ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, April 24, 2010

SIKILIZA LIVE Clouds Fm & Choice Fm NDANI YA BONGO5.COM


Habari za leo mkuu, katika jitihada zetu za kuwaburudisha watanzania wote popote walipo,tunawaletea Clouds FM na Choice FM live katika tovuti yetu ya bongo5.com
Zinapatikana kwa kutumia link hiyo:
http://www.bongo5.com/index.php?option=com_content&view=category&layout=
blog&id=136&Itemid=266&lang=sw
Luca

USIKU WA ZAIN NA J MARTINS YAAANI NI SAFI..........

MWANAMUZIKI MAARUFU KUTOKA NCHINI NIGERIA J MARTINS USIKU WA KUAMKIA LEO NDANI YA VILLA PARK MWANZA, AMEFANYA KILE KILICHOKUWA KIKISUBIRIWA NA MASHABIKI WAKE.

HUYU NDIYE DULLA MC WA BURUDIKO HILO.

WAJANJA WA MJINI KUTOKA KUSHOTO FRANK PANGANI, HUMPHREY SIMON AFISA MASOKO CLOUDS FM MWANZA BRANCH (KATI) NA KIMARO TOKA ZAIN MWANZA, JAMAA WALIKUWA NA HELA ILE MBAYA.

MY BROTHER DJ CURTER NA FLOWER LAKE.

FLOWERS MALADY OLIVER G SENGO NA CURTER'S FLOWER.

AU UNA BISHAAA! SWAGA ZA KELVIN TWISTER.

YORI YORI' "WHEN I SAY ONE YOU SAY ZAIN..."

UWAJIBIKAJI WA UKWELI HUTOKEA PALE HISIA NA MVUTO VINAPOOOOO......

MKALI J MARTINS ON THE STAGE.

J MARTINS.

SASA NI TIME YA FRIENDS KUSHAKE NA KUPALANGANA NA KIDUKU.

J MARTINS NA SHABIKI WAKE MWANZA.

DUH! JICHO NYANYA MJOMBA TUTAAMKA KWEEERRIII? MIE KATI, KULIA MSHKAJI JINA LIMENITOKA.... NA KUSHOTO UNCLE SAM PACHA FOR REAL MTANGAZAJI MAHIRI WA RADIO FREE AFRICA.

KUNA DIZAIN HIVI ZAMA ZA SASA NDANI YA VILABU (TEHE)WATU HUAMUA KUCHEZA PAMOJA HASA ZILE ZA MIKITO YA KISAUZI,,,,(HATA LESHONTEE EDGAR MAPANDE ANAJUA VILLE...) STAPE YAAANI ILE ILE.

Friday, April 23, 2010

J MARTINS AWASILI ROCK CITY. KUPIGA SHOW LEO.

MSANII MAHIRI TOKA NCHINI NIGERIA J.MARTINS AKISTORIKA NA AY TOKA BONGO TZ. MARA TU BAADA YA KUTUA JIJINI MWANZA.

WAKAZI WA MWANZA USIKU WA LEO KUKOSHWA NA BURUDANI YA MTAKATO ILIYOANDALIWA NA ZAIN. MSANII MAHIRI TOKA NCHINI NIGERIA J.MARTINS NDANI, AY NDANI NA VINOGESHO KIBAO VIMEWASILI, KISHA MAKAMUZ YA NGOMA NZITO TOKA KWA MADJ WA EAST AFRICA RADIO NA VILLA PARK MPAKA KUCHWEEE!.

ZAIN INAZIDI KUBORESHA SOKO NA KUPITIA UNAFUU WA HUDUMA ZAKE FAMILIA INAZIDI KUONGEZEKA. BROTHER EDO WA ROCK CITY KUSHOTO NA CUSTOMER SEGMENT MANAGER WA ZAIN KELVIN TWISTER.

NIMEWASIKIA WAKISEMA "NIPE HUG BRO TUMETUA SALAMA, WE WEEEEEEEEEEEEE"

AIR PORT MWANZA, J.MARTINS,DULLA KWA CHART AND THE CREW.

MIE NA MZEE WA COMMERCIAL.

FAMILIA YA EA TV ALONG SIDE AY.

J MARTINS, AY PAMOJA NA CREW YA ZAIN MWANZA.

HAPA NDIPO PATAKAPO KWENDA KUCHIMBIKA NIGHT YA LEO. KIINGILIO BUKU TEN, KAMA VIPI JILIPUE!

MAONI PLIZ....

ALITIKISA SANA ENZI ZA MWALIMU..
SIJUI KIBAO ALIKIGEUZA AU KILIMGEUKIA? WALA SIKUMBUKI....
KAKA, BWASHWE, BADO YUKO HATOKI. NINI MAONI YAKO?

Wednesday, April 21, 2010

JUST UTALII.

BARABARA YA AIR PORT ILEMELA KONA YA KUELEKEA TUNZA LODGE. KUDADADEKI MTU PESA! WALIAMUA KUNUNUA NDEGE KABISA KUIFANYA BANGO.

SIYO ARACHUGA' NI NDANI YA ROCK CITY.

Tuesday, April 20, 2010

STARMAX TOURS $ SAFARIS HOTEL KUFUNGULIWA HIVI KARIBUNI.

KIOTA HIKI CHA UTULIVU KIPO MAENEO YA KIRUMBA POLISI MTAA WA DAR-ES-SALAAM.
JAPO KWA KONA HIVI;

HAPA NDIPO MAHALA PENYE JIBU LA CHAKULA SAFI MAZINGIRA BORA, UTULIVU USIO NA GHARAMA PAMOJA NA VYUMBA VYENYE HUDUMA ZOTE TOKA KWA WAHUDUMU WALIOBOBEA.

TEHE! INSHU ISHAKUWA INSHU.

Kitaani style hii twaita mshkaki, duh eh bana eeeeh! Na kama ni mshikaki basi huu nyama zimezidi. Au ndo tuseme mishkaki ya reli ya kati nini?

"shule zamani bwana.... not now days believe me namkumbuka mwl wangu Kikanya dodoma' @ MC BONKE.

Eti walilia kubebwa mgongoni ile hali mkao ulo kaa, ka msalaba vile. TEHE! HUBEBEKI! Siyo kusema nibebe nibebe... "UKITAKA KUBEBWA JIPANGE SAWASAWA'.

SHABIKI NO. 1,2,3

NI MOJA YA MAFRENDZ WA NGUVU NA BLOG HII ANAITWA PAUL (YULE XB WA MISS NANIHINO...) KAMA NAWE UMEIPENDA MZUKA NITUMIE PIC YAKO UJIACHIE UTAKAVYO.

Monday, April 19, 2010

TAFAKARI

HII HAPA KATUNI ILIYOCHOMA PENYEWE HASWAAA!

HARUSI - HARUSI.

HONGERA BWANA IDD G. PAMBA KWA KUFUNGA NDOA NA BI. CELINA J. KITATUNG'WA. NDOA IMEFUNGWA KTK KANISA LA RC NYAKAHOJA MWANZA THR 17APR2010.

MAHARUSI NA WAFANYAKAZI WENZA TOKA ZAIN WA BW. HARUSI.

WAU! NA BURUDANI YA KUTAKATA TOKA KWAKE MZEE MZIMA ZAHIR ZORO, AKITUKUMBUSHA CLEOPATRA MTAWALA WA MISRI, HAKIKA ILIFANA.

KAMA UJUAVYO BILA SAFU HII HARUSI HAIPENDEZI.

MY BROTHER IN THA HOUSE.

SHEREHE YA KUWAPONGEZA ILIFANYIKA ISAMILO INTERNATIONAL SCHOOL. HEBU DEKSHIA JINSI BUSTANI ILIVYO SHINE USIKU HUO.