HIVI UMESHAWAHI KUJIULIZA KUWA NI NANI ANAYE FUNGUA MASANDUKU HAYA KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA HUDUMA MARA BAADA YA SIE WADAU KUTUMBUKIZA MAONI YETU? MAANA KAMA NI MAONI, KERO NYINGI TUNAZIWASILISHA HUMU LAKINI MAMBO NI YALE YALE. AU TUUNDE TUME?
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.