KUHARIBIWA NA WADAU WA HUMO HUMO NDANI KWA MASLAHI YA KULINDANA. LAKINI TUKUMBUKE KUWA KUNA WATANZANIA WASIOCHOKA WANAOLIFUATILIA HILI HATUA KWA HATUA. HIVYO RAI YANGU NI KWAMBA UPELELEZI UFANYIKE HARAKA ILI WATUHUMIWA WAPELEKWE MAHAKAMANI" PICHANI MMOJA KATI YA WALIOJERUHIWA VIBAYA BW.BAHATI MAGUZI ALIYELAZWA HOSPITALI YA BUGANDO MZ.
KUTOKANA NA TUKIO LA UJAMBAZI LILILOTOKEA TRH 17JAN2010 KTK KISIWA CHA IZINGA WILAYANI UKEREWE NA HATIMAYE KUANZISHWA OPERESHENI CHAKAZA, JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA LINAMSHIKILIA MTU MMOJA BAADA YA KUKUTWA NA BASTOLA MOJA YENYE RISASI MOJA NA SHORTGUN MOJA YENYE RISASI NNE AMBAPO MTU HUYO ANAMILIKI SILAHA HIZO KIHALALI ILA UCHUNGUZI UMEBAINI KUWA SILAHA HIZO KUTOTUMIKA KWA MATUMIZI SAHIHI NA MTU HUYO KWA KIPINDI KIREFU SASA AMEKUWA AKIKWEPA KUZILIPIA KODI SILAHA HIZO.
# REKODI ZINAONYESHA KUWA SILAHA AINA YA SHORTGUN IMETUMIA RISASI 100 HALIKADHALIKA ZAIDI YA RISASI 10 ZINATAJWA KUTUMIKA KTK BASTOLA PASIPO KUAINISHA RISASI HIZO ZIMETUMIKA KWA MATUMIZI GANI.
# JUMLA YA WATUHUMIWA 14 WAMEKAMATWA NA WANAENDELEA KUHOJIWA KUHUSIANA NA TUKIO HILO HUKU WAHAMIAJI HARAMU 32 WAKIWA WAMEKAMATWA KTK OPERESHENI HIYO NA WANAHOJIWA.
# KAMANDA RWAMBOW AMESEMA ASKARI POLISI WALIOTAJWA KUHUSIKA NA TUKIO HILO WANACHUNGUZWA NA TAARIFA ZA UCHUNGUZI ZITATOLEWA PINDI ZITAKAPO KAMILIKA.
# WAKATI HUO HUO TUKIO LA ASKARI WA JESHI LA POLISI KUMCHUKUWA KWA SIRI MAJERUHI VISTUS MAHENDEKA (ALIYE WATAJA MAASKARI WALIOHUSIKA NA UJAMBAZI HUO) NA KWENDA KUMPIGA KISHA KUMRUDISHA HOSPITALINI UKEREWE KIMYA KIMYA UPANDE WA WANANCHI TUKIO HILO LIMEZUA HISIA TOFAUTI......
Monday, January 25, 2010
MWANZA