SEHEMU YA UFUKWE WA ZIWA VICTORIA HOTELINI HAPO AMBAMO SAMAKI WANAPATIKANA. HIVYO UNAWEZA KUVUA NAKULA KITU FRESH.. NAMNAILE.. VYUMBA VYENYE FULL HUDUMA KWA AJILI YAKO UWE MGENI AU MWENYEJI. KONA HII HADI ILEEE. NI HAPA SEHEMU YA MAAKULI, MIKUTANO NA ZOTE HUDUMA ZINAZOHUSU SAFARI ZA KITALII. SWIMMING POOL ILIYO JUU YA ZIWA YENYE MAJI YASIYO HITAJI DAWA.
Wow! nipoanza kuangalia hizo picha nikazani nipo mbinguni ninayo picha kuwa mbinguni kupo hivyo. Halafu jingine nimetamani kutafuta kiwanja hapa sijui kama ntapata:-)
Kwa kweli hao Malaika wanatihsa, nilikuwa mwanza for Xmas na new year nilifurahi sana kwan new year's eve walifanya mambo mazuri sana hao jamaa. Mandhali yao ni nzuri sana, kwa kweli Malaika ni pazuri sana!! Wageni wangu wa kiofisi wote nitawapeleka Malaika toka sasa. Website yao please Sengo tusaidie
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
Wow! nipoanza kuangalia hizo picha nikazani nipo mbinguni ninayo picha kuwa mbinguni kupo hivyo. Halafu jingine nimetamani kutafuta kiwanja hapa sijui kama ntapata:-)
ReplyDeleteWalah ....Itabidi niwe karibu nawe nizione hizo picha za mbinguni.
ReplyDeleteebwana kitu cha ukweli, bei zake vipi kwa mlalahoi wa kati
ReplyDeleteNice blog,mambo kaka Sengo? leo ndio nimeiona blog yako,kazi nzuri kaka ila umenikumbusha sana SATO!
ReplyDeletehahahaha! hakuna shida ila kwa kweli ni taswira nzuri sana nadhi safari ijayo nikija lazima nije hapo.
ReplyDeleteKwa kweli hao Malaika wanatihsa, nilikuwa mwanza for Xmas na new year nilifurahi sana kwan new year's eve walifanya mambo mazuri sana hao jamaa. Mandhali yao ni nzuri sana, kwa kweli Malaika ni pazuri sana!! Wageni wangu wa kiofisi wote nitawapeleka Malaika toka sasa. Website yao please Sengo tusaidie
ReplyDelete