Tupe maoni yako
Rais Yoweri Museveni atangazwa mshindi wa uchaguzi wa 2026, mpinzani Bobi
Wine akataa matokeo
-
*KAMPALA, UGANDA — Tume ya uchaguzi nchini Uganda imeitangaza rasmi ushindi
wa Rais Yoweri Kaguta Museveni katika uchaguzi mkuu uliofanyika Alhamisi
wiki...
1 hour ago
Du Hongereni sana kwa kujichana. Sasa swali? Je kuponi ya bonge kauziwa nani maana hapo simuoni ama ndio mambo yenu yaleeeee! na wale waliotoka mbali kama sengo je hawakushawishika kuuza?
ReplyDeleteChunguza mjomba utabhainiii