ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, July 24, 2009

WIKIENDI TOKOLALA WAPI?

VILLA DISCO TEQUE WIKI HII DJ MWALIKWA DJ PQ NDANI ATAKARIBISHWA NA NA MADJ'S WA HOME DJ MALINZ, DJ JOHN,DJ DEVY NA DJ MWANGI NI BURUDANIZ NA MAKAMUZI YA HATARIZ!!

KWA HILI SILI KOBIS" NG'O!!


WADAU WA ROCK CITY WAULIZA SAAAAANA KUHUSU SIKUKUU HII KUBWA INAYOFANYIKA KILA MWAKA "FIESTA" TATIZO NI KWAMBA HAINA TAREHE MAALUM, WALA HAITEGEMEI MWANDAMO WA MWEZI ILA MOTO WAKE SASA 'NIBARA'
MENEJIMENTI IMENAMBIAAAAA "TEGA SIKIOOO"

NI MV VICTORIA


KUSHUTO KWA MBALI MWONEKANO WA MV VICTORIA, NA KULIA NI MAZINGIRA YA 'KORIDO' SAFI ZA MELI HIYO.
KIUFUPI NI MOJA KATI USAFIRI TEGEMEO KWA WASAFIRI WAENDAO BUKOBA KWA AKINA IWEE!.

MV VICTORIA KIZIGONI

SAMBAMBA NA KUPAKIA ABILIA, MIZIGO MINGI INAYOPAKIWA HAPA NI PAMOJA NA SAMAKI WAKAVU, DAGAA, CHAKULA, BIASHARA NA PEMBEJEO ZA KILIMO.

HATUA KWA HATUA PICHANI WANAUME WAKO KAZINI.

Tuesday, July 21, 2009

BAKWINE!! BAKWONGEJE!!!!!!!

MAMBO YA HOME UGALI UKUBWA KAMA PRINTER, NA MBOGA HATUJIBANI NI KUJISEVIA CHUNGUNI, NI MWENDO KUKANDAMIZA. TUNALIMA WENYEWE!!!!!!

Monday, July 20, 2009

KWANZA MACHO YAKO PILI KURA YAKO...


LILE SHINDANO LA KUMSAKA SEXIEST MAN IN DAR LIMEFIKA PENYEWE!! @JE WATAKA KUJUA ZAIDI? @JE KUNANINI KIZURI NDANI YAKE? @JE NI NANI HAWA PICHANI? MASWALI YOTE MAJIBU YAKE YAPATE KUPITA www.diva255.blogspot.com (Picha zote kwa msaada wa www.diva255.blogspot.com)