Vunja jungu 2014 safari hii Villa Park inakuletea Mkali Nani kati ya Bendi mbili za kisasa Bodaboda Band ya mwanamuziki Kidumu toka nchini Kenya na Malaika Band yake Cristian Bella toka nchini Tanzania.
Ni Ijumaa 27/06/2014.
SIKILIZA TANGAZO HAPA CHINI.