Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli(katikati),Meneja Masoko TBL, Fimbo Butallah(kulia) na Meneja Masoko na Usambazaji TBL Kanda ya Ziwa, Malaki Sitaki wakigonganisha chupa wakati wa hafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Mwanza katika Hoteli ya JB Delmonte |
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.