Friday, March 26, 2010
BANGO
NDANI YA KIOTA CHA BURUDANI STONE CLUB LEO IJUMAA KUNA HAPPEN ILE MBAYA. club yako STONE AKA JIWE INAMSHUSHA DJ MAHIRI TOKA NCHINI JAMAIKA DJ BENY BLAIZE, THT IN THA HOUSE. JUMAMOSI NI KAMA KAWA PENDEZA TOKA SHKOPA TUPIA KINOMANOMA KWANIII KUNA ZAWADI.
FAINALI NDIYO HIYOOO... USKOSE KUJA KUISHANGILIA TIMU UIPENDAYO.
Wednesday, March 24, 2010
MWANZA
Monday, March 22, 2010
BANGO
JANA JUMAPILI TUMETOKA KUUSINDIKIZA MWILI WA KIJANA MWENZETU GODIAN KABAGO AKITAMBULIKA ZAIDI KWA JINA LA BIJE AMBAYE NI KAKA WA PHILBERT KABAGO. HAPA NI SAFARI KUELEKEA BUKOBA KWA MAZISHI, AMEFARIKI DUNIA GHAFLA BILA KUUGUA JUMAMOSI YA TAREHE 20MARCH2010. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
ONGEZEKO KUBWA LA IDADI YA WATU KILA UCHAO, SHOW ROOM ZA MAGARI NA IDADI YA WANAOMILIKI VYOMBO VYA USAFIRI MWANZA HAIUWIANI NA MIUNDOMBINU YA BARABARA ZA JIJI LA MWANZA. MSONGAMANO HATA KTK BARABARA YA MAKONGORO JANA SAA MOJA JIONI.