ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Friday, April 17, 2015

HAWA NDIYO WAJASILIAMALI 10 WA MWANZA WALIOPIGWA SEMINA YA SAFARI WEZESHWA.

MAELEZO HABARI NA SAUTI ZAJA....HIVI PUNDE 









WASHIRIKI KUTOKA MWANZA NI KAMA IFUATAVYO:-
1.Bagaile Shaban Barabara
2.Dastan Mutayoba Amon
3.David Awasi
4.Godlove Charles Muro
5.Happiness Mabula Mandula
6.Jemes Edward Mwandefu
7.Khadija Liganda
8.Raymond Emmanuel Kamisha
9.Zebedayo Lazaro Kingi

10. Zeda Lucas Magomola

CHEGE, TEMBA, MADEE NA DOGO JANJA WATUA MWANZA KWAAJILI YA SHOW YA KAUVUVU ITAKAYOPIGWA KESHO JEMBE BEACH

Mmoja kati ya prizentaZ wa The Hit Zone 'The Voice Character' aka Timothy Ngalula akifanya mahojiano na wasanii Chege Chigunda,Mheshimiwa Temba, Madee Ally na Dogo Janja (hawako pichani wacheki chini picha zinazofuata) kuelekea KAUNYAKA + VUVULA = KAUVUVU Show itakayopigwa kesho Jumamosi ndani ya Jembe Beach Mwanza. 
Chege akifunguka ndani ya Jembe Fm maandalizi kuelekea KAUVUVU Show itakayopigwa kesho Jumamosi ndani ya Jembe Beach Mwanza. 
Mheshimiwa Tembe akiwa studio za Jembe Fm Mwanza 93.7 akifunguka baadhi ya masuala muhimu na yale ya kiuzushi yote ni kuelekea KAUVUVU Show itakayopigwa kesho Jumamosi ndani ya Jembe Beach Mwanza. 
Madee amefunguka mengi sana na hapa alikuwa akichonga na timu Hit Zone ya Jembe Fm 93.7 Mwanza, kuelekea KAUVUVU Show itakayopigwa kesho Jumamosi ndani ya Jembe Beach Mwanza. 
Ze area at Jembe FM Mwanza.
Madee na Dogo Janja.
Ni kuelekea KAUVUVU Show itakayopigwa kesho Jumamosi ndani ya Jembe Beach Mwanza, kutoka kushoto waliosimama ni Mheshimiwa Temba, Madee, Chege, Meneja wa Tip Top na Mustapha. Waliochini mbele ni Hamzaambaye ni meneja wa Show za Tigo nchini, Dogo Janja na Deejay K-Flip.  
'PAMOJA SANA'

AJALI NYINGINE TENA YATOKEA LEO MBEYA YAUWA 19

ajali 3
Kila kukicha nchini Tanzania taarifa za ajali zimezidi kutawala vichwa vya habari kwa vyombo mbalimbali, leo tena ikiwa ni April 17 2015 ajali nyingine imetokea Mbeya baada ya gari la abiria kupoteza mwelekeo na kuingia mtoni Mbeya.
ajali Mbeya
Taarifa zilizothibitishwa na kamanda wa Polisi Mbeya zinasema kuwa mpaka sasa waliofariki ni watu 19.
Ajali 4
Tutaendelea kukupa taarifa kadri zinavyozidi kutufikia. 

Thursday, April 16, 2015

NEC YAANZA MAFUNZO YA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA COMPUTER

Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Amos Madaha akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya mafunzo kwa zaidi ya wachambuzi 500 yanayofanyika jijini Dar es Salaam.
 Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Adolf Kinyero akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya mafunzo kwa zaidi ya wachambuzi 500 yanayofanyika jijini Dar es Salaam. 
Zaidi ya wachambuzi 500 wamekutanishwa na NEC kwa ajili ya mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya mfumo wa BVR.
Zaidi ya wachambuzi 500 wamekutanishwa na NEC kwa ajili ya mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya mfumo wa BVR.
Zaidi ya wachambuzi 500 wamekutanishwa na NEC kwa ajili ya mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya mfumo wa BVR.

AIRTEL YAKABIDHI MAGARI KWA WASHINDI 8 WA MKOA WA DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Lilian Festo Mjimba katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni washindi wengine wa droo hiyo.
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Lilian Festo Mjimba katika hafla liyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Mama lishe Efgenia Mathew Mushi katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni washindi wengine wa droo hiyo. 
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za gari jipya aina ya Toyota IST, kwa mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Kinyozi Juma Ally Songoro katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kulia), akikabidhi mfano wa funguo za magari mapya aina ya Toyota IST, kwa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, (kutoka kushoto), Subeti Salim Subeti, Kuruthumu Seleman Forogo, Juma Ally Songoro, Liliani Festo Mjimba, Christone Edick Mbalamula, Efgenia Mathew Mushi na Obel Samwel Mwamugiga katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana.
Mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Subeti Salim Subeti akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), funguo ya gari jipya aina ya Toyota IST, baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kushoto), katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Wanaoshuhudia ni watoto wa mshindi huyo. 
Mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Kuruthumu Seleman Forogo akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), funguo ya gari jipya aina ya Toyota IST, baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kushoto), katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia ni kaka wa mshindi huyo, Yasin Juma. 

Mmoja wa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni ya ‘Airtel Yatosha Zaidi’, Obel Samwel Mwamugiga akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), funguo ya gari jipya aina ya Toyota IST, baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Airtel Tanzania, Frank Filman (kushoto), katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Airtel jijini Dar es Salaam jana.


 Airtel yakabithi magari kwa washindi 8 wa Mkoa wa Dar es saalam 

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imekabithi magari kwa washindi wake waliokuwa wamesalima kwa mkoa wa Dar es saalamu walioibuka washindi katika droo za mwisho za promosheni ya Airtel yatosha zaidi.

 Washindi waliokabithiwa magari yao ni pamoja na kuruthumu Seleman (42) mfanyabishara ndogondogo, Lilian Mgimba (24) mfanyabishara ndogondogo, Christ Mbalamula (27) mjasiliamali , Juma Songoro(24) Mwanafunzi wa chuo cha IFM , Subeti Salum Subeti (43) kondactor wa daladala, Isgnenia Mushi(35) mfanyabishara ndogondogo,Charles Msakwa (45) Mwalimu, na Obed Muamugija (24) Mwanafunzi wa chuo cha IFM. 

 Akiongea wakati wa kukabithi magari hayo Mkurugenzi wa kitengo cha teknolojia habari wa Airtel Bw, Frank Filman alisema “ nawashukuru sana wateja wetu kwa kutumia huduma zetu hususani huduma ya Airtel yatosha zaidi ambayo mbali na kuwazawadia wateja wanaotumia vifurushi kupitia promosheni ya Airtle Yatosha zaidi tumewawezesha wateja wetu kupata huduma bora, za nafuu zinazokithi mahitaji yao ya kupiga simu, kutuma ujumbe mfupi pamoja na huduma ya internet. 

 Leo tunajifuraha kukabithi magari kwa washindi 8 waliosalia katika mkoa wa Dar es saalam, tunawaahidi washindi wengi waliosalia kutoka kanda ya kaskazini na kanda ya ziwa kuwa watakabithiwa magari yao ndani ya wiki moja kuanzi sasa. 

 Tunawapongeza wateja Wetu wote waliobahatika kujishindia magari kupitia promosheni hii tangu ianze na tunaamini tumeweza kuwawezesha kufanya shughuli zao za kijamii na za kiuchumi kwa urahisi zaidi na kuboreesha maisha yao na jamii ya Tanzania kwa ujumla Tunawaahidi kuendelea kutoa huduma za mawasiliano bora, zenye ubunifu huku tukiendelea kuwafikia watanzania wengi zaidi na kuwazawadia kupitia promosheni kama hii ya Airtel Yatosha Zaidi. 

 Promosheni ya Airtel yatosha imeshafikia mwisho wake lakini huduma yetu ya Airtel yatosha bado inaendelea hivyo natoa wito kwa watanzania kuendelea kujiunga na vifurushi hivi na kufurahia huduma bora zenye gharama nafuu kwa wakati wote. aliongeza Filman. 

 Kwa upande wake moja ya washindi wa promosheni hii bi, Kuruthumu Seleman alisema” mpaka sasa sijaamini kwamba nimeshinda gari, kwakweli nawashukuru sana Airtel kwa kuanzisha promosheni hii. 

Kwakweli sikuwa na wazo kama naweza kushinda, haya ni maajabu kwakeli kumbe kila mtanzania anaweza kupata nafasi ya kushinda kupitia promosheni hizi za Airtel. 

 Nafurahia ushindi huu kwa sasa kwani nilikuwa natamani kuwa na usafiri na kupunguza adha nayoipata katika shughuli zangu za mama lishe, sasa nauhakika wa kusafirisha chakula changu kwa usalama zaidi na kuwafikia wateja wangu kwa wakati, naamini biashara yangu itaboreshwa na kukua na kuwa ya ufanisi zaidi sasa kulinganisha na ilivyokuwa awali”   

Promosheni ya Airtel yatosha ilizindualiwa mwanzoni mwa mwezi wa februari mwaka huu na kufika mwisho wake mwanzoni mwa mwezi Aprili ambapo jumla ya wateja 60 wamejishindia na kukabithiwa magari yao aina ya Toyota IST. 

Airtel iliwazawadia wateja wake gari aina ya Toyota IST kila siku kwa muda wa siku 60

NDESAMBURO ATANGAZA KUTOGOMBEA JIMBO LA MOSHI MJINI .AMUACHIA MIKOBA MEYA JAFARY MICHAEL

Katibu mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Moshi na Diwani wa Kata ya Kiusa ,Stephen Ngasa akizungumza katika mkutano huo wa hadhara. 
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakifuatili mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika katika eneo la soko la Manyema.
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akiwasili katika viwanja eneo la soko la Manyema akiwa ameongozana na Diwani wa kata ya Mji Mpya ,Abuu Shayo na Stephen Ngasa wa kata ya Kiusa.
Mkutano.
Mstahiki Meya ,Michael akiwa amekaa kando ya Mbunge ,Philemoni Ndesamburo . 
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Ndesamburo akizungumza na wananchi wa Moshi mara baada ya kumtangaza mrithi wake katika jimbo la Moshi mjini. Mamia ya wananchi wakimsikiliza Ndesamburo.
Ndesamburo akizungumza na wananchi wa Moshi mara baada ya kumtangaza mrithi wake katika jimbo la Moshi mjini. Mamia ya wananchi wakimsikiliza Ndesamburo.
Mamia ya wananchi katika mji wa Moshi wakishangilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Msathiki Meya wa manispaa ya Moshi,Jafary Michael. Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Philemoni Ndesamburo akimtambulisha Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi Jafary kuwa mrithi wake wa kiti cha ubunge katika jimbo hili wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi oktoba.
Mmoja wa wafuasi wa Chadema akiwa amekaa chini akifuatilia mkutano huo. Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini ,Philemoni Ndesamburo akiteta jambo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Hai,Clement Kwayu wakati wa mkutano wa hadhara. 
Mstahiki Meya a manispaa ya Moshi,Jafary Michael akihutubia mamia ya wananchi waliofika katika mkutano huo uliofanyika katika viwanja vilivyoko jirani na soko la Manyema .
Mmoja wa wafuasi wa Chadema akiwa amekaa chini akifuatilia mkutano huo. Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini ,Philemoni Ndesamburo akiteta jambo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Hai,Clement Kwayu wakati wa mkutano wa hadhara.

Wednesday, April 15, 2015

MASHINE ZA BVR AWAMU YA PILI KUPELEKWA MIKOA SABA

 Tume ya Taifa ya Uchaguzi Nchini Tanzania itaanza kusambaza mashine za BVR 248 katika mikoa saba nchni Tanzania Kuanzia katikati mwa wiki ijayo.
Mikoa iliyopangwa kuanza kupokea mashine hizi ni mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Iringa, Wakati zozi likianza mikoa hiyo nyingine zitakuwa zinapelekwa katika mikoa ya Katavi, Mbeya na Dodoma. Mikoa mimgine ni Singida Tabora Geita na Kigoma.
Mkuu wa kitengo cha Ufundi wa idara ya Daftrari/ICT wa NEC Dr Sisit Cariah, Akizungumza na mwandishi wetu amesema kwamba mpaka sasa wanachi wa mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvumna na Iringa wakae tayari kwani muda wowote watatangaziwa vituo vya kujiandikisha.
 Pamoja na mshine hizo 248 Tume ya taifa ya uchaguzi imewaandaa wataalamu 248 ambao watakuwa na jukumu la kutoa elimu kwa wataalamu wengine 50 kwa kila mmoja nchi nzima kwa ajili ya kuharakisha uandikishaji kwa mfumo wa BVR.
Dr Sisit Ameeleza kwamba wamefanikiwa kufanya maboresho makubwa katika mashine hizi ikiwa ni pamoja na kubadilisha upangaji wa vifaa (settings), mfumo endeshi (Software) na upande wa Vichapishio (printer) ambazo sasa zimetengenezewa Nchini Ufaransa umeboreshwa na nirahisi kusafishwa.
Mafunzo yaliyoendeshwa hapa Jijini Dar es Salaam yamechukua siku moja na yamezingatia sana upande wa Vichapishio (printer), Visoma alama za vidole (Finger Print Scaner) na Kamera kutambua macho mekundu. Ameongoza kwamba printer za sasa ni rahisi kusafishwa na hata kuweka kifaa kipya baada ya cha zamamni kuharibika vimerahisishwa.
Kuhusu uchukuaji wa alama za vidole, amesema kwamba kwa sasa tatitzo la mashine ya kuchukua alama za vidole wamelifanikisha kwa asilimia mia. Kwani kwa wale ambao hawana alama za vidole mashine zimewekewa mfumo wa alogarithim mpya ambao uatatambua kila aina ya kidole.
Hata hivyo Kamera zimewekewa mfumo mpya wa kutambua macho mekundu na kurekebisha rangi ya macho mekundu (Red eyes) Bila kukwamisha zoezi la uandikishaji.
Mtarajio ni kwamba zoezi lauandikishaji liwe limekamilika ndani ya kila siku 28 tokea kila mkoa unapopokea mashine hizi. Vilevile Dr Sisit ameishukuru serekali kwa kufanikisha upatikanaji wa Vifaa “serekali imejitahidi kuandaa upatikanaji wa mashine hizo, na usafirishaji kwa njia ya ndege kwenda nchi nzima. Kila halmashauri na mkoa utachukua angalau siku 28 kukamilisha mkoa utakapo pokea Vifaa” Dr Sisit amesema.
Mwisho amesema kwamba mashine nyingine 1,600 zitawasili wakati wowote na kwamba serikali imetoa Dola za Marekani milioni 72 (Sh. bilioni 133).
Kuwasili kwa mashine hizo, kunaifanya Nec kupokea mashine 2,098, huku ikisubiri mashine 5,902, ili kukamilisha 8,000 zinazotakiwa. Alisema vifaa hivyo vinanunuliwa na serikali kupitia kampuni ya Lithotech Export ya Afrika Kusini, ambayo imeingia mkataba na Nec na inaviagiza China.