wewe sengo rudi kirumba maana haya mambo uliyo post sii mapyaa saaaana niyakishamba tu yasiyo na mwelekeo. Nilitamani kuona jinsi mkurugenzi wa jiji mwanza alivyozomewa mbele ya rais najua ungekuwepo. Sasa wewe , Dina zamaradi Jdee mnaleta ama kupost mambo ya machozi band tuuuuu tumechoka na sura zenu kongwe
Mdau hayo ya kuzomewa, huwa wanazomewa sana, na ndo fashoni za kanda ya ziwa so kama ni picha siyo inshu zingoje hapa hapa zaja! tehe machozi kiwanja changu, pole sana na likizo yangu!
KOICA Yajenga Maabara ya Kisasa ya 3D ATC
-
Na Woinde Shizza, Arusha
Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya
Kimataifa la Korea (KOICA), kimezindua rasmi maabara...
Simba SC inafahamu la kufanya ili 'kupindua meza'
-
Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids amesema wachezaji na jopo la ufundi
wanafahamu fika wanachopaswa kukifanya katika mchezo wa marejeano wa
fainali ya Ko...
wewe sengo rudi kirumba maana haya mambo uliyo post sii mapyaa saaaana niyakishamba tu yasiyo na mwelekeo. Nilitamani kuona jinsi mkurugenzi wa jiji mwanza alivyozomewa mbele ya rais najua ungekuwepo. Sasa wewe , Dina zamaradi Jdee mnaleta ama kupost mambo ya machozi band tuuuuu tumechoka na sura zenu kongwe
ReplyDeleteMdau hayo ya kuzomewa, huwa wanazomewa sana, na ndo fashoni za kanda ya ziwa so kama ni picha siyo inshu zingoje hapa hapa zaja! tehe machozi kiwanja changu, pole sana na likizo yangu!
ReplyDelete