ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, June 5, 2010

SAUZI WACHA BWANA!

WAKATI AFRIKA ILIPOPATA NAFASI KUANDAA KOMBE LA DUNIA HUKU NCHI YA AFRIKA KUSINI IKIWA NDIYO ARDHI TUNUKIWA, SHAKA KUBWA ILIKUWA SUALA LA MAHOTELI, USALAMA NA HOFU YA WENGI UHABA WA VIWANJA BORA VYA KISASA. LAKINI MAMBO HAYA SI SHAKA TENA NYUMBANI KWA MADIBA KWANI KILA KITU KIMEKAMILIKA.

Name: Soccer City Stadium

ENEO LA: Johannesburg

UNACHUKUWA WATU: 94,500


Name: Nelson Mandela Bay Stadium

ENEO LA: Nelson Mandela Bay/Port Elizabeth

UNACHUKUWA WATU: 46,000


Name: Mbombela Stadium

ENEO LA: Nelspruit

UNACHUKUWA WATU: 46,000

JINA: Green Point Stadium

JIJI: Cape Town

UNACHUKUWA WATU: 70,000

LIPUMBA ACHUKUWA FOMU KUGOMBEA URAIS. JE! NIUIGIZAJI?


MWAKA 1995 ALIGOMBEA, 2000 PIA, 2005 HUYU HUYU, 2010 YEYE TENA! TUNAPOZUNGUMZIA UKOMAVU WA CHAMA HALI HII INADHIHIRISHA NINI? MWENZENU NAONA KIZUNGUZUNGU. MWENYEKITI WA CHAMA CHA WANANCHI (CUF) PROFESA IBRAHIMU LIPUMBA AKICHUKUWA FOMU ZA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS KUTOKA KWA KATIBU WA CHAMA HICHO WILAYA YA KINONDONI MH.KASSIM CHOGAMAWANO NI KATIKA OFISI ZA CUF WILAYA YA TEMEKE JIJINI DAR LEO.

HAPA NDIPO UNAPOPATIKANA MZUKA KAMILI WA ZANTEL NA MACHOZI BAND.

KAMA NI RAHA, BASI HII NI RAHA ILOJAA UTAMU NI WAPI TENA PENGINE ZAIDI YA MACHOZI BAND NA MZUKA WA ZANTEL! ENDELEA MDAU...

ACHA-CHA-CHA-CHA-CHA, HABARRI YAKHO BHANA!

KAMUZIKI KAMENOGAJE!

ZILE CHIPS ZINAKAANGWA HAPA...NA MKAANGAJI WENU NI JEDO.

AAAH! HUYU BWAMDOGO HATARI BALAAA! ANAITWA SAM MACHOZI (VOCALIST WA MACHOZI BANDI) NAKUMBUKA MWANZA FLOWERS WALIMLILIA.

ALE DRRINTI-TI-TI! DRRINTI-TI-TI! EH! ALADJI! ALDJI! ALADJI!

LADY JAY DEE NA SWAGA ZA KWA MADIBA - SAUZIIIIII!

WAKIKAZA NATI, MAO SANTIAGO, JONIKO FLOWER NA MWINYI.

EDGAR WA ZANTEL MZUKA NA ZAMARADI WA LEO TENA (CLOUDS FM)

NIMEKUWA TEEEEEEJA!!!

HAPO NDIPO MZUKA WA MACHOZI TO THE FULLEST!!!

FLOWERS TOKA CLOUDS FM KIPINDI CHENYE LADHA ZOTE KINACHOKUSANYA HABARI ZOTE NA MATUKIO YOTE, KINACHOTIKISA AFRIKA MASHARIKI DINA MARIOS NA ZAMARADI.

ENGO ADIMU DUNIANI' SIS JOAN, EDGAR NA MANKA.

NYUSO ZA NEEMA JOAN, MANKA N' ZAMARADI.

ALEX, FARAJ, JOAN NA ZANTEL MZUKA.

MWANZA!!! MWANZA!!! G.SENGO, FID Q. AND FRIENDS.

BRAZAZ' KABAAANG! KAMA VIPI BASI ASALAAM ALEYKUM.

HEY WOZA! ALWATAN GEORGE MPOJI MCHIZAN KUTOKA SAUT MWANZA HADI MZALENDO PUB DAR.

Friday, June 4, 2010

LEO CLUB SUN CIRRO NDO MAHALA PAKUGOO!

CHEKI FENHE, CHEKI MCHOMVU NA MKONO SHAVUNI PALE KATI, ILIKUWA NI STORY YA KUSIKITISHA NINI? BUT AT THE END MICHAEL ROSE AMEAHIDI KUTOA BURUDANI TOSHA HASA KWA WAPENZI WATAKAO AMBATANA NAKUJITOMA USIKU WA LEO PANDE ZA SUN CIRRO.

WAKI SHOW LOVE NA KAMERA HII NI ADAM MCHOMVU NA MICHAEL ROSE NDANI YA STUDIO ZA CLOUDS FM BAADA YA MAHOJIANO LEO KTK KIPINDI CHA XXL.

G.SENGO NA MICHAEL ROSE 88.4

Thursday, June 3, 2010

JIPANGUSE NA XXL LIVE. KITU CHA SAA 9.

AKIWA KATIKA USKANI KING OF AFTERNOON SHOWS B12.

KATIKA ILE SEGMENT YA HOT THREE AT THREE:- MAMA YANGU' STORY ZIMEANZA ....NA msimulizi wako pichani ni ADAM MCHOMVU....endelea..

MARA KITU CHA SWALI KUTOKA KWA FETTY...

MCHOFOMVU endelea! SASA ILE KITU IKO HAPA BHANA ... MUGUU HUU NA MUGUU HUU..


KWA! KWA! KWAH! YAANI SAFFEEEE" MASTORI YAMEELEWEKA.

LEO NI ANNIVERSARY YA NDOA YANGU. (MIAKA 4)

ILIKUWA TAREHE 3JUNE2006 KANISA LA ANGLICAN ARUSHA.

LEO NAAMKA ASUBUHI ILE NAMALIZA MAZOEZI TU BRO EDGAR ANIAMBIA KUNA KITU NJOO UONE (sijui hili wala lile) MARA KABAA!KEKI JUU YA MEZA NA MAANDISHI YAKE YASOMEKAAA.....
I WISH KAMA WIFE ANGELIKUWA KARIBU BUT YUKO MWANZA NAMI NIKO DAR KIKAZI.

MWAKA 2006 ILIKUWA HIVI:- UKATAJI KEKI.

CHIAZ MIE NA NAYE NA WAPAMBE WETU...

BWASHEE EDGER MAPANDE.

NI MENGI TWAWEZA SEMA LAKINI MOJA TU NDILO LENYE THAMANI NALO NI "AKSANTE MUNGU KWA YOTE ULIYOTUWEZESHA"

Wednesday, June 2, 2010

MALEWA YA FM ACADEMIA YAPAGAWISHA ARUSHA

STYLE YA MALEWA:- MIKONO INASHIKA TUMBO KISHA CHEZESHA MABEGA KWA KUZUNGUSHA. KUTOKA KULIA PACHO MWAMBA, PABLO MASAI, DANJECT, NYOSHI EL SAADAT NA JOSE MARA.

ZAMU YA AKINA DADA.

TRIPLE A CLUB PALIKUWA SAFII.

NGOMA HAILALI DORO, KUSHOTO KALIJO NA KULIA CATALOGI, NANI ATASEMA NINI?

HEINEIKEN NGWASUMA.

LUNCH YA MWAKA M1 TANGU CLOUDS KUHAMIA MJENGO MPYA.

LEO TENA TEAM KUTOKA KUSHOTO DINA MARIOUS, GEA HABIB NA ZAMARADI MTETEMA.

MWAKA TANGU CLOUDS MEDIA KUHAMIA MJENGO WAO MPYA, NO SPEECH KTK SIKU HII ZAIDI YA MISOSI YA KILA AINA MATAIFA YOTE KUWAKARIMU WAHUSIKA, USISHTUKE HII NI SEHEMU TU!

KUTOKA CLOUDS TV BABUU WA KITAA ALONG SIDE NASH MC, PEMBENI HIVI MIE UMENIONA NACHOTA?.

FREEESHII!

MTANGAZAJI MAHIRI MTAMU WA SAUTI ANAYE MUDU VYEMA MASHINE ZA MOJA NA MBILI ANAITWA DJ FETTY.

kwa sauti ya kunong'oneza "KAKAEEH! KAMA NOMA NAIWE NOMA, MIE NAKWENDA KUONGEE'-KUONGEZA" KUTOKA KUSHOTO LE SUPERB PAPAA GERALD HANDO NA DELICIOUS DEE TECH.

MTU WENU WA JAHAZI CAPITEIN' GADNA G.ABASH

BROTHER FROM ANOTHER MOTHER - EYOO! MCHOMVU.

BEDOUZE, B TWANGALA, THE KING OF AFTERNOON SHOWS, B DOZEN, MUITE B.TWELVE WA XXL.

THE MOST WANTED ONE" DJ VENTURE.

KAMA KAWA CHAKULA NA MAONGEZI. THE CREW.