![]() |
| Mkurugenzi wa Chuo cha Biashara CBE Campus ya Mwanza Bw. Eustace Joel Mukayu akizungungumza na waandishi wa habari toka vyombo mbalimbali mara baada ya uwasilishaji. |
![]() |
| Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Mwanza Bw. Martin Rajab akitoa mapendekezo kwa wadau wa biashara waliohudhuria. |
![]() |
| Bi. Fatuma Matope ambaye ni mwakilishi wa Rais wa Chuo Cha CBE akitoa mchango wake mbele ya wadau wa Biashara ambao hapa walikaa kwa makundi na kuainisha mawazo yao. |
Tupe maoni yako










0 comments:
Post a Comment