ILIKUWA TAREHE 3JUNE2006 KANISA LA ANGLICAN ARUSHA. LEO NAAMKA ASUBUHI ILE NAMALIZA MAZOEZI TU BRO EDGAR ANIAMBIA KUNA KITU NJOO UONE (sijui hili wala lile) MARA KABAA!KEKI JUU YA MEZA NA MAANDISHI YAKE YASOMEKAAA..... I WISH KAMA WIFE ANGELIKUWA KARIBU BUT YUKO MWANZA NAMI NIKO DAR KIKAZI.
MWAKA 2006 ILIKUWA HIVI:-UKATAJI KEKI.
CHIAZ MIE NA NAYE NA WAPAMBE WETU...
BWASHEE EDGER MAPANDE.
NI MENGI TWAWEZA SEMA LAKINI MOJA TU NDILO LENYE THAMANI NALO NI "AKSANTE MUNGU KWA YOTE ULIYOTUWEZESHA"
hongera sana kaka,am so happy for u guys,miaka minne si mchezo mwana,naamini enjoyments ktk ndoa zaendelea kama kawa,kwaniaba ya UJAZO CREW nakutakia maisha mema yaliyo jaa furaha na upendo,its yo bra..dee7(ujazo.blogspot.com)
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
hongera sana kaka,am so happy for u guys,miaka minne si mchezo mwana,naamini enjoyments ktk ndoa zaendelea kama kawa,kwaniaba ya UJAZO CREW nakutakia maisha mema yaliyo jaa furaha na upendo,its yo bra..dee7(ujazo.blogspot.com)
ReplyDeletehongera sana kaka mungu na azidi kuwabariki ndoa yenu izidi kudumu daima na milele amina
ReplyDeleteKila jema na fanaka katika maisha ya ndoa..
ReplyDeleteMungu awe nanyi..pamojah
Happy anniversary to both of u.. Wish you 25 years of happy anniversary. Joan
ReplyDelete