Saturday, September 04, 2010
SIASA
HABARI ZA KUREJESHWA ULINGONI KWA MGOMBEA WA CHADEMA KATIKA JIMBO LA NYAMAGANA ZIMEONEKANA KUWAGUSA WATU WENGI NA KUWA GUMZO KATIKA KILA KONA YA JIJI LA MWANZA
SASA WAPIGA KURA WA JIMBO HILO NAO WATAKUWA NA SANDUKU LA UBUNGE VITUONI OCTOBA 31, BAADA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUTENGUA UAMUZI WA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI WA JIMBO HILO BW. WILSON KABWE ULIOKUWA UMEMPA USHINDI WA MEZANI WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI BW LAWRENCE KEGO MASHA(40).
MASHA TOKA CCM ALIPATA USHINDI HUO BAADA YA KABWE KUKUBALI PINGAMIZI LAKE DHIDI YA MPINZANI WAKE PEKEE EZEKIEL DIBOGO WENJE (32) WA CHADEMA .
BAADA YA MUDA WA WAGOMBEA KUREJESHA FOMU KWA MSIMAMIZI WA UCHAGUZI KUMALIZIKA NA MUDA WA KUWEKA PINGAMIZI KUWADIA BW MASHA AMBAYE WIZARA YAKE NDIYO YENYE DHAMANA YA MASUALA YA URAIA ALIMWEKEA PINGAMIZI WENJE AKIDAI KUWA HAKUWA RAIA WA TANZANIA
KWA MUJIBU WA SHERIA ZA UHAMIAJI WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI NDIYE MWENYE UWEZO WA KUMPA AU KUMNYANG’ANYA MTU URAIA WA TANZANIA. HALI ILIYOTAFSIRIWA NA MGOMBEA HUYO WA CHADEMA KAMA KWAMBA MGOMBEA HUYO WA CCM ALIKUWA AMEAMUA KUTUMIA MAMLAKA YAKE YA UWAZIRI KUMVUA URAIA NA HIVYO KUMUONDOA KWENYE UGOMBEA, NDIPO BW. WENJE ALIPOAMUA KUKATA RUFAA KWENYE TUME YA UCHAGUZI KUDAI HAKI YAKE YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBONI NYAMAGANA .
BW. WENJE ALIZALIWA OCTOBER 2, 1978 WILAYANI ROLYA KATIKA MKOA WA MARA NA VIONGOZI NA WAZEE WA KATA YA MKOMA WILAYANI HUMO WALITHIBITISHA KUWA KIJANA HUYON NI MZAWA WA KATA HIYO NA NI RAIA HALISI WA TANZANIA.
ALIPOKUWA AKIHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KWENYE UWANJA WA CCM KIRUMBA HIVI KARIBUNI DR. KIKWETE ALISEMA ALIMTAMBULISHA BW. MASHA ALIKUWA AMEPITA BILA KUPINGWA “BAADA YA MPINZANI WAKE KUJICHANGANYA MWENYEWE” HALI INAYOTAFSIRIWA NA WENGI KUWA RAIS HAKUWA AMEELEZWA VIZURI KUHUSU NAMNA HASA MGOMBEA HUYO WA CHADEMA ALIVYOKUWA AMEENGULIWA KWA KUTUMIA RUNGU LA URAIA.
KILA LA KHERI KWA WAGOMBEA WOTE WAWILI TUKUTANE OCTOBER 31 2010.
Friday, September 03, 2010
BANGO
Kaka Sengo vp pole na mihangaiko katika maisha mwana,nimependa sana jinsi ulivyoweza kuchangia na kutetea njia za mawasiliano asubuhi ya leo Star TV.
Ebwana mimi naitwa Augustine Mgendi ni mwana habari na mtangazaji wa Victoria fm ya mjini Musoma,nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa blog yako lakini sasa nakueleza kuwa nami nimefungua yangu inaitwa www.mwanawaafrika.blogspot.com.Ningependa wadau wafahamu blog hii kupitia blog yako kaka
Katika picha hiyo nipo na mwalimu wangu aliyenifundisha katika chuo cha habari ROYAL COLLEGE OF TANZANIA wiki iliyopita jijini Dar es Salaam na hivi sasa niko Musoma
Kazi njema mwanaaaaaaaaaaa
Thursday, September 02, 2010
MICHEZO
ZE VIDEO
MTOTO UMLEAVYOOO....!! NDIVYO AKUWAVYOOOOO!
SASA WAWEZA KUPATA UHONDO MWINGINE KWENYE LUNINGA YAKO MARA BADA YA KIPINDI KINGINE KUTUMBUKIZWA RASMI KATIKA RATIBA YA VIPINDI NDANI YA CLOUDS TV KIPINDI CHAITWA 'KAMBI POPOTE' KIPINDI AMBACHO RASMI KUANZIA JANA USIKU KIMEANZA KWENDA HEWANI, CHUNGUZA MJOMBA UTABAINI.
MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA KAMBI POPOTE, ANTONIO NUGAZ AKIWASHUKURU WAGENI WAALIKWA MBALIMBALI WALIOFIKA USIKU HUO KWENYE UZINDUZI WA KIPINDI HICHO, NA KWAMBA SHUGHULI HIYO NDO INAKOMEA HAPO USIKU HUO... AKSANTENI NA TUONANE LUNINGANI'
WAGENI WAALIKWA PAMOJA NA BAADHI YA WAFANYAKAZI WA CLOUDS MEDIA GROUP WAKIWA TAYARI KUANZA KUUSHUHUDIA UZINDUZI HUO ULIOFANA USIKU WA JANA. HAPA NDIPO MAHALA PA SHUGHULI.
KWA YALIYOJIRI TEMBELEA www.michuzijr.blogspot.com
KITU CHA BEGANIzz.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA),Mama Salma Kikwete akimtambulisha mgombea Ubunge kupitia CCM Kondoa Mashariki Mkoa wa Singida,Bw.John Lwaji leo mjini humo.Mama Salma yupo mkoani Singida kuwahamasisha wanachama wa UWT kuhusu uchaguzi utakaofanyika hivi karibini mwaka huu.
KITU CHA BEGANIzz.
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Yusuph Nasir (kushoto) akiwa na mwenyekiti wa CCM wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM katika jimbo la Korogwe mji uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi Mazoezi Korogwe.
Tuesday, August 31, 2010
BANGO
YU PRESENTER MAHIRI NDANI YA CLOUDS MEDIA, DJ PEKEE WA KIKE ANAYEKIMBIZA BONGO, MPOLE, ANAPENDA KUJIFUNZA, HANA MAJIVUNO ILA UKIMZINGUA HAKOPESHI KUKUPA TRUE! WANAMWITA FENHE! MIE NAMWITA:::- 'SWAG ON SMART SIS' TAREHE YA LEO AUGUST 31 2010 ANASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA NA FOOTBALLER KALI REMMY ONGALLA MWINGINE NI ACTOR AMBAYE VILE VILE YU COMEDIAN CHRIS TUCKER RAIA WA MAREKANI, ALIYEZALIWA 1972 MKALI WA FILAMU KAMA MONEY TALKS, FRIDAY, RUSH HOUR NA NYINGINE KIBAO.
"HAPPYBORZDEI TU YU FATMA HASSAN!!!"
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!-WAWIWO-!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
KAMA TUSIPOCHUKUWA HATUA WALAH TUTAKUJA KULAUMIWA NA WAJUKUU ZETU!
WANASIASA SIASA ZIMEKUWA MINGI. SIHITAJI KUONGEA MAMBO MENGI ILA HABARI NDIYO HIYO!
NAONA KAMA WAMESHATUELEMEA NA HATUJUI TUFANYEJE, SANDUKU LA KURA LIMESHATENGENEZWA, KARATASI TAYARI ZIMEANDALIWA, TULIKUWA TUNAZUNGUMZIA MIAKA HATIMAYE MWAKA NA SASA ZIMESALIA SIKU KADHAA MJOMBA:- TAMATI UCHAGUZI HUO! NA SI MBALI SANA (hesabu siku).
TUKISHINDWA KUPANGA SAFU NZURI SASA, NAAPA TUTAKUJA KUJUTA NA WAJUKUU ZETU WATAALAM KIZAZI HIKI KWA MAOMBI. Watatuona mandondocha!
TUNA UWEZO WA KUAMUA MAPEMA, KAZI KWENU WADAU.... SOME DAYS TO GO!
WANANCHI WAKIKAGUA VICHWA MBALIMBALI VYA HABARI MAGAZETINI KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI.
DJ Steve kicked off his set with an introductory set dedicated to the Housemates. They all ran towards the Glass House to see who would be DJ'ing tonight. Sheila was excited when she realised it was a DJ from close to her home country and started dancing in time to the tunes blaring over the speakers.
Jen and Meryl soon joined her on the dance floor and soon, everyone had made their way to the front and were dancing up a storm to DJ Steve's Hip-Hop tunes. Paloma also danced a tad but then decided to watch the action from the sidelines, but was soon back as soon as she heard her favourite Ragga tune.
In the Barn, the excitement was tangible with Hannington and Tatiana perched on what seems to be their favourite spot, on top of each other on the dining room table. Lerato and Yacob also looked like they were getting along famously and found a corner where they got their groove on.
Yacob, famed for not having any rhythm, seemed to forget about this fact and moved to the beat and almost pushed Lerato off the table. He took off his jacket and revealed a tattoo on each arm. Back in the house, the Housemates, led by Sheila wrote down some of their requests using lipstick on the Glass House window.
Jen and Meryl, who had very little on, led the troupe and wiggled and gyrated in time to the sounds.
This week you could vote to keep either Munya or Sheila in the BB All Stars House! How? You can vote in four different ways to save your favourite Housemate.
KUSHIRIKI TEMBELEA BBA.COM
WATCH IT!!!!!!!