Friday, September 03, 2010
BANGO
Kaka Sengo vp pole na mihangaiko katika maisha mwana,nimependa sana jinsi ulivyoweza kuchangia na kutetea njia za mawasiliano asubuhi ya leo Star TV.
Ebwana mimi naitwa Augustine Mgendi ni mwana habari na mtangazaji wa Victoria fm ya mjini Musoma,nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa blog yako lakini sasa nakueleza kuwa nami nimefungua yangu inaitwa www.mwanawaafrika.blogspot.com.Ningependa wadau wafahamu blog hii kupitia blog yako kaka
Katika picha hiyo nipo na mwalimu wangu aliyenifundisha katika chuo cha habari ROYAL COLLEGE OF TANZANIA wiki iliyopita jijini Dar es Salaam na hivi sasa niko Musoma
Kazi njema mwanaaaaaaaaaaa
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment