KITU CHA BEGANIzz. Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA),Mama Salma Kikwete akimtambulisha mgombea Ubunge kupitia CCM Kondoa Mashariki Mkoa wa Singida,Bw.John Lwaji leo mjini humo.Mama Salma yupo mkoani Singida kuwahamasisha wanachama wa UWT kuhusu uchaguzi utakaofanyika hivi karibini mwaka huu.
KITU CHA BEGANIzz. Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, Yusuph Nasir (kushoto) akiwa na mwenyekiti wa CCM wakati wa uzinduzi wa kampeni za CCM katika jimbo la Korogwe mji uliofanyika katika uwanja wa shule ya msingi Mazoezi Korogwe.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.